Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.


Okay mwez wa 8 nitawatafta wadogo zangu mimi naamini na nimejifunza kwa wenzetu hawa kuwa loss huwa ni mwalimu mzuri saana anaekupa uwezo wa kujitafakari wapi ulikosea na wapi unatakiwa kujiimarisha. saafi saana kijana kwa kweeli big up. tutasaidiana tuu unajua kuna wahind hapo bongo hawalimi wala hawana maduka ila wanaish maisha matam tuu baasi wao mchezo wao huwa ndo huuu. Wanaijeria ndo usiseme unajua unaweza sema wanauza ngada kumbe hahahahahaahahaha.
jamani hii kitu narudia teena kusema ni nzuri saana saaana saaana aiseee cha muhimu tafta mentors na brokers wazuri huwez kula hasara ndugu yaangu. katika biashara nzuri Duniani na yenye pesa ya haraka haraka hapa duniani ni hiii. mi naipenda maana ndio taaluma niliyosomea lakini hata wewe sio lazima uwe umesomea mkuu hapo utapiga pesa tuu cha muhimi jitahid uisome uelewe kaa na mentors wakusaidie utaniambi
 
Nashauli wenzangu mlokuta uzi umeanza nivema muanze nao mwanzo ndomtamuelewa kiongozi wetu maana naona kuna maswali mnauuliza umu ambavyo tayar alishayatolea ufafanunuzi .So nivema muanze mwanzo page by page .
 
Mkuu naomba unisaidie majina ya hivyo vitabu vitano ulivyoanza kusoma ww au kam unayosoft copy si mbaya ukaiweka hapa
 
Asante sana Kiongozi kwa elimu kubwa hii ya ujasiriamali. binafsi ninapenda kuwa mmoja wa watu wanaohitaji kushiriki kwenye semina na kupata mafunzo juu ya hii biashara (Forex Trading). Sijui kama unaweza chukua hii post / request kuwa kama official au nitaomba unipe mwongozo wa namna ya kushiriki kwenye semina yako itakapokuwa tayari. namba yangu 0673544748. [HASHTAG]#Ontario[/HASHTAG]
 
Asante God nimeamua kukesha na kuchelewa kibaruan ili niende Sawa na huu uzi sasa nmemaliza page zote kifuatacho nikutafta ivyo vitabu,Kiongozi ONTARIO nakuomba kwa Mala nyingine na nitaendelea kukusumbua kati ya hao 300 naomba na Mimi unishike mkono niwe miongoni mwao.
 
you will never make it with 200$ deposit because it will be difficult for you to manage risk
km
 
Nimekuwa na utaratibu wa kuweka madolari benko kuliko pesa zaetu za madafu for years now. sasa kama ningefahamu hii biashara mapema nadhani ningekuwa milionea tayari. kaka count me in kwenye montorship programme. nadhani ungetuweka wazi ni lini hasa hii kitu inaanza ili tujipange mkuu ontario
 
Mkuu hongera kwa kazi nzuri....lakini nataka kuuliza kuwa unavyoanza hizo pesa una deposit kwenye hiz hiz local acct zetu au kuna special account? ??
 
Ahsante sana kaka kwa ku share pamoja nasi hii idea nzuri kabisa.. Naomba kujumulishwa kwenye mentorship program
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…