Sasa kama USD ndo unategemea ishuke kwa nini uzinunue wakati zikishashuka zitakuta EURO chache tofauti na mwanzo? Maana zikishuka zimepungua thamani, so USD nyingi zitakupa EURO chache tofauti tofauti na ulizouza mwanzoni.
So binafsi nafkiri going short itakuwa ni kuuza weak currency(unayo tegemea ishuke) ukisubiri ishuke against EURO uinunue tena maana utapata USD nyingi kwa sababu thamani yake itakuwa imeshuka dhidi ya EURO
Forex market hauwezi fananisha na biashara ya mpunga.Kununua mpunga na kuuficha ukisubiria upande ili uuze upate faida ni form ya speculation tuseme hivi assumption na speculation wanasound kama entwined katika hili speculation is the name of the game therefore get down to the business and see what is all about.
Boss..What is lot size?
Ni rahisi. Mfano leo Bongo US$ 1 inauzwa kwa tshs 2250 na kununuliwa kwa tshs 2200. Sasa mtu anaweza kutarajia Dola itapanda thamani kwa maana kufikia kuuzwa kwa tshs 3000 ifikapo December mwaka huu, hivyo akanunua sasa hivi labda dola zake 1000. Atakuwa ametumia tshs 2,250,000. Akasubiri ikafika hiyo December kweli dola 1 ikawa imepanda mpaka kuwa inauzwa tshs 3000. Huyo mtu akauza zile dola zake 1000 na kupata tshs 3,000,000. Hapo atakuwa amepata faida ya 750,000 nzima kutoka 2,250,000 aliyonunulia.
Kinyume chake kinawezekana, kwa maana alitegeme dola ipande thamani ifikapo december lakini ikashika chini ya aliyonunulia, mfano ikashuka mpaka tshs 2000 kutoka tshs 2250 aliyonunulia. Sasa akitaka kuuza zile dola zake 1000 wkt huo atapata tshs 2,000,000 na hivyo kuw amepata hasara ya 250,000 ktk huo muamala.
Sasa huu mchakato unafanyika globally kwenye system the forex. Broker ndio mnunuzi na muuzaji wako. Ni kama vile unavyoenda Bureau de Change...ukiwa na shikingi unataka dola unapata, ukiwa na dola unataka shilingi unapata.
Natumai nimekujibu swali lako.
Haha. Sidhani kama nitamuharibia soko. Ila kama huna background ya finance au economics kabisa, unaweza ukawa unajiingiza chaka.no mkuu mie kuhudhuria iyo training n changamoto kwangu ndo maana nkakuuliza ivo ila ulvonijib dah au umeogopa utamwaribia mshkaji soko, npm kama unaogopa kumwaribia mshkaji soko angalau angalau nipate mwanga maana umendisappoint kwel an. Bavaria
that is what i wanted to hear from u asante xana kamanda BavariaHaha. Sidhani kama nitamuharibia soko. Ila kama huna background ya finance au economics kabisa, unaweza ukawa unajiingiza chaka.
Ila unaweza ukawa unatumia youtube kujifundisha. Hiyo inawezekana.
Swali la kwanza, leverage inakupa uwezo wewe mwenye account ndogo kufanya trade kubwa. Sio kwamba unakopeshwa hizo hela.Mkuu naomba unisaidie hapa, nimesoma nikaelewa juu ya PIP(Percentage in Point). Nikaelewa na Lot size kuwa ni multiplication factor kwa kila PIP moja na kwamba hii hutokana na jinsi ulivyochagua. Pia nikaelewa Leverage kiwa ni Pesa ya mkopo ambayo unakopeshwa ili ufanyie biashara (kwa case yetu biashara ni forex).
Sasa nisichoelewa ni kwamba
1. Je Brokers wanakopesha( refer piping & Lot size ). Kama wanakopesha, ikitokea nikaloose na akaunt ikawa burnt, hiyo loss ambayo imetokana na pesa za kukopeshwa nikaingiza katika stake yangu, je broker ankuwa compensated vipi.? Na kama Brokers hawakopeshi, je hiyo multiplication factor ( LOT) pesa yake inatokea wapi.?
