Wambandwa
JF-Expert Member
- Dec 3, 2006
- 2,249
- 832
Wewe hakuna ulichoambulia kwenye hii mada hii ni biashara inayohusisha dunia nzima na sio kama unavyofikiria wewe hata watanzani milion 1 wajiunge na hii biashara haiwezi kuwa hivyo unavyodhani wewe
kwa mimi nilivyoelewa ni hivi kwa mfano mtu anakuhadithia kitu ambacho kimetokea mahali ambapo hujawahi hata kufika wewe mwenyewe kwenye mind huwa unajenga picha ya tukio zima lilivyo kupitia hiyo stor hapa bado hatujafunguliwa ila kuna watu ambao tayari wameona mwanga na hata hili bandiko likiishia hapa kuna watu wanafanikiwa kufanya hii biashara
Biashara zote dunian zinasimama kwenye kanuni moja: 'supply and demand', weka akili yako hapo na utafakari what are supplying to fulfill the certain demand? Alichosema ONTARIO si kipya na kadadvua vizuri, ila mimi nikasema kwa sasa hapa Tz hakiwezekani labda kizazi kijacho. Nikirudi kwenye kanuni ya 'supply and demand' kwa kuangalia biashara ya forex ninajiridhisha pasi na shaka kwamba ni NDOTO kufanikiwa kwa sasa hapa Tz with the trending political economies surrounded with people whose blogged minds are like yours.
The law of supply and demand is the theory explaining the interaction between the supply of a resource (forex in this case) and the demand for that resource. The law of supply and demand defines the effect the availability of a particular product and the desire (or demand) for that product has on price. Generally, a low supply and a high demand increases price, and in contrast, the greater the supply and the lower the demand, the lower the price tends to fall.