Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
hii kitu imewapagawisha watu wengi humu yani wengine hatuna interest na mahesabu ila nimejikuta nayasoma na yanapanda kwelikweli sasa nimejiuliza mbona way back in school nilikuwa siwezi kitu iweje hapa nielewe hivi...😀😀😀😀pesaaaaa kitu kingine bhana..

any way mkuu ontario kwa heshima yako naomba tusaidie namna nzuri ya kuanza hilo demo sasa material tunaendelea kuyasoma ila inavyoonesha ili tuelewe vizur zaidi kuhusu hii issue lazima iambatane kwa vitendo huku elimu ikiendelea kutolewa maana naona mabroker ni wengi tu sijui niingie wapi au nijoin broker zaidi ya mmoja kwa ajili ya demo bado sijajua kwakeli...
note: pia ungetoa mwongozo kwa ujumla kuhusu hiyo seminar/course ya Forex trade maana ninachokiona hapa ni kama vifaranga vilivyokosa mwongozo wa mama yao kila mmoja anajiendea anapopajua ili kupata chakula bila tahadhali ya kuliwa na mwewea.. maana hii biashara wanaofanikiwa ktk 100% ni kama 10% tu na 90% wanapoteza biashara zao yani wanaunguza account kwa sababu ya kukosa elimu elimu elimu elimu....nawasilisha
 
Asee mwaka Jana nilitaka kuanza hii biashara but nikawa na sita sana nikawa nimefungua demo account na AVATRADE wakawa wanapigia cm sana mpaka nikaisi uenda ukawa ni utapeli ila now umenifanya nianze kufikikiria upya shukrani sana
Hiyo demo account inafunguliwa bank gani
 
Life is everything about gambling. You are even gambling when you are waking up every morning.
hii ya kuambka kila siku asubuhi hajaiona, hehehee hua inaitwa 40-40-40 meaning unafanya kazi mass 40 kwa wiki, kwa miaka 40 alafu unastaafu na kulipwa 40% less ya kile ulicozalisha, downward au negative curve of success
 
wazo la tatu
Nikiwa Pretoria nilipata bahati ya kusali kanisa la 1 kati ya manabii maarufu zaidi hapa duniani Shepherd Bushiri Major 1. Ukiachilia mbali kua ni nabii lkn yuko mbali sana sana kibiashara, hata kama wewe ni Islam utakinzana nae kiimani lkn atakumotivate nje ya imani ktk mambo ya biashara na Ujasiriamali.
a6e5f30c2cecabb9be5fae79884e0439.jpg

Na kwa watu wanaohisi forex ni kamali au niseme gambling, hii ni tofauti kabisa. Ni kitu ambacho hata biblia imezungumzia, nilipata kua na uelewa mpana ktk hili baada ya kusoma kitabu cha Bushiri alivyoeleza kuhusu forex na kwa kiasi gani forex imempa utajiri mkubwa sana.
0318485055c9f0d4554bbc3fe4b75955.jpg
Bushiri ni huyu wa kati.
Kwani bushiri ni SI unit ya biblia au mambo ya kiroho katika ubora wake?
 
Hiyo demo account inafunguliwa bank gani
Demo account haifunguliwi benki mkuu kwenye hii biashara kuna ma broker wengi so unachagua broker moja ambae utakua na account kwake mfano kama social media zilivyo nyingi so u can decide kama unataka kua na account Facebook, Twitter, na nk
 
hii kitu imewapagawisha watu wengi humu yani wengine hatuna interest na mahesabu ila nimejikuta nayasoma na yanapanda kwelikweli sasa nimejiuliza mbona way back in school nilikuwa siwezi kitu iweje hapa nielewe hivi...😀😀😀😀pesaaaaa kitu kingine bhana..

