Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Nenda kwa Ontario kwanza. Atakupa kitu roho inapenda.
Ontario yuko dar afu mi niko Mwanza. Afu yuko na maombi lukuku hivyo kwakuwa na wewe u mjuzi nimpunguzie jam Ontario.
Mkuu, hata kwa whatsapp ikibidi utuanzishie ka group!
 
mkuu ONTARIO: nmeshakipata hicho kitabu chapuu "currency trading for dummies" nitaanza kukisoma kesho! mkuu ninachokuomba tu ni kuwa miongoni mwa watu hao watu 300...am very hungry for success!
 
Thanx ONTARIO kutokuwa mchoyo. Niko mkoani,naomba niweke kwenye tag list yako,tuwe pamoja. Nitatafuta angalau $200 ili nijiunge, ila nahitaji elimu zaidi mkuu
 
Mwendo wa madolar lazima uwe risk taker kama pablo Escobar tuelekeze ofisi yako na darasa linaanza lini am in man!
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Nimefurahi kuona mwitikio wa waTz.
Na mimi ningependa kuwa sehemu ya watu 300
 
ONTARIO Usisahau kufunga CCTV Cameras(&ulinzi wa uhakika) kwenye madarasa na ofisini, manake hapo umesema kwamba ishu ya forex ina maadui wengi, na maadui wakubwa ni mabenki,
sasa zisije zikatokea figisu za kuanza kuvamiwa na mwisho wanafunzi wakaogopa kuja.
Ni mawazo yangu tu hayo
 
Mimi nipo mkoani ila kama utakuwa unafanya one to one mentor ship nitaweza kukufuatilia
(Nina theory bado practical)
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Duh! Hapa kuna harufu ya MIHELA.

ushauri: Ontario ni JF nickname, wanaotaka kujiunga na mtandao muwe makini as nasikia harufu ya matapeli kuiona fursa Hii ya aggressive people. Atakupigia mtu au atatafuta njia ya kuteka minds za watu kwa jina la ONTARIO akulize pesa ngumu za Magufuli.

Let we be extra careful na hizi moves.
Yes, we should be risk takers, but we must be calculative risk takers.

Nia njema ilete mema kwa umakini.
 
Mm ningependa kufahamu kutoka kwako.
Specifically ni currency ngapi na zipi ww umekuwa ukidili nazo?

Ambazo ziko stable na hazina hasara sn?
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Ontario yuko dar afu mi niko Mwanza. Afu yuko na maombi lukuku hivyo kwakuwa na wewe u mjuzi nimpunguzie jam Ontario.
Mkuu, hata kwa whatsapp ikibidi utuanzishie ka group!

Umeshaanza kutrade? Au hujui kitu kabisa?

Sipo vizuri kwenye mambo ya whattsap mkuu. Nikisema nianzishe group sitaweza kupata muda wa kufanya hivyo.

Mwenyewe nipo DSM mkuu..
 
Duh! Hapa kuna harufu ya MIHELA.

ushauri: Ontario ni JF nickname, wanaotaka kujiunga na mtandao muwe makini as nasikia harufu ya matapeli kuiona fursa Hii ya aggressive people. Atakupigia mtu au atatafuta njia ya kuteka minds za watu kwa jina la ONTARIO akulize pesa ngumu za Magufuli.

Let we be extra careful na hizi moves.
Yes, we should be risk takers, but we must be calculative risk takers.

Nia njema ilete mema kwa umakini.
Kama wewe humjui basi usifikiri ndio sote hatumjui,
kinachofanyika hapa ni kulindiana heshima tu, lakini kuhusu suala la utapeli hiko kitu ONTARIO hawezi kukifanya, na sijui ataanzia wapi na atakwenda kujifichia wapi...
Kwahiyo hayo mawazo futa
 
Naimani mko salama wana JF!

So far so good, achilia mbali kusoma na kujua how to trade au kuwa na capital/pesa kwenye account bado kuna kitu ambacho ni LAZIMA wewe kama trader ujue. Forex inaendeshwa kwa matukio mbali mbali yanyotokea duniani na nnaposema duniani namaanisha mataifa makubwa sio haa yetu ya dunia ya tatu!

Mfano, nakumbuka baada ya Donald trump kushinda uchaguzi (kabla hajaapishwa), soko la hisa na bidhaa mbali mbali duniani hasa USA zilitikisika sana hapa utajiuliza kwanini??

Kuna matukio kama lile la brexit,lile tukio la Uingereza kujitoa kwenye umoja wa Ulaya, japo sikusikia any bad new infact kwasababu sikufwatilia, ila I believe hili tukio lilitikisa sana thamani ya euro na pound!!

Haya turudi tena kwenye chokochoko za china, usa, Russia, iran, North korea na israel. Hizi zote ukiziangalia kwa angle flani zina impact katika forex. Kuna wakati naamini hizi chokochoko zinaanzishwa maksudi ili kutikisa ulimwengu wa flow ya pesa!

Haya turudi huku kwetu, baada ya magufuli kushinda uchaguzi (hata wakati wa kampeni) biashara/makampuni baadhi yalifungwa, je ni kwanini?? Najua wale wenzangu weanaopenda majibu mepesi watadhani wamefunga kwa sababu walikua hawalipi kodi which to some point is not true! Tuangalie lile tukio la ACACIA, baada ya kutokea yaliyotokea jamaa hisa zao zilishuka, je kwanini?? Hapa tuombe wasiende mahakamani na wakashinda kesi maana kwa hasara waliyoipata hawatatuacha salama!

Pia mikutano mbali mbali ya kimataifa kama G7 na G20 ikitokea, kuna mengi yanajadiliwa na kwa upande flani yana impact katika uchumi na siasa ambazo kwa upande Fulani yatapelekea kuyumba au kukua kwa soko la pesa!

Kwa kifupi tu FOREX inaendeshwa na matukio, na matukio haya ni yanagawanyika katika sehemu tatu, yaani siasa/politics, jamii/social na uchumi/economic! Na haya matukio yakitokea jua kuna faida au hasara inatengenezwa.

Bottom line, FOREX imeegemea katika speculation, na kwa trader/speculator mzuri, kuwa na capital tu haitoshi, ni lazima pia ukawa MFWATILIAJI MZURI wa habari na matukio mbali mbali kimataifa hasa ya nchi ziizoendelea na zenye nguvu duniani yaani G7 na G20!

Wasalaam!

Mwenzako katika kujifunza,

LT(Eng.)
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom