Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 1,775
- 3,593
Misukule bado mpooooooo Wahenga wanasema apandae ngazi haraka hakawii kushuka [emoji18]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara nyingi brokers wengi huwa hawatoi news kwa demo accounts kama hujafungua real account na kudeposit money! Ukifungua real account na ukadeposit hela then utapata news! Hata kama real account ikiishiwa hela na ukafungua demo bado utaendelea kupata news kwenye demo!Kaka nipo najaribu DEMO ya MT4 ile original ambayo siyo ya specific broker naona haina current news kama ile MT4 ya Instaforex so how naweza ku trade hii DEMO au nikiwa na real account ndo Brokers ataleta hizo analysis??
Forex Beginner.
TemplerKama unatumia broker gani
au InstaforexKama unatumia broker gani
Tutajie wahenga sita waliopitisha huo msemoMisukule bado mpooooooo Wahenga wanasema apandae ngazi haraka hakawii kushuka [emoji18]
Na hii universal minimum ni ngapi??Mkuu ni ushauri tu achana na kutrade demo fungua cent ankaunt kwa huyu broker Templer FX Trader halafu Fanya deposit ya $1 sawa na shillingi 2250, hafu kwenye mt4 itatokea $100 anza kutrade ,, Cent akaunt ni live akaunt ya kujifunzia ambapo kiasi unachodeposit huzidishwa Mara 100 .. Mfano ukaweka $5 , hii itazidishwa Mara 100 kwenye mt4 itatokea $500..
Ukipata faida utaweza kuwithdraw pesa yako kama kawaida ,, katika kuwithdraw ipo hivi kiasi kilichopo kwenye mt4 yako kitagawanywa kwa 100 jibu utakalopata ndo hela utakayopokea mkononi.. Mfano kwenye mt4 inasoma $1000 ukigawa kwa 100 unapata $10 .. So $10 ndo pesa halisi utakayoipokea ...
Uzuri wake process zote za kudeposit na withdraw zinafanywa kwa njia rahisi ya Mpesa.. Sio lazima uingie bank..
Baada ya kuona umeiva utaamia katka akaunti nyingine iitwayo Universal.. Huku ndo utatia mpunga wako Wa maana..
Kujifunzia demo umakin unapungua kwa sababu hupotez wala hupat chochote
Duh asa broker ataruhusu kutrade hivyohivyo ikiwa imesoma 1$?Zote ni $1 , ila universal ni akaunt ya kawaida , ukiweka $1 kwenye mt4 inatokea $1 ,
Mmhh kwa huu utabe wa kutrade demo sina uhakika kama utakuwepo kwenye real yenye 15 bora nijiunge na hiyo cent,, hii universal niiweke pending kwanzaAnaruhusu kwa baadhi ya pair unaingia km kawaida ,, sema ni vizur kianzio iwe hata $15
Ila naona kwenye list ya accounts kuna:Yaaah hyo tumia cent achana na demo
Ahaa sawa mkuu nitaleta feedback two weeks later mungu akipendaLive cent account
Teyar nshaverify hapa naona cent, binary, muslimu, universal etcIla anza kwanza kuverify taarifa zako kwa broker , wakishacomfirm utaona list zote za live akaunt
Dahh nimeanza leo nimefanya trade deal moja nimeona kijani tu nimeclose deal hahahYes good ,, anza na cent , ukishaiva utaongeza acc nyingine ya universal
Ukiibiwa utamlaumu nani??Msaada wa mwenye akaunt ya skrill ambayo iko full verified nmtumie pesa anitolee atakata ten percent ya hiyo hela maana yangu bado hajaiwa verified vitambulisho vyetu vya kura naona hawavitambui
nitatrade tena maana nazitoaa hukohuko forex nitapàta zingine experience inaniruhusu kupata tena na tenaUkiibiwa utamlaumu nani??
Hahah unanikumbusha shuleni June 14 ,2018 tulivyotoka kufanya paper ya account, anyway unatumia strategy gani??nitatrade tena maana nazitoaa hukohuko forex nitapàta zingine experience inaniruhusu kupata tena na tena
[emoji111]Hahah unanikumbusha shuleni June 14 ,2018 tulivyotoka kufanya paper ya account, anyway unatumia strategy gani??
ushapata wa kukusaidia ?msaada jamen tafadhali jameni
Kama bado hujafanikiwa.Msaada wa mwenye akaunt ya skrill ambayo iko full verified nmtumie pesa anitolee atakata ten percent ya hiyo hela maana yangu bado hajaiwa verified vitambulisho vyetu vya kura naona hawavitambui