Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.

this is a pure risk management business - (it combines two most powerful forces in entreprenuership) INTENSE CAPITAL and HIGH RISK; if you ignore that... you will have to find out yourself, the hard way;
 
a wise man learns from his mistakes, a wiser man learns from other peoples mistakes.

I agree with you, kuna vitu vingine ni mpaka mtu mwenyewe ujaribu ndio uone, if someone else tells you, you will remain with alot of questions;
 
Aisee nimechelewa kuuona huu uzi, kabla ya kupitia page kwa page, naomba namimi niwe mmoja kati ya wanafunzi.
 
Unaisema d9 siyo..
 
The topic is getting more interested haya mambo nilisoma kwny international finance lkn nilikua naona kama ni theories na biashara za taasis kubwa. Asante kwa kiniamsha toka usingizi. Tafazal usiniache kat ya wale watu 300
 
a wise man learns from his mistakes, a wiser man learns from other peoples mistakes.

I agree with you, kuna vitu vingine ni mpaka mtu mwenyewe ujaribu ndio uone, if someone else tells you, you will remain with alot of questions;

Haya ndo utuache sasa tuendelee tunavyojua sisi. Tusipangiane maisha, wengine hii siyo risk ya kwanza kuichukua katika maisha.
 
The topic is getting more interested haya mambo nilisoma kwny international finance lkn nilikua naona kama ni theories na biashara za taasis kubwa. Asante kwa kiniamsha toka usingizi. Tafazal usiniache kat ya wale watu 300
Mna raha sana mkuu! Wenzenu tumezoea cosine...sin...tan...cot of angle!!

Ila tunakomaa! Nadhani nyie hamtapata shida kusoma!!

Karibu tujifunze pamoja!
 
Naomben jaman na mm kwa moyo wa dhati nisikoswe kwenye wateule 300, maana niko shallow nina hamasa kuijua had nime subscribe hii topic
 
Mkuu Ontario unahitaji kia na account gani ili ununue au uuze Pesa through forex trade
 
Asee mwaka Jana nilitaka kuanza hii biashara but nikawa na sita sana nikawa nimefungua demo account na AVATRADE wakawa wanapigia cm sana mpaka nikaisi uenda ukawa ni utapeli ila now umenifanya nianze kufikikiria upya shukrani sana
 
Naomben jaman na mm kwa moyo wa dhati nisikoswe kwenye wateule 300, maana niko shallow nina hamasa kuijua had nime subscribe hii topic
Tayari tumeshafika 770, ONTARIO ameshasema anatamani hata kupunguza list mpaka 30, sasa sijui critera gan itatumika kuwapata hawa first batch hahahahahah

Mi ngoja niendelee kubukua hapa vile vitabu alivyosema tusome asije akatoa kamtihani ka marticulation ili kupata wenye idea ndo aanze nao
 
Mbona sjaona kitabu alichosema kisomwe
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…