Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
TEMPLER
with as minimun as $1 deposit and withdraw, via mpesa, skrill. Huenda ndo broker rahisi zaidi kumtumia, simple deposit and withdraw method, pia easier registration processes.
( https://templerfx.com )

PEPPERSTONE
minimum deposit of $25, no M Pesa. Available is skrill , netteller, direct bank and other ways...
( https://secure.pepperstone.com )

TICKMILL
minimum deposit $100. wako katika majaribio ya Mpesa, na wengine tulishajaribu kudeposit kwa mpesa na ikawa poa. japo ilisitishwa kwa muda. other deposit ways available includes skrill and visa.
NOTE: ukitaka kujisajili hapa hakikisha unatumia Tickmill Seychelles, huko ndipo Tanzania ipo, Haipo katika Tickmill UK.

( http://tickmill.com/seychelles )
 
Mkuu nataka kufungua micro account lakini nikiingia kwenye profile yangu templefx ili nifungue hiyo micro account option hiyo siioni ila naona sehemu ya kufungua live account nikipress hapo inakuja option ya account type Ni demo and demo cent account it means option ya micro siioni nifanyeje hapo Mwl.RCT msaada wenu
 
Demo cent
 
Kabla hujafika kufungua live account, unapaswa kuverify at least vitu vitatu:

1. Email.
2. Namba ya simu.
3. Identity.

Ukimaliza hvyo utafuata hatua ulizofuata za kufungua Micro account, na kufungua Live Centforex. Hiyo ndo Micro Account kwa Templer.

Usisite kuomba usaidizi kama utaendelea kupata shida.
 
Kuverify hvyo vitu, nenda kwa web then utaenda kwa MyTemplerFX then Verification.

All the best.
 
how do I get more information on this if I'm interested ? hope to hear from you
 
Nimefungua account skrill ila kuna vitu nahisi havipo sawa
1.postal code nimebuni
2.naona ina simple process yaani hata ID haihitajiki
3.Nimeshindwa kuadd Card ,nimefikia hadi kipengele cha kuweka password yangu ya online purchases kwa kadi ya CRDB,hii kadi nilipata mwezi wa saba baada ya kufungua account kwa 20,000TZS na nikatoa elfu tano (5000TZS) kwa tigo pesa na sihawahi deposit tena.
4.nimeona kuwa ili ulipe kupitia hii skrill ni unatakiwa kuingiza email hii naona kama ni rahisi kuhack

NB:Naomba maelezo maana wewe una experience na hivi vitu.
 
usitumie skrill hao jamaa watakisumbua kufanya verification huku hela wakiwa wameilock ndo inakua imekwenda hivo
 
Nishauri nitumie njia ganii ,maana nategemea nianze real account mwezi ujao.
Ushauri wangu:

Fanya verification taratibu, pasipo akaunt yako kuwa na hata sent, au la fanya upate mastercard ambayo utaitumia kudeposit na kuwithdraw, lakini kiukweli, ni rahc zaidi ukiwa na skrill, mana ni instant...

Mimi binafsi nimeverify skrill na haina shida, unaweza dhani ni rahc kuihack lakini trust me, co hvyo unavyodhani, plus hakuna broker atahack akaunt yako ya skrill, mtu baki anaweza kuihack, yes, lakini mpaka aihack manake lazima awe na password yako, plus skrill wana two authentication, unaweza weka password ukapatia, wakadai PIN... Au kwa mimi, natumia fingerprint, lakini still wanadai password...

So, do what you seem fit, and easier to you.

ingekuwa iko easy kuihack, watu wasingeitumia
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…