Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Huyu jamaa anataka kutapeli watu maana katika forex usipochora na kutumia horizontal support and resistance au trendline basi ni lazima utatumia indicators ambazo ni sawa na dynamic support and resistance.
Atakwambia anatumia code hahahaa, jamaa mbwembwe tu hana lolote kama ana cha ziada kwanini asiweke humu watu wajifunze
 
Atakwambia anatumia code hahahaa, jamaa mbwembwe tu hana lolote kama ana cha ziada kwanini asiweke humu watu wajifunze
Kweli ataje basi majina ya hivyo vitabu ambavyo vimeelazea concepts zaidi ya trendline, S&R au indicators ambazo ni dynamic S&R.

Huyu jamaa anatakiwa aache utapeli wa kunifanya yy ana strategy kutoka mbinguni.
 
Hey boy You look &, Sound Choppy. Nimekupa assignment zaidi ya mbili hujafanya hata moja unaishia kusema watu matapeli. Nimekwambia weka account yako hata moja hujafanya.

Nakuwekea snap hapa chini soma na utafakari. Halafu one day utanikumbuka kwasababu nimeshajua nabishana na mtu wa aina gani.

NB: Siku nyingine katika maisha yako ya kawaida acha kubeza vitu usivyokuwa na Uhakika navyo au sababu za maana za kukufanya ubeze. Nipo katika huu Uzi kabla ya wewe kuingia jf sijawahi kuitwa tapeli. Ila wewe newbie ambae umekaririshwa S&R unajiona umemaliza Forex .

Siku ukija kutusua Kwenye Forex kwa kutumia support and resistance NITAJIUA HADHARANI pale Askari Monument.

Azima simu upige screenshot vizuri. Pia acha maneno mengi dogo.

Ww unajifanya unajua sana lete hivyo vitabu vyako visivyo tumia S&R.

Acha utapeli na uende ukalime goba.
 
Umeshapata Wateja wakuku wakienyeji?

Je umeshaanza kutembea uchi maana kuna Uzi ulianzisha ukasema ni utamaduni kutembea uchi mnyama?
 
Duuh dogo ule Uzi wako wa tarehe 5/4/2016 wenye kichwa Cha habari wazeshamamalishe bado hauna mchangiaji hadi sasa hivi.

Watu walikushtukia kuwa ww ni tapeli ndo maana walipita kimyakimya.
 
Azima simu upige screenshot vizuri. Pia acha maneno mengi dogo.

Ww unajifanya unajua sana lete hivyo vitabu vyako visivyo tumia S&R.

Acha utapeli na uende ukalime goba.
[emoji1] [emoji1] [emoji1]

Ulivyokuwa na kichwa cha kufugia nywele badala ya kufikiri unadhani hiyo snap/picha ni camera shot Hahaha ... Hii nchi ina mazwazwa na mabata ya kiwango cha Lami.

Hiyo nimei-zoom out makusudi ili nione uelewa wako, kunde bado una ubongo makamasi.

Stay Blessed
 
Umeshapata Wateja wakuku wakienyeji?

Je umeshaanza kutembea uchi maana kuna Uzi ulianzisha ukasema ni utamaduni kutembea uchi mnyama?
Shamba boy wangu wa Kuku project ana maisha mazuri kukushinda wewe kapuku.

Zaidi ya Mbupu na simu yako ya tecno huna unachomiliki.

[emoji1] [emoji1] [emoji1]
..
 
Shamba boy wangu wa Kuku project ana maisha mazuri kukushinda wewe kapuku.

Zaidi ya Mbupu na simu yako ya tecno huna unachomiliki.

[emoji1] [emoji1] [emoji1]
..
Ile computer yako mbovu bado IPO tapeli Mdogo?
 
Duuh dogo ule Uzi wako wa tarehe 5/4/2016 wenye kichwa Cha habari wazeshamamalishe bado hauna mchangiaji hadi sasa hivi.

Watu walikushtukia kuwa ww ni tapeli ndo maana walipita kimyakimya.
Reason why I'm still f#£%& wrestling with big empty headed Idiot.

Wacha tupige soga na wapuuzi it's HOLIDAY.
 
It's Holiday Guys enjoy your Vacation.

Tukutane January 07 kwenye Business.
 
Acheni mambo zenu wakuu, mjitahidi kusoma hata vitabu vya psychology,

Vitasaidia kuwafanya muache mabishano yasiyo na msingi...

Pia, eitha kubaki kwenye game kwa muda mrefu, au kufungasha na kuamua kuwa dobi!
[emoji23]
 
Yani inasikitisha kwamba mtu akiukuta uzi huu, hatojifunza lolote kwa sasa, hasa kwa msg 500 za mwisho[emoji23][emoji23]

Hapa tusibishane, tushauriane, kubishana, tukabishane na MT4 zetu...

Happy New Year, More Pips!
 
Inamaana huu uzi bado upo tuu[emoji16]
 
Yani inasikitisha kwamba mtu akiukuta uzi huu, hatojifunza lolote kwa sasa, hasa kwa msg 500 za mwisho[emoji23][emoji23]

Hapa tusibishane, tushauriane, kubishana, tukabishane na MT4 zetu...

Happy New Year, More Pips!

Siku hizi naona haya mambo hayabambi tena humu JF!

Sijui kwa nini tu!!??!!
 
Kama mupo wadau wa FOREX tuyajenge hapa changamoto,mbinu na namna ya kulikabili soko kwa mwaka huu ambakoni tegemeo kwa nchi za bara la asia kuibuka kiuchumi na kuyapta mataifa mengi ya Ulaya na fedha gani ni nzuri kwa mwaka huu kuitrade

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…