Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
endelea kuleta vilinki vyako hapa ndo tujue kama unawashwa huko nyuma hujabongo'lewa muda mrefu. Badala ya kupambana na market unaleta vilink *****
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura,kitambulisho cha Taifa, Leseni ya Udereva au kitambulisho chochote kinachotambulika na mamlaka husika, namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker pamoja na E-mail.

Ni broker pekee ambae anayekuwezesha kuweka kiasi kidogo kuanzia dollar ($) 1 kwenye akaunti yako ,pia vilevile ana huduma ya haraka sana wakati wa kutoa pesa yako, dakika 15-30 tiyari pesa inakuwa imeshatumwa kwenye account yako.

BAADA YA KUJISAJILI

Ndani ya saa 72 au chini ya hapo unakuwa na akaunti yako tiyari na kuanza kuitumia.

JISAJILI SASA
Wasiliana na mimi PM kwa msaada zaidi BURE.

Templer FX Trader
 
Nyie vijana jiheshimuni basi hamuone haya kuongea mambo yenu ya kishetani kwenye uzi mtakatifu huu. Mnatukosea adabu tunaopita kwenye huu uzi kuja kuongeza maarifa moderator yuko wapi awape haki yenu?
hawajiheshimu hao vijana waende Facebook ndo size yao kule
 
Umenifanya niifikilie tena forex
 
Leo kwa kukutana na hii thread, nasikia raha Sana.

Mkuu naomba unielekeze na kunifundisha, nataka kujiunga hata leo hii. Mawasiliano 0712478633.

Naomba utaratibu, Kama wapo wengine walio tayari Kama Mimi tupate darasa...
 
Hbr zenu wakuu,

Mtu yeyote ambaye ana audio version ya BTMM videos au anajua namna ya kufanya conversion, naomba anisaidie sana..!

I humbly submit.
Kuna program moja inaitwa video converter, ya pc, ukiipata utaweza convert mwenyewe kupata audio
 
exactly, Boss. Now Card yaexpire after 6 mnths.
 
WHAT TRADER ARE YOU? WHAT TYPE OF BROKER YOU NEED?

Matrader tupo tofauti sana, japo wote tuna target kupiga hela (anyways, sometimes tunapigwa), lakini watu tuko tofauti.

hapa kuna list rahisi ya brokers ambao wako tofauti sana. kutegemeana na trading mood yako.
DISCLAIMER: Forex is risk, unaweza pigwa mpaka hela ya pango/ada!

1. BROKER MWENYE URAHISI WA KUDEPOSIT/KUWITHDRAW.
Kuna anayempita Templer? mpaka sasa hakuna broker (ninayemfahamu) ambaye yuko consistently katika kutoa huduma za Mpesa Deposit. Tickmill anatoa, lakini bado kuna hatua nyingi sana za kupitia kabla hujafanikisha.

( https://secure.templerfx.com )




2. BROKER MWENYE "PAIR ZENYE PIP/$VALUE KUBWA"
EURUSD inaogopwa na wengi kwa sababu wengi tulianza kutrade nayo, na tukaunguza akaunt zetu nayo. lakini kuna pair ya GBPJPY, hii ni moja kati ya pair "yenye mbio" sana..
kuna jamaa yangu mmoja anasema hataki kabisa kutrade pair za GBP kwa sababu ya hii pair. in reality, GBPJPY haina mbio, ila pip moja ya GBPJPY ina $Value kubwa...
Well, GBPJPY si kitu ukiilinganisha na EURTRY, hapa hata USDZAR haitii mguu...
lakini kuna pair nyingine, Cryptocurrency, yaitwa Ripple (XRPUSD), hii si kwa wenye roho nyepesi, mana haichukui raund candle moja tu ya 4H kufyekelea mbali akaunt ya $50 kwa position moja tu ya lot 0.01!

JAFX ( https://JAFX.com ), ana pair hizi za hatari zote.
EURTRY, EURZAR, USDZAR, USDTRY, na XRPUSD.

Hizi ni pair ambazo kama entry iko 1H na kukawa na retracement 30MIN unaweza jikuta umeunguza akaunt.. lakini pia ni pair ambazo kama uko na very sharp entry, ni pair ambazo zinatoaga cash sana...

Kwa wale waliotumia Templer wanajua unaweza trade Cryptos hata weekend, hapa pia ni the same, XRPUSD, BTCUSD, na cryptocurrencies nyingine zaidi ya 20 ambazo anazo ni tradable mpaka weekend...


hapa ni trade, candle za 1H. (DISREGARD "MAKAMBAKAMBA"πŸ˜€)

TRADE IN 1H

PROFIT FROM THE 1H CANDLE (at the time of chart screenshot)

DISCLAIMER: JAFX ana historia ya kushtakiwa na watumiaji wake, ukiamua kumtumia, its at your own risk.


2. UNLIMITED LEVERAGE, ANYONE?
Uko na uwezo mkubwa sana, lakini mtaji ni kikwazo? wewe ni scalper na umezoea kujilipua?
kama ndio, broker huyu atakufaa.
Exness ( https://exness.com ) ana maximum leverage available katika market - UNLIMITED.
kiuhalisia ni traders wachache wanaoweza kutumia Unlimited Leverage, na inatakiwa uombe iweze kuwa unlocked kwanza, na hiyo itategemea experience yako katika Forex.

Japokuwa unlimited leverage by default imefungwa, bado kuna leverage ya 1:2000 ambayo ni kubwa sana kupita broker wengi. huyu ni perfect broker kwa scalpers.

(this is not my trades) zamani ningesema huyu kaeditπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ lakini baada ya kujua hasa the power of higher leverage, inakuja kuonyesha kwamba ONLY YOUR SKILLS IS THE LIMIT... unaweza kuizidisha akaunt yako hadi mara 10 in a single day, kama tu unajua unachokifanya....

Sasa, ni kuombeana uzima tu, na pips za kutosha!
Nice Trades!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…