2. na katika real bussines, LOT size gani inayokuwa recomended na ambayo ipo profitable/advantageous kwa trader.?
Kama nimeingia chaka popote hapo juu naomba mwongozo.
CC: ontario
Umetisha aisee[emoji1]Nahisi watu hawabanduki kwenye huu Uzi wakisubiri mwaliko wa Training,,nitamshauri aweke entry exam Na na maswali yatoke kwenye vile vitabu alivyoelekeza tukavisome,, ili tupungue wenye shauku ya Ku attend hiyo training ya kwanza ya offer
kwani kuna whatsapp group tayari?Better ujiunge group la WhatsApp la humu utapata ABC ya hii kitu.
Hebu tumwache pembeni kwanza Bushiri ambaye ana biashara zinazojulikana. Huyu dogo Sandile, ni kwanini anatumia muda wake mwingi na nguvu nyingi kufanya kazi ya "kufundisha" forex trading kuliko kufanya Forex trading? Yaani hata this guy in here na yeye anafuata nyayo hizohizo, amekuwa "mwalimu" wa Forex trading ambapo tulitegemea awe mfanyabiashara wa Forex Trading ambayo kama wanavoinadi ina pesa mbaya wangekuwa wanamake trilions wakati wametulia kwenye viti vyao kuliko kufukuzana na vimilioni kutwa kushinda wanaandika article! Hii biashara ni risky sana ndiyo maana hawako tayari kurisk pesa zao, ni rahisi zaidi kwao kupata pesa kwa kukufundisha wew kurisk pesa zako.
I could be wrong though, lakini kuweni makini na hizo "ada" mtazotozwa ili kuoneshwa namna ya kutengeneza pesa!
Ni muda ndiyo utakaotuambia.
Updates
Moja ya ombi la msingi ambalo nimeona watu wengi wanaulizia ni - "Ontario ni kitabu gani naweza kuanza nacho?"
Kila mtu ambae yupo interested atafute kitabu kinaitwa Currency trading for Dummies: Kimeandikwa na Brian Dolan 2nd Ed ndio poa zaidi. Cover yake ni kama changano then kuna dunia hivi inaramani za nchi mbali mbali.
Sawa, hongera zao kwa kuwa na roho "nzuri".Rene jr
1. Unachoongea sio sawa kabisa. Kuna watu wana roho ya upendo ya kupenda kuwashirikisha wenzake fursa mbalimbali. Kwahiyo, huyo Sandile hakushindwa kujifungia ndani kuifanya forex, ameamua kuwashirikisha wenzake waione hiyo fursa.
2. Forex inafanyika masaa 24 siku 5 za week. Wengi wanaifanya kama kazi ya part time ila wengine wanaifanya full time. Wengine wanaajiri watu, wana watrain then wanakuwa wanatrade kwa niaba yao huku wenyewe wakiwa wanaangalia performance ya portifolio popote wakiwa.
Huwezi kutrade masaa 24 siku zote lazima uwe chizi. Chagua trading session yako na pair yako moja una place order. Kwa levels za Sandile hata akiwa na order moja ya lot ya 250, ni nyingi sana na itamtosha.
Kuna watu wanaitwa AstroFx wao wana charge $7500 kwa week kama training fee. Wanaiweka hii ili ikuume uwe serious. Bado watu wanalipa wanaenda.
Ningekuwa Ontario ningeweka 200$ kwa kila training ili mtu imuume aichukulie serious. Amefanya bure ila watu wanaona kama semina flani ya ujasiriamali ndo maana kila mtu anataka kwenda. Baada ya muda anaweza baki na watu 10 tu.
Rene Jr.
Sawa, hongera zao kwa kuwa na roho "nzuri".
Vipi kuhusu ONTARIO, naona ndiyo kwanza mchanga kwenye hii biashara, maana ni juzi tu alikuwa anakodisha trekta, amepata wapi uzoefu, na kwanini aanze kufundisha na siyo kutrade ili amake pesa kwanza, maana mwenzake Sandile ameshamake sana! Na kwanini hamzungumzii kabisa suala la risk katika biashara hii?