Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Such an excellent business to deal with, count me in..
 
mimi nina miaka 60 na nategemea nitumie kiinua mgogo changu kuingia kwenye hiyo biashara je?nitakuwa nimechelewa kwa ajili ya umri wangu?
Mzee, kwanza katika biashará kama hii hakuna anayemjali umri. Ni uwezo wako tu wa kujifunza na kuwa tayari kushinda na kushindwa. Forex ni kazi kama kazi nyingine. Ukiwa Mbele ya screen zima wassap na TV na redio. Panga vizuri na operate bila usumbufu. Operate demo account free miezi kadhaa na pía tafuta YouTube kuhusu forex na technical analysis. Hata mwaka u tum ie.
Ila lakini usicheze na kiinua mgongo wako. Anza kidogo let's say usd500 baada ya kujifunza kwa miezi kadhaa Mpaka mwaka. Kwa uhakika utafurahi kupata ushindi, lakini uwe tayari kupoteza pía pesa. Hakuna uhakika asilimia mia. Utajenga account yako juu ya Ile pesa ya awali. Usitoe pesa mpaka account ikue ya kutosha kama us 4000 na kuendelea na unaacha el fu mbili kwa kuendelea. Polepole utakuwa unajifunza zaidi na utaweza kuweka pesa zaidi kwenye account na risk zaidi.
Mimi nimeanza kucheza na euro chache sana ili kujaribu experience yangu na bado najua itabidi Nitumie miezi kama minne zaidi kwa kuwa comfortable. Naweka objectives ndogo, kama euro mia kwa siku, na nikizipata naacha kuoperate sababu ukianza kuwa overconfident basi utapoteza pesa mara moja.

In fact vijana wengi wanaoperate forex kama kazi ya pili sababu hawana muda sana. Ukistaafu utakuwa na advantage kubwa sana ya kuoperate masaa muhimu kama za openings za masoko ya Asia, Ulaya, na Merikani.
 
Shukrani mtoa maada, ningependa kushiriki pia katika hii training.Naomba kuuliza mr ANTORIO or yoyote mwenye ufahamu, ni lazima debit card yangu iwe ni ya USD au hata hizi account za Tsh zinatumika katika kupokea pesa/faida.
 
Nimeshikwa na ukakasi na hii contribution yako hadi nimeguswa kukuuliza jambo....hivi unaijua vizuri forex trading ni nini hadi uconclude kuwa kwa Tanzania haiwezekani? Hivi kwa nini kama kitu hukijui usinyamaze usubiri werevu waje watuelimishe? hiyo dd & ss ya unayozungumzia lazima iwe na "market place" yenye buyers and sellers na "commodity" inayouzwa. aliyekwambia hilo soko ni soko la ndani ya TZ ni nani? aliyekwambia bidhaa inayouzwa iko kwenye hiyo "virtual market" iko TZ ni nani? aliyekwambia participants wa hiyo market ni watz pekee ni nani kwamba kusipokwepo na dd from Tanzanians means soko litakufa.....kama huna majibu ya hayo maswali please nyamaza.
 

Pumba zingine jamani.....duu Mungu atusaidie....nadhani jukwaa la linguistic kule litakufaa zaidi..... Mkuu Ontario usikatishwe tamaa na watu wa dizaini hii.
 
Hii platform inaonekana kuwa user friendly zaidi kuliko MetaTrader 4
Mkuu

Hivi kuna range ya network (secure) ambayo with that ndo utaweza kuoperate hiyo virtual account? Imenishangaza a network ambayo nafanya almost kila kitu, lakini kila nikijaribu naambiwa a failed network

NB ... Niko sehemu ambayo at best naweza ku-access H+
 
Naomba Msaada wa kufungua demo account nianze kucheza nayo huku nikiendelea kujifunza, Ontario, Complex and any other who knows how to do it please mnisaidie.
 
Ila inafaida nzur sana mfano leverage ya broker ni 100:1 mfano ume deposit $1000 .... kwa leverage una 100,000$ kwa volume hii unapata faida kubwa sana uki trade... the higher the volume the higher the profit.. so hii leverage n nzur sana...! Kama mkopo tu....
 
Mkuu ONTARIO inaonekana hata ulivyo kuwa unasoma ulikua sio mchoyo wa matirio kwa wenzio salute MKUU
Twende pamoja japo ni risk ila poa tu huwezi pata bila kupoteza
 
Boss naomba Usajili Katika Somo hilo, kwa sasa acha niendelee kupata muongozo wa Kitabu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…