Hey boy You look &, Sound Choppy. Nimekupa assignment zaidi ya mbili hujafanya hata moja unaishia kusema watu matapeli. Nimekwambia weka account yako hata moja hujafanya.
Nakuwekea snap hapa chini soma na utafakari. Halafu one day utanikumbuka kwasababu nimeshajua nabishana na mtu wa aina gani.
NB: Siku nyingine katika maisha yako ya kawaida acha kubeza vitu usivyokuwa na Uhakika navyo au sababu za maana za kukufanya ubeze. Nipo katika huu Uzi kabla ya wewe kuingia jf sijawahi kuitwa tapeli. Ila wewe newbie ambae umekaririshwa S&R unajiona umemaliza Forex .
Siku ukija kutusua Kwenye Forex kwa kutumia support and resistance NITAJIUA HADHARANI pale Askari Monument.
View attachment 975854