Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Wewe hakuna ulichoambulia kwenye hii mada hii ni biashara inayohusisha dunia nzima na sio kama unavyofikiria wewe hata watanzani milion 1 wajiunge na hii biashara haiwezi kuwa hivyo unavyodhani wewe

kwa mimi nilivyoelewa ni hivi kwa mfano mtu anakuhadithia kitu ambacho kimetokea mahali ambapo hujawahi hata kufika wewe mwenyewe kwenye mind huwa unajenga picha ya tukio zima lilivyo kupitia hiyo stor hapa bado hatujafunguliwa ila kuna watu ambao tayari wameona mwanga na hata hili bandiko likiishia hapa kuna watu wanafanikiwa kufanya hii biashara

Biashara zote dunian zinasimama kwenye kanuni moja: 'supply and demand', weka akili yako hapo na utafakari what are supplying to fulfill the certain demand? Alichosema ONTARIO si kipya na kadadvua vizuri, ila mimi nikasema kwa sasa hapa Tz hakiwezekani labda kizazi kijacho. Nikirudi kwenye kanuni ya 'supply and demand' kwa kuangalia biashara ya forex ninajiridhisha pasi na shaka kwamba ni NDOTO kufanikiwa kwa sasa hapa Tz with the trending political economies surrounded with people whose blogged minds are like yours.

The law of supply and demand is the theory explaining the interaction between the supply of a resource (forex in this case) and the demand for that resource. The law of supply and demand defines the effect the availability of a particular product and the desire (or demand) for that product has on price. Generally, a low supply and a high demand increases price, and in contrast, the greater the supply and the lower the demand, the lower the price tends to fall.
 
Ndiyo maana kuna kampuni nyingi za clearing and forwarding(C&F) zilizofilisika. Inabidi kabla kukurupuka kwa ushauri inabidi ujue kama hiyo kampuni hiko recognised, reliable na inafanya kazi ethically. Makampuni mengi ya C&F yalikuwa ya wizi mtupu bongo, mengi sasahivi ni mufilis tangu Magufuli aliposhugulikia bandarini. Kuhusu, kuagiza gari Japan wala sihitaji C&F company...naweza agiza mwenyewe direct from Japan.

Mimi nakubali kwamba hii FX trading ni nzuri na it can be a lucrative way to make money. Lakini wabongo wengi nimegundua tuna pupa na hatuulizi the right questions badala yake tunafwata mkumbo (following the crowd)

Huyu ndugu Ontaria ametoa maelezo mengi ambayo ni mazuri tu, lakini hajatuambia alitumia website gani ya Forex Trading kutengeneza hizo pesa. Badala yake, ameongelea mambo ya kufungua ofisi, training and so on ili apate wateja kutengeneza pesa.

Sisi tunataka atueleze kwa ufupi kwamba alitumia website hipi, account au bank card ya namna gani kuendesha hiyo FX Trading na atupatie statement inayo onyesha earning zake katika trading. Pia ikiwezekana, siyo lazima, atupatie ka background kake kadogo with evidence.

Mkuu Kama nimekuelewa vizuri ni Kama vile unapinga watu kujifunza kupitia Ontario yani unataka Ontario atoe kila kitu anachojua humu ili watu wajifunze kuptiia thread hii halafu waanze wenyewe kutrade. Haupo serious

Unaona Ontario atakuwa tajiri sana kwa kulipisha Ada kufundisha watu wakati kajitolea kufundisha 300 bure!!

