covid 19
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 6,967
- 17,452
hii kitu imewapagawisha watu wengi humu yani wengine hatuna interest na mahesabu ila nimejikuta nayasoma na yanapanda kwelikweli sasa nimejiuliza mbona way back in school nilikuwa siwezi kitu iweje hapa nielewe hivi...😀😀😀😀pesaaaaa kitu kingine bhana..
any way mkuu ontario kwa heshima yako naomba tusaidie namna nzuri ya kuanza hilo demo sasa material tunaendelea kuyasoma ila inavyoonesha ili tuelewe vizur zaidi kuhusu hii issue lazima iambatane kwa vitendo huku elimu ikiendelea kutolewa maana naona mabroker ni wengi tu sijui niingie wapi au nijoin broker zaidi ya mmoja kwa ajili ya demo bado sijajua kwakeli...
note: pia ungetoa mwongozo kwa ujumla kuhusu hiyo seminar/course ya Forex trade maana ninachokiona hapa ni kama vifaranga vilivyokosa mwongozo wa mama yao kila mmoja anajiendea anapopajua ili kupata chakula bila tahadhali ya kuliwa na mwewea.. maana hii biashara wanaofanikiwa ktk 100% ni kama 10% tu na 90% wanapoteza biashara zao yani wanaunguza account kwa sababu ya kukosa elimu elimu elimu elimu....nawasilisha