Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Kiukweli sina mda wa kupoteza kusubiri fungua account, hivi sasahivi nimeshafungua www.forex.com tayari tangu jana. Wewe msubiri Ontario naamini atasaidia wengi wala sina shaka naye.
 
Nimejaribu kujiunga na forex broker inaitwa eToro ni nzuri sana kwa trading na inaeleweka vizuri. Kwa wanaohitaji ingia hapa kwenye hii link htt://etoro.tw/2rKVuz
 
Bloomberg TV, CNN, BBC, Al Jazeera lazima ziwe uwanja wako wa nyumbani.

Kuliko kupoteza muda kushinda kwenye page ya Mange huko Insta, just focus on relevant issues zinazoongeza something in your bank account.
God bless u mkuu
 
Ontario yuko dar afu mi niko Mwanza. Afu yuko na maombi lukuku hivyo kwakuwa na wewe u mjuzi nimpunguzie jam Ontario.
Mkuu, hata kwa whatsapp ikibidi utuanzishie ka group!
Tuanzeni jmn,tustudy hivyo vitabu kwa pamoja,tunasoma chapter moja kila cku,mwisho tunakutana kwny group kuelezana,aliyekwama hakuelewa sehem anapata majibu kutokana na uelewa wa wenzie,mbn wafanyabiashara wengine wana groups what is to stop us frm doing the same,come on guys!
 
Mkuu mm
Boss umetisha vibaya mno. Si kwa speed hii, najua umecomment na kulike kwanza ndio umeanza kusoma. Salute my man. Hahaaa

Mkuu hii mm nimecheza demo yake na cash cash

Niliweka dolla 300 nikaliwa zote ndani ya siku mbili..ila mweny demo walinipa dola 1000 mpaka sasa nina dola 2400
Sasa sijui tatizo ni nn

Nacheza kutumia sim na laptop
 
Mkuu mm


Mkuu hii mm nimecheza demo yake na cash cash

Niliweka dolla 300 nikaliwa zote ndani ya siku mbili..ila mweny demo walinipa dola 1000 mpaka sasa nina dola 2400
Sasa sijui tatizo ni nn

Nacheza kutumia sim na laptop

Naamini hauna uelewa wa nini unafanya mkuu. No disrespect!!

Nieleze maana ya 'leverage' kwenye forex.
 
Mnisamehe kwq kuqoute hii post ndefu,mkuu umenikumbusha hata historia na conspiracy theories,wale rothschilds walikua wanapanga njama za kuanzisha chokochoko ht kupelekea vita ili kumanipulate masoko ya hisa ulaya miaka hiyo,kwa hiyo ni kweli kabisa,wanasiasa na hasa mataifa makubwa hii biashara wanajua wanaiendesha kwa kuset up matukio na mwisho inawalipa hasa ukizingatia biashara iko based on speculation zaidi.
 
Reactions: MC7
Wazo zuri napendekeza uwe adm wa group li create saiv alafu tuma link hapa jukwaan then watu wa join via that link au unaonaje mkuu
 
Mkuu Usione Niko Katika Siasa Ukafikiri Vitu Vingine sivijui Huwa Kuna Slight Change ndogo sana tunavyofanya Swaping ya Currency

Mkuu Niko Vizuri katika hayo Mambo ya Money Markets

Ma Forward Contracts
Hoja yako imekuonesha jinsi gani ulivyo mburura kwenye huu uwanda.
Nisaidie, Forward Contract zinaingiaje kwenye Forex?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…