Unacho nishangaza zaidi na kunifanya niamini kwamba hujasoma alichosema ontario ni kwamba huoni umuhimu wa mtu kuwa na mentor au mtu wa kumuongoza, lkn pia hujaelewa kwamba Ontario kasema ateleta uzi au maelezo zaidi ya namna ambavyo watu watafundishwa na kupewa muongozo mpaka watakapo kuwa traders wazuri

Wewe una prefer mtu ajifunze mwenyewe na sio apewe mafunzo rasmi na kuongozwa anapo anaza mpaka atakapoweza kujitegemea

Kwa taarifa yako tu hii thread peke yake kitendo cha Ontario kuifungua ilipaswa tumlipe kwa kutupa taarifa za hii fursa

Mwisho Kama unaona huu ni utapeli kwanini unapoteza muda na nguvu kucomment mzee? Potezea endelea na mambo yako mengine
 
Ndiyo maana kuna kampuni nyingi za clearing and forwarding(C&F) zilizofilisika. Inabidi kabla kukurupuka kwa ushauri inabidi ujue kama hiyo kampuni hiko recognised, reliable na inafanya kazi ethically. Makampuni mengi ya C&F yalikuwa ya wizi mtupu bongo, mengi sasahivi ni mufilis tangu Magufuli aliposhugulikia bandarini. Kuhusu, kuagiza gari Japan wala sihitaji C&F company...naweza agiza mwenyewe direct from Japan.

Mimi nakubali kwamba hii FX trading ni nzuri na it can be a lucrative way to make money. Lakini wabongo wengi nimegundua tuna pupa na hatuulizi the right questions badala yake tunafwata mkumbo (following the crowd)

Huyu ndugu Ontaria ametoa maelezo mengi ambayo ni mazuri tu, lakini hajatuambia alitumia website gani ya Forex Trading kutengeneza hizo pesa. Badala yake, ameongelea mambo ya kufungua ofisi, training and so on ili apate wateja kutengeneza pesa.

Sisi tunataka atueleze kwa ufupi kwamba alitumia website hipi, account au bank card ya namna gani kuendesha hiyo FX Trading na atupatie statement inayo onyesha earning zake katika trading. Pia ikiwezekana, siyo lazima, atupatie ka background kake kadogo with evidence.

Mkuu.

Binafsi simfahamu wala sina urafiki na Ontario.

Ila nnachotaka kukwambia ni kwamba, alichokupa mpaka hapo kinatosha kukufanya kuwa milionea. Amekupa wazo la biashara na baadhi ya steps, kilichobaki ni wewe kutimiza tu.

Kama hujui kuhusu forex, hata akikupa list ya brokers haikusaidii kitu. Ila kama unafahamu kuhusu forex lazima utakuwa unawafahamu brokers wawili watatu.. Ndio maana akataka kuwafundisha watu kwanza kuhusu forex then hilo la broker utakuwa umeshapata mwanga.

Pia, muda uliotumia humu ungeingia google ungeshapata list ya brokers ni wewe kuchagua tu, labda kwa kukusaidia. Unaweza kuwacheki hotforex, XM, FxPro, trade.com, pepperstone, interactive etc manake wapo mamia kwa maelfu.

You don't need to be inspired to start a certain business. Angekuonesha statement yake, mngeanza kusema ni show off au anavutia wateja awapige pesa. What you need to be a good businessman ni kufanyia kazi taarifa chache unazopata. Kama unakwama ndo unaomba assistance toka kwa wanaofahamu.

Amekupa taarifa, ni kiasi cha wewe kuanza kufanyia kazi, unless wewe upo kwenye hii biashara tayari.

Kuongezea;

Wengine hatukuwa na watu kama Ontario wa kutufungua macho, kuonesha fursa na kuwa tayari kutusaidia. Nimeanza kujifunza Forex sijui chochote, nimepakua vitabu na kuangalia youtube videos mwenyewe na kujifunza mwenyewe bila hata kuwa na mentor.

Nimeunguza account kama 5 ila sikukata tamaa, nilizidi kujifunza kila siku.

Muache Ontario awape mwanga watu waliotayari. Nakuhakikishia kati ya hao watu 300, hawatafika watu watano ambao wataendelea na hii biashara.
 
