mapenz matam
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 214
- 258
Down to earth comment.
Sio mtu anakuja hapa anatisha watu, oh sijui jiandae kuteketeza $2000. Hivi mpk mtu anapoteza hiyo na amezungukwa na mentors zaidi ya wa5 si anakua kajitakia.
Boss! FNB wako vizuri sana, hasa ukizingatia ndio wanatafuta kupenya kwenye soko la TZ so huduma zao ziko very loyal to customers ili kuattract new clients.
Soon baada ya phase kama 5 hivi nitafikiria kuexpact operations. Kama tutahitaji msaada wako tutakutafuta kiongozi. We must push hii kitu aisee. Kama utakua Bongo siku tunaanza classes, I'd wish to invite you utupe ushauri kiasi gani tunaweza kuimprove hii kitu kwa manufaa mapana ya hii programme.
Okay mwez wa 8 nitawatafta wadogo zangu mimi naamini na nimejifunza kwa wenzetu hawa kuwa loss huwa ni mwalimu mzuri saana anaekupa uwezo wa kujitafakari wapi ulikosea na wapi unatakiwa kujiimarisha. saafi saana kijana kwa kweeli big up. tutasaidiana tuu unajua kuna wahind hapo bongo hawalimi wala hawana maduka ila wanaish maisha matam tuu baasi wao mchezo wao huwa ndo huuu. Wanaijeria ndo usiseme unajua unaweza sema wanauza ngada kumbe hahahahahaahahaha.
jamani hii kitu narudia teena kusema ni nzuri saana saaana saaana aiseee cha muhimu tafta mentors na brokers wazuri huwez kula hasara ndugu yaangu. katika biashara nzuri Duniani na yenye pesa ya haraka haraka hapa duniani ni hiii. mi naipenda maana ndio taaluma niliyosomea lakini hata wewe sio lazima uwe umesomea mkuu hapo utapiga pesa tuu cha muhimi jitahid uisome uelewe kaa na mentors wakusaidie utaniambi