Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Yeah mkuu tutajiunga wengi tu tupige hela
Just to mind you, it's not a get-money-quick program.. You have to highly invest on knowledge acquisition first. Also you need to separate your emotions and money during training, that's deathly important.

[HASHTAG]#striveforfinancialfreedom[/HASHTAG]
[HASHTAG]#striveforsuccess[/HASHTAG]
 
Samahani mkuu Ontario nnaweza vipi,watafautisha waha Broker maana nimepita nimepata Application kweny Android za FXCM na XM sasa sijui hawa wanaangukia Wapi kati ya Hili kundi la Ma-Dalali wazuri na wale wa Hatari..
 
Swali kwako mkuu, hii ac inaweza kuwa kwa tsh au $?
 
Punguza kupenda hela mwamke wewe!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Punguza kupenda hela mwamke wewe!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Swali kwako mkuu, hii ac inaweza kuwa kwa tsh au $?
Yote Tsh au $ ni sawa. Ila naona bora ufungue ya $. Maana kama ni ya tsh..transfer ikija inakuja kwa $...then kwakua account ni ya tsh benki itabidi ichange hizo $ kwa rate yao. Ila kama account yako ni ya $ zitaingia hivyo hivyo. Then wewe kama unahitaji madafu unaweza tafuta bureau de change yenye rate nzuri ukachange
 
Mkuu nakushukuru sana kwa
elimu uliyoitoa.kama hautojali
naomba contacts(namba ya simu)kwaajili ya kupata elimu
zaidi.Maana ww unajua
vitabu vinapopatikana.Mimi
ni Mwalimu wa shule ya
msingi.ningependa nitoke
kwenye umasikini. Ninaomba
sana niwe mmoja wa
mabalozi wako mkoani
Simiyi Wilaya ya Maswa.e-mail
yangu:makulajulius4@gmail.com.Ni matumaini yangu utanijibu
 
Kama muda wa kwenda Training hauna wa kufanya Trading tena kwa kutulia utaupata kweli?
 
Duuuu!! Post nzuri. Natamani nije mdau taratibu zake zikoje, ili nami nifanye biashara hii?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…