Dah!! Nimekuaga naona tu forex ila cjawahi kujua kama ni kitu cha maana hivi.. Asante sana kwa hii elimu.. Plz naomba niwe miongoni mwa hao watu 300 wa mwanzo

Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
 
Dude you are totally misinformed about FOREX, every thing you are trying to say here exposes your huge bankruptcy of online currency exchange knowledge. Maybe you have an agenda of dragging people toward your technological backwardness in this digital generation.

Yaani hata yule aliyeku-quote mara ya kwanza hujamuelewa bado unakomaa tu kutuonyesha haiwezekani, nonsense.

Nikutoe tu hilo Giza uliliopo kwenye ufahamu wako, kiufupi ni kwamba traders wengi waliopo kwenye hii biashara wanacheza na uchumi wa US na UK tu basi wakienda zaidi ya hapo basi ni CANADA na JAPAN.

Kwahiyo kwa yoyote atakaeingia kwenye hii business hata kama yuko huko Kolomije atakuwa anachezea uchumi wa Marekani na Japan kwenye laptop yake, na kamwe hawezi kuugusa uchumi wa bongo kwa hiyo hapa uchumi ukiyumba usiyumbe yeye hamuhusu kabisa kwa sababu anacheza na dollars na euros au yen. Uchumi pekee ambao unaweza ukamuhusu kwa hapa Afrika na penyewe labda akiamua ni uchumi wa South Africa.

Sasa nashangaa wewe umenileta hiyo link inayohusu uchumi wa Tanzania na Somalia. Unachekesha kweli jamaa.

ONTARIO's orchestration to you guys is to venture into forex business. This needs a tranquilized mind to diget this. The idea is superb and I have rhetorically being saying this. But, the idea is not idealistic now serve for the future generation.
You seem to be too naive in this complicated financial trade. Do you think it's just a click of your fingers on your computer keyboard that'll make you trans act in international trade? No way. In any investment you must have CAPITAL, and where do you get this forex capital if you don't have anything generating it?
Nikakupa exchange rate ya Somalia against our shilling, bahati mbaya ww ukaona kwamba hiyo ndo translation ya uchumi, maskini we. Nimekupa hiyo ili akili yako ifanye kazi ya kujiuliza maswali mengi.
Ni watu kama nyie ambao hamjawahi ku fanya practically any forex transaction mnabwabwaja bila kujua.
 
Mngekuwa mnaelewa nini naongea kabla ya kuja na maswali haya obvious mngefanya research japo ndogo kuhusu hii kitu. Lkn kwakuwa naamini tumefichwa 'right info' sitawashangaa sana. Na kwavile nafahamu wabongo hatupendi kusoma sioni ajabu mtu kufananisha forex na upuuzi wa DECI.

Ponzi scheme sijui km mnaielewa ndg zangu, how does it relate na nilichokizungumza hapa.? Labda kama muwe hamjaelewa kabisa nini nazungumza. Mtu anafananisha forex trading na taka taka kama forever living. Seriously!!

Hivi BoT wao wanatrade foreign currency, sawa na mabenki afu mtu anasema anafurahi jinsi wanavyoweka upinzani, huku bado anauliza kama trading ni Ponzi. Hebu tuache kujifanya wajuaji.
Usihamaki, watanzania tumelizwa sana. Alafu nadhani wewe mwenye ulianza vizuri kutambua kuwa wengi hatuji na umekuja kutuelimisha. Naamni umjiandaa kisaikologia kwa mikimiki yote na ndio maana unaksema tuweke mawazo yetu kwa uwazi. Sikulinganisha Forex Tarde na Pyramid Scheme, bali nimedral symilarities kwamba both ni za kimtandao. Pyramid schemes mfano wake ni DECI. Ndio maana nikasema as long as umeclear with BoT, it will be very easy for us ambao uelewa wetu ni mfinyu.

Jambo lingine, ni ukweli usiopingika kuwa kuna financila schemes nyingi sana zibeibuka hapa TZ na zote zinatokea nje ya nchi. Wanadai wako regiatered, kwamba kampuni yao ina lini na mkampuni makubwa duniani na hivo ukiweka hela unanua hisa and that kind of verbal story without provide reliable legal documents.

