Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.


Embu isome hii alafu uniambie umeelewaje!!

Ipo sawa, the main issue ipo kwenye dhumuni. Kwanini utake kuuza Euro ili ununue USD? Wakati kwa kawaida Euro ni base currency kwa maana ina nguvu. Inaitwa short sababu unauza fedha yenye thamani ili ununue fedha mbayo ina thamani ndogo kwenye pair yako.

Kujibu hilo swali hapo ndio nimetolea maelezo na mfano pale awali. Kwamba ukiona kuwa USD itazidi kushuka unaamua kuuza euro ununue USD ili ikishuka utanunua tena euro kwa exchange rate ya chini zaidi (sababu USD imeshuka thamani) ambayo itakupa faida in terms of euro
 
Kwa kifupi mkuu haya mambo yanachanganya na ndio maana nimeweka muda wa kusoma!!

Mwanzoni nlikua najua nimejua kumbe nilikua chaka!!

Taratibu tutaelewa no presha at all!
 
Mkuu umetisha sana! Tunaanzaje na tunaanza lini? Hasa hizo learning materials,training and mentorship?!..
 
MKUU ONTATIO, hao watu 300 naomba, Napenda Sana Sana, niwemo. Nimerudia kusoma uzi ila sijaona jinsi watakavo patika. Pls, NAKUOMBA NIWEMO BROTHER.
 
Kuanza kujisomea mwenyewe kuna faida sana, ukienda kwenye Darasa la Ontario utakuwa una tiririka na kuelewa zaidi
Kweli kabisa mkuu!! Tena akikaa vibaya asishangae tukaanza kumpa somo hahahaaa!!

Kesho nikipata mda nitapitia forex mechanics chapter ya tano kama sikosei! Pia jaribu kupitia vitabu vingine na youtube videos mkuu!
 
Hii kitu iko vizuri ila inahitajika uelewa mzuri wa namna ya kutrade na utulize akili kwani ukileta mihemko kwenye pesa itakula kwako.
 
Kweli kabisa mkuu!! Tena akikaa vibaya asishangae tukaanza kumpa somo hahahaaa!!

Kesho nikipata mda nitapitia forex mechanics chapter ya tano kama sikosei! Pia jaribu kupitia vitabu vingine na youtube videos mkuu!

Naenda kimoja baada ya kingine mkuu. Nikimaliza hiki cha Ontario nasoma second edition yake nimeona online chenyewe kina chapter za ziada then nitasoma naked forex nitamalizia cha 7 winning strategies for FX. Nikitoka hapo ndio naingia YouTube na kuanza demo account huku nasubiri training ya Ontario.
 
Nimekupata mkuu!! Jua kuna viwili mkuu...kuna kimoja kiko nusu kingine kiko full...cheki post namba 441 utaona kilicho full!!
 

Kama huna maarifa kabisa inabidi ufanye hata training ya kisela..

Unaweza ukawa unajidanganya..
 
Reactions: MC7
Mkuu naomba ukiweke hapa basi hicho cha 7 winning strategy ili tuzidi kujifunza
 
Nmeifatilia kidogo kwa kusoma vijitabu na nmejisajili kwenye platform ya ifc blocker kama demo account ili nipate ujuzi kidogo na kufahamu baadhi ya mambo kama leverage na ask currency,bid currency,pair currency ...kuikweli nimepata changamoto ya kurun ile software yao labda nikutafute mkuu unijuze jins ya kununua na kuuza kupitia hawa broker....
 
Kuna watu humu ndani waga wanaponda sana betting....ila hapa wanataka waingie hawajui kuwa hii ni gambling pia.

Nyinyi mnaosema hii ni gambling mnatukatisha tamaa mjue...gambling kivipi hebu fafanua mkuu mbona unazinga tena!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…