any way mkuu ontario kwa heshima yako naomba tusaidie namna nzuri ya kuanza hilo demo sasa material tunaendelea kuyasoma ila inavyoonesha ili tuelewe vizur zaidi kuhusu hii issue lazima iambatane kwa vitendo huku elimu ikiendelea kutolewa maana naona mabroker ni wengi tu sijui niingie wapi au nijoin broker zaidi ya mmoja kwa ajili ya demo bado sijajua kwakeli...
note: pia ungetoa mwongozo kwa ujumla kuhusu hiyo seminar/course ya Forex trade maana ninachokiona hapa ni kama vifaranga vilivyokosa mwongozo wa mama yao kila mmoja anajiendea anapopajua ili kupata chakula bila tahadhali ya kuliwa na mwewea.. maana hii biashara wanaofanikiwa ktk 100% ni kama 10% tu na 90% wanapoteza biashara zao yani wanaunguza account kwa sababu ya kukosa elimu elimu elimu elimu....nawasilisha
Hahahahahah

Sasa ivi unaelewa kwa sababu inahusisha hela kuingia mfukoni

Hivo vitu ulivouliza ndo silabas yenyewe ya hiyo training...wewe fanya assignment ya kusoma kitabu achana na demo account...those are the issues to be sorted out during training
 
Demo account haifunguliwi benki mkuu kwenye hii biashara kuna ma broker wengi so unachagua broker moja ambae utakua na account kwake mfano kama social media zilivyo nyingi so u can decide kama unataka kua na account Facebook, Twitter, na nk
Asante Mkuu nimekusoma naomba unitajie hao mabroker basi Mkuu niwajue
 
Kwenye going long upo sahihi lakini short huwa ni kwa weak currency yani counter currencies ambazo Mara nyingi huwa hazipo stable zinashuka thamani Mara kwa mara

Kwa mfano wako USD ndio counter currency kwahiyo unakuwa una amini kwamba itashuka na kushuka kwake italeta faida in euro sababu ukitumia euro kununua USD Kabla dola haija shuka, kwahiyo utauza euro utanunua UsD,mpaka hapa unakuwa una USD mkononi halafu unasubiri ishuke, ikisha shuka utauza USD ununue euro na hii itakupa euro zaidi ya zile ulizokuwa nazo awali

Mkuu A2G, naona kwny short Kama unachanganya kidogo. Ukizungumza going short inamaana umespeculate price of the pair itashuka kwa maana utauza ili uje ununue Tena price ikiwa chini. Na siku zote going short maanake unauza base currency ambayo tumespeculate itashuka bei na kununua secondary currency ambayo bei itapanda. Ili Baaade tuje Tununue base currency (going long) at lower price.

Kwahyo going long is buying of base currency when we expect price of the pair to raise

Going short is selling the base currency when we expect the price of the pair to fall.

Kwahyo siku zote when you buy a pair it means you are buying base currency and selling secondary currency, this happens when you speculate the price will rise

When you sale a pair it means you are selling a base currency and buying secondary or counter currency, this happens when you speculate the price will fall.
 
Wazo la nne
Si hata wazo la msingi sana, hahaa. Sijui niandike nini, lkn nachotaka kumaanisha ni usiwe mchoyo, kama kuna rafiki yako wa faida unahisi inabidi aone huu uzi usisite kumtag.

Ni bora tukaepuka kuQuote huu uzi, ni mrefu sana sana, yani ukiquote unatusumbua sana ambao tunatumia simu na gadgets zingine ndogo ndogo.

Karibuni kwaaliji ya ku discuss.

Updates

Moja ya ombi la msingi ambalo nimeona watu wengi wanaulizia ni - "Ontario ni kitabu gani naweza kuanza nacho?"

Kila mtu ambae yupo interested atafute kitabu kinaitwa Currency trading for Dummies: Kimeandikwa na Brian Dolan 2nd Ed ndio poa zaidi. Cover yake ni kama changano then kuna dunia hivi inaramani za nchi mbali mbali.
Sawa mkuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom