Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Kaka chukua jina langu..

Niwe wa kwanza kwenye list yako ya watu 300.

Thanks and all the best brother..Ontario
 
Mkuu naomba uniweke kwenye list. Kwa muda mrefu sana niliwahi kutafuta knowledge ya kufanya hii kitu hapa Tanzania lakini sikufanikiwa.

Hongera sana kwa hiki ulichofanikisha mpaka sasa. Na unalosema ni kweli benki nyingi hawataki watu wajue kuhusu hii kitu.

Mimi niliwahi kumuuliza jamaa mmoja ni trader wa NMB Bank dawati la Forex ebana nilizungushwa mpaka basi. Halafu jamaa alikua mbele yangu chuo miaka miwili.
 
Mkuu naomba sana, uniweke kwenye orodha ya hao 300 utakao anza nao.
 
Hahaaaaaaa. Dah umeniamsha vema. Kiuhalisia hesabu inatakiwa iwe sehemu ya maisha yetu ya kila siku.
Daily unatakiwa ubalance income and expenses, assets and liabilities, tena according to Robert Kiyosaki, hapo maisha yatakunyookea
 
Mkuu Ontario, usinisahau kwenye hii fursa maana naona itanipa matokeo makubwa katika kupata asali na maziwa.
 
Sorry mkuu....
Kabla sijakuuliza swali linalohusu huki ulichoandika hapa.
Naomba kwanza kujua hizo investment ulikuwa unazifanyia nchi gani? Ni Tanzania, Kenya, Uganda, SA, Japan, USA au wapi?
Hapahapa Tannzania----hiyo ni electronic platform kwa hiyo it doesnt matter really
 
jamani samhani nilisema sitojibu PM yeyote ya mtu so plz msijisumbue saana. hapa naangaika kutafta ka kitabu flani nilikanunua mwaka 2011 kutoka dow jones. Ni kazuri saaana kanasaidia beggeners pamoja na pros. aisee kako poa mnoo hata uwe nesi ukikasoma kale na kalivyosimple (maana jamaa wanaelezea forex market kama wanamfundisha mtoto wa darasa la saba toka kishumundu) kana njia zoote za kukuepusha wewe na risk pia maswali kadhaa kwa forex dealer waako nk. Aisee nikazur saana. sasa jamani nakatafta sikapati kabisa sijui kako waapi na jini sikakukmbuki maani ni kama ka hand book. Niombeeni nikakumbuke jamani mimi nitakatoa hapa bure japo nilikanunua $1100.
 
Kwani wewe umeelewa vipi?
Mimi sijaona cha maana chochote alichoongea kwenye hilo bandiko lake zaidi ya kutaka kutuambukiza ujinga, ndio maana nikakutaka wewe unifahamishe hicho cha maana ulichokiona humo ndani! Pengine labda mimi ndio mjinga kwa kutokuona madini yaliyomo kwenye hiyo comment yake uliyemnukuu.
 
mimi nina miaka 60 na nategemea nitumie kiinua mgogo changu kuingia kwenye hiyo biashara je?nitakuwa nimechelewa kwa ajili ya umri wangu?
 

Kinaitwaje??
 
hamna bana watu wapo chimbo wanasoma utagundua pale yatakapoanza kuulizwa maswal ya kutosha, no sweet without sweat xo acha tupambane
 
Aisee, Kweli duniani hakuna cha bure. Nilidhani ukipewa leverage funds ndo unakopeshwa pesa mazima na ukiipoteza unakuwa umeipoteza for good pasipo kudaiwa, Kumbe nilikuwa naingia chaka. Hehehehee.

Kumbe ni kwamba baada ya kukopeshwa na wewe ukafanya biashara, biashara ikiwa inaenda njema katika upande wako ni sawa, unaachwa uendelee na biashara na mwishoni broker atatoa pesa yake aliyokukopesha na kukuacha na faida yako. Ila ikiwa inaenda kinyume na wewe ni kwamba broker anahaki ya kucut of trade ikiwa inaendelea na kuiclose Pale tuu balance inapokaribiana na 100% collateral margin balance bila ya wewe kukutaarifu. Na sheria inamlinda katika hili.

Maana nilikuwa nishaanza kuipangia leveraged mone namna nitakavyoitumia. With this money inatakiwa uwe makini haswa. Sasa hapa nimejijibu swali langu wakati thread inaanza hapo mwanzoni.

Haya sasa tuendelee kuingia chimbo.

CC: Ontario, Bavaria. Ni kweli ipo hivi ama bado nipo chaka...??
 
Wazee wa kubet tutahamia huku sasa. Sekiyu sana

Aisee hii ni tofauti na kubet jombaa. Sema tuu ukiwa muweka mizigo unakuwa na advantage moja, Pressure ya kupoteza na kuloose unakuwa na experience nayo, kwa maana utaibeba tokaa huko katika mikeka na kuhamia nayo huku katika Forex.

That is the one thing in common, otherwise they are totaly different.
 
Aisee hii ni tofauti na kubet jombaa. Sema tuu ukiwa muweka mizigo unakuwa na advantage moja, Pressure ya kupoteza na kuloose unakuwa na experience nayo, kwa maana utaibeba tokaa huko katika mikeka na kuhamia nayo huku katika Forex.
Mi nataka nijue where to start on doing forex
 
Mi nataka nijue where to start on doing forex


Kuanzia, kamata kitabu chako kamua msuli, unapokwama ingia www.investopedia.com for more clarification about topic (hii website mimi ndo nimeona inaeleza somehow good kwa sisi layman ambao hatuna background ya finance) Kitabu utakipata katika post namba 441 kimekuwa attached.

ukimaliza kitabu subiri muongozo na maelezo ya mentor, ambapo katika hili tutakuwa tunamsikilizia ndugu yetu ontario. Mwanzo ndo huo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…