Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee, kwanza katika biashará kama hii hakuna anayemjali umri. Ni uwezo wako tu wa kujifunza na kuwa tayari kushinda na kushindwa. Forex ni kazi kama kazi nyingine. Ukiwa Mbele ya screen zima wassap na TV na redio. Panga vizuri na operate bila usumbufu. Operate demo account free miezi kadhaa na pía tafuta YouTube kuhusu forex na technical analysis. Hata mwaka u tum ie.mimi nina miaka 60 na nategemea nitumie kiinua mgogo changu kuingia kwenye hiyo biashara je?nitakuwa nimechelewa kwa ajili ya umri wangu?
ForexTrader Pro
Nimeshikwa na ukakasi na hii contribution yako hadi nimeguswa kukuuliza jambo....hivi unaijua vizuri forex trading ni nini hadi uconclude kuwa kwa Tanzania haiwezekani? Hivi kwa nini kama kitu hukijui usinyamaze usubiri werevu waje watuelimishe? hiyo dd & ss ya unayozungumzia lazima iwe na "market place" yenye buyers and sellers na "commodity" inayouzwa. aliyekwambia hilo soko ni soko la ndani ya TZ ni nani? aliyekwambia bidhaa inayouzwa iko kwenye hiyo "virtual market" iko TZ ni nani? aliyekwambia participants wa hiyo market ni watz pekee ni nani kwamba kusipokwepo na dd from Tanzanians means soko litakufa.....kama huna majibu ya hayo maswali please nyamaza.Biashara zote dunian zinasimama kwenye kanuni moja: 'supply and demand', weka akili yako hapo na utafakari what are supplying to fulfill the certain demand? Alichosema ONTARIO si kipya na kadadvua vizuri, ila mimi nikasema kwa sasa hapa Tz hakiwezekani labda kizazi kijacho. Nikirudi kwenye kanuni ya 'supply and demand' kwa kuangalia biashara ya forex ninajiridhisha pasi na shaka kwamba ni NDOTO kufanikiwa kwa sasa hapa Tz with the trending political economies surrounded with people whose blogged minds are like yours.
The law of supply and demand is the theory explaining the interaction between the supply of a resource (forex in this case) and the demand for that resource. The law of supply and demand defines the effect the availability of a particular product and the desire (or demand) for that product has on price. Generally, a low supply and a high demand increases price, and in contrast, the greater the supply and the lower the demand, the lower the price tends to fall.
ONTARIO's orchestration to you guys is to venture into forex business. This needs a tranquilized mind to diget this. The idea is superb and I have rhetorically being saying this. But, the idea is not idealistic now serve for the future generation.
You seem to be too naive in this complicated financial trade. Do you think it's just a click of your fingers on your computer keyboard that'll make you trans act in international trade? No way. In any investment you must have CAPITAL, and where do you get this forex capital if you don't have anything generating it?
Nikakupa exchange rate ya Somalia against our shilling, bahati mbaya ww ukaona kwamba hiyo ndo translation ya uchumi, maskini we. Nimekupa hiyo ili akili yako ifanye kazi ya kujiuliza maswali mengi.
Ni watu kama nyie ambao hamjawahi ku fanya practically any forex transaction mnabwabwaja bila kujua.
MkuuHii platform inaonekana kuwa user friendly zaidi kuliko MetaTrader 4
Ila inafaida nzur sana mfano leverage ya broker ni 100:1 mfano ume deposit $1000 .... kwa leverage una 100,000$ kwa volume hii unapata faida kubwa sana uki trade... the higher the volume the higher the profit.. so hii leverage n nzur sana...! Kama mkopo tu....Aisee, Kweli duniani hakuna cha bure. Nilidhani ukipewa leverage funds ndo unakopeshwa pesa mazima na ukiipoteza unakuwa umeipoteza for good pasipo kudaiwa, Kumbe nilikuwa naingia chaka. Hehehehee.
Kumbe ni kwamba baada ya kukopeshwa na wewe ukafanya biashara, biashara ikiwa inaenda njema katika upande wako ni sawa, unaachwa uendelee na biashara na mwishoni broker atatoa pesa yake aliyokukopesha na kukuacha na faida yako. Ila ikiwa inaenda kinyume na wewe ni kwamba broker anahaki ya kucut of trade ikiwa inaendelea na kuiclose Pale tuu balance inapokaribiana na 100% collateral margin balance bila ya wewe kukutaarifu. Na sheria inamlinda katika hili.
Maana nilikuwa nishaanza kuipangia leveraged mone namna nitakavyoitumia. With this money inatakiwa uwe makini haswa. Sasa hapa nimejijibu swali langu wakati thread inaanza hapo mwanzoni.
Haya sasa tuendelee kuingia chimbo.
CC: Ontario, Bavaria. Ni kweli ipo hivi ama bado nipo chaka...??