Hiyo ndio sababu nikasema muhimu kwako kusettle all legal issues. Verbal asaurancw in not enough for some of us. Once all is in place, and because there is nothin to hide, please let us know the legal status of the reapective trading business. I assure, i will be among the first ones to join.
 
Mkuu mimi swali langu ni hili "IQ Option" inaanguia kwenye aina ipi ya broker kati zile mbili ulizozitajaa?
 
Nimepata shida sana kuelewa brokers...na kwanini wawepo ila naamini taratibu nitaelewa
 
Biashara zote dunian zinasimama kwenye kanuni moja: 'supply and demand', weka akili yako hapo na utafakari what are supplying to fulfill the certain demand? Alichosema ONTARIO si kipya na kadadvua vizuri, ila mimi nikasema kwa sasa hapa Tz hakiwezekani labda kizazi kijacho. Nikirudi kwenye kanuni ya 'supply and demand' kwa kuangalia biashara ya forex ninajiridhisha pasi na shaka kwamba ni NDOTO kufanikiwa kwa sasa hapa Tz with the trending political economies surrounded with people whose blogged minds are like yours.

The law of supply and demand is the theory explaining the interaction between the supply of a resource (forex in this case) and the demand for that resource. The law of supply and demand defines the effect the availability of a particular product and the desire (or demand) for that product has on price. Generally, a low supply and a high demand increases price, and in contrast, the greater the supply and the lower the demand, the lower the price tends to fall.

Everything is done online, ni wewe uwe na PC yako iliyounganishwa na internet basi. Pia unatrade major currencies tu. Hizi za dunia ya tatu hazipo liquid sana. Unafungua account na broker then kupitia platform yake (either Metatrader 4/5 au cTrader) unaweza ku-access global financial market. Currencies unaziona huko.

Mfano wa hizo platforms ni kama hizi.

Hii ni cTrader

cTrader.PNG

Na hii ni MT4

MT4.PNG

Ukiangalia upande wa kushoto wa hizo picha utaona hizo major currencies, stocks, ETFs and commodities. Zimewekwa kwenye prices mbili, ya bid and ask.
 
Tuko pamoja, nnaamini sitokosa nafasi kwenye lile kundi la mwanzo kabisa.. Niko standby
 
Hiyo niliyotuma inaitwa detailed report. Kwa wale wanaofanya trade wanaifahamu. Inakuwa extracted kutoka kwenye account yako ya trade. Kama inavyoonyesha nilianza na 5000 usd na ndani ya muda mfupi nikapata faida ya 19,000 usd. Lengo la kuwaonyesha hii ni kutaka kuwathibitishia kuwa jamaa hajawadanganya. Details zingine sikuchukua picha yake kwa sababu ita-reveal my true Identity. All the best guys
 
Nianze kwa kusema kuwa hii biashara inawezekana maana kila kitu ni online so unanunua popote na kuuza popote...
Nilichogundua kwanza inabidi uwe mentally and physically fit kwasababu kuna programming inahusika ili uwe updated mda wote unless unakula hasara ya kutosha
Pia ni siku 5 za wiki ndio unaweza kuwa active sasa kama wewe ni mwajiriwa inabidi ujipange maana mda wote utajikuta unatafuta masomo ya kununua na kuuza, kiujumla hii ni kazi kama hazi nyingine tena inayohitaji mtu makini sana.
 
Hiyo niliyotuma inaitwa detailed report. Kwa wale wanaofanya trade wanaifahamu. Inakuwa extracted kutoka kwenye account yako ya trade. Kama inavyoonyesha nilianza na 5000 usd na ndani ya muda mfupi nikapata faida ya 19,000 usd. Lengo la kuwaonyesha hii ni kutaka kuwathibitishia kuwa jamaa hajawadanganya. Details zingine sikuchukua picha yake kwa sababu ita-reveal my true Identity. All the best guys
Hongera sana mkuu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom