Abdull Bawazir
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 209
- 162
Ngoja nisubscribe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NIMEAMUA KUSOMA HUU UZI NENO PAGE KWA PAGE, POST KWA POST. SIJAONA COMMENT NZURI KULIKO HII.Naona watu wamepata hamasa ya hatari. Hivi ni Mimi ndio sielewi au wadau humu ndani ndio wamepata mihemko? Watu wapo busy kuangalia profits wanasahau kuwa mwenye uzi alisoma vitabu 6 Tena kwa kuelewa mstari kwa mstari huku akiwa na mtu wa kumpa miongozo. Hii kitu sio ya kulala na kuamka tajiri, msiwe na matumaini makubwa hivyo mtakuja kupata presha bure
Nina hakika katika hao watu 300 ni watu wasiozidi watano tu ndio watakuja kuwa traders wazuri maana sio kwa mihemko hii
Ningekuwa Mimi ndio nyie ningejipa Mwaka wote huu kwa ajili ya kujifunza lakini pia ningesoma sana stori za watu walio filisika kwenye hii biashara.
MUWE WAVUMILIVU msiweushwe na mafanikio ya Ontario. You have been warned. Mbaya zaidi Wabongo sisi wavivu kusoma vitabu, watu mtakuja kulia humu mseme Ontario tapeli.
Nakushauri ndugu Ontario ukianza kufundisha watu kwa kuwalipisha ada uweke kifungu kwenye joining form kwamba training does guarantee success in Forex trading, trade at your own risk [emoji23]
NB: hongera kijana Ontario, utafanikiwa kwa nia yako ya kusaidia wengine. Mimi nitaingia mkataba na wale ambao watakuwa cream/vichwa kwenye Darasa lako la watu 300, nawapa hela ya kuanzia warudishe kwa riba [emoji1]
Ni rahisi. Mfano leo Bongo US$ 1 inauzwa kwa tshs 2250 na kununuliwa kwa tshs 2200. Sasa mtu anaweza kutarajia Dola itapanda thamani kwa maana kufikia kuuzwa kwa tshs 3000 ifikapo December mwaka huu, hivyo akanunua sasa hivi labda dola zake 1000. Atakuwa ametumia tshs 2,250,000. Akasubiri ikafika hiyo December kweli dola 1 ikawa imepanda mpaka kuwa inauzwa tshs 3000. Huyo mtu akauza zile dola zake 1000 na kupata tshs 3,000,000. Hapo atakuwa amepata faida ya 750,000 nzima kutoka 2,250,000 aliyonunulia.Swali dogo:
Hizo hela za huo utajiri zinatoka nani?
Kwa wasio wazoefu wanaochoma akaunti zao?
SWOT analysis unafanya baada ya kuijua biashara yenyewe .sasa mtu ndo kwnza katoa taarifa lakin wapo wahuni wanadiscredit ..we dont judge books by their covers ..we read the content first and understand!Mjomba, katika baishara yeyote kuna kitu kinaitwa SWOT Analysis ikiwa na maana ya Strength, Weakness, Opportunity na Threat. Kwahiyo, husiangalie opportunity tu bali lazima uangalie hivyo vingine vitatu au utakwenda alijojo!
Mtu makini huangalia zaidi upande wa hasara zaidi ya faida, ni vyema ukaelewa zaidi upande wa athari ili ukiingia kwenye field usije kupata ugonjwa wa moyoNIMEAMUA KUSOMA HUU UZI NENO PAGE KWA PAGE, POST KWA POST. SIJAONA COMMENT NZURI KULIKO HII.
Hapo umenena hebu tuwewavumilivu kidogoNIMEAMUA KUSOMA HUU UZI NENO PAGE KWA PAGE, POST KWA POST. SIJAONA COMMENT NZURI KULIKO HII.
Speculation sio sawa na Gambling mkuu.Nashauri Muwambie Ukweli Kabisa Watu wanahitaji Milioni Ngapi Watu wako Excited sana wanaona It real deal I'm warning you Guys! Mimi ni mwalimu wa Haiba ya Michezo I have some advise for you.
Siyo Rahisi wewe Kupata Fedha kirahisi Na sh.200,000 yako na Unaweza Ukaliwa pia ukashangaa ipo sh.196,000.
Nashauri kama mna Fedha chache please Fugeni Nguruwe (sorry for Muslims) au Kuku au Unaweza Kufanya Kitu kingine.
Concept yaake ni ya Kawaida Unanunua Pesa ya Kigeni kwa Bei ya Chini na Kuiuza Kwa Bei ya Juu mfano
U$/YEN 1/76.65 Asubuhi
Jioni Unakuta U$/YEN 76.64 hapo siyo lazima jioni Mda wowote ambapo kutakua Kuna Mabadiliko katika Global trade.
Mara nyingi vina badilika hivyo Vipoint ya (N.B katika FOREX currency huwa denoted kwa 2 decimal places) lakikni kuna Nchi chache hawana Decimal hii ni pamoja na Burundi Mwisho Sasa chukua Calculator 76.65-76.64 hapo Utapata Faida ya $0.01 zidisha Sasa $10,000 (Kiasi Hiki sidhani kama Watu wengi humu wanacho) Hapa ukiuza Utapata faida ya $100 ambayo ni sawa na sh. 210,000 kwa ulivyouza kwa Mtu aliyenunua kwa $10,000 Sasa Imagine wewe mwenye Mtaji wa sh.1,000,000 uliyefungua Group la WhatsApp tayari ambayo Sawa na $500 Sasa zidisha kwa 0.01 hapo Ujajikuta Unatapa $5 (Toa Pesa ya Kula na Bundle) maana lazima Ukodoe macho. Pia hiyo $5 Unaweza Kuipoteza wewe its a win/lose situation Kimsingi
Speculating =Gambling
Mimi si wa Discourage Watu ila Ni vema Kila kitu kikawa Uchi Inspirational Speakers do make things look easier many entered in the game and got fuckedUp!
Nakushauri Vijana wenye pesa ndefu ingieni.
Baadaye Kidogo wakuu!
Kuwa makini mkuu. Usije kulizwa hapo.Kwenye email yangu kumejaa msgs kutoka forex na hua wananipigia simu mara kwa mara kunishauri niwekeze kiasi kidogo cha pesa na watakua wakiendelea kunitrain nikiwa tayari nineshawekeza hicho kiasi kidogo ila nilikua naogopa nikinua ni scammers uninishaurije??? Please reply
Hii itakuwa poaLive broadcast itasumbua mkuu, fanya tu hyo class iwe recorded en upload t kwny youtube ili idumu kwa miaka yote. Inshort iwe km zile video zingine zilizopo youtube kuhusu lesson mbalimbali, yaani mkuu fanya hata kwa kutuchangisha hiyo 1st class ni lazima tufaidike wadau wote na popote tulipo.
The moment you mentioned Burundi, your whole comment became meaningless!Nashauri Muwambie Ukweli Kabisa Watu wanahitaji Milioni Ngapi Watu wako Excited sana wanaona It real deal I'm warning you Guys! Mimi ni mwalimu wa Haiba ya Michezo I have some advise for you.
Siyo Rahisi wewe Kupata Fedha kirahisi Na sh.200,000 yako na Unaweza Ukaliwa pia ukashangaa ipo sh.196,000.
Nashauri kama mna Fedha chache please Fugeni Nguruwe (sorry for Muslims) au Kuku au Unaweza Kufanya Kitu kingine.
Concept yaake ni ya Kawaida Unanunua Pesa ya Kigeni kwa Bei ya Chini na Kuiuza Kwa Bei ya Juu mfano
U$/YEN 1/76.652 Asubuhi
Jioni Unakuta U$/YEN 76.664 hapo siyo lazima jioni Mda wowote ambapo kutakua Kuna Mabadiliko katika Global trade.
Mara nyingi vina badilika hivyo Vipoint vya Mwisho Sasa chukua Calculator 76.654-76.652 hapo Utapata Faida ya $0.002 zidisha Sasa $10,000 (Kiasi Hiki sidhani kama Watu wengi humu wanacho) Hapa ukiuza Utapata faida ya $20 ambayo ni sawa na sh. 44,000 kwa ulivyouza kwa Mtu aliyewekeza kwa $10,000 Sasa Imagine wewe mwenye Mtaji wa sh.1,000,000 uliyefungua Group la WhatsApp tayari ambayo Sawa na $500 Sasa zidisha kwa 0.002 hapo Ujajikuta Unatapa $1 (Toa Pesa ya Kula na Bundle) maana lazima Ukodoe macho. Pia hiyo $ Unaweza Kuipoteza wewe its a win/lose situation Kimsingi
Speculating =Gambling
Mimi si wa Discourage Watu ila Ni vema Kila kitu kikawa Uchi Inspirational Speakers do make things look easier many entered in the game and got fuckedUp!
Nakushauri Vijana wenye pesa ndefu ingieni.
Baadaye Kidogo wakuu!