Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
064c604f22995c056b791e158f2eed4f.jpg

Nimeanza upya leo.
 
Beautiful week ahead traders

Weekend imeisha tumeianza week nyingine. Nina matumaini hii itakua wiki ya mwisho kwangu kukamilisha kila kitu, then week ijayo we take off the ground. Pia naamini wengi wenu mnaendelea kujifunza na kuelewa msitu wa forex - hua tunasema '''Forex forest''' kwa kusoma vitabu.

Nina wazo 1 naomba tushauriane bosses :- Nina kitabu ambacho ningependa wote mkisome, yani hiki naeza sema ni A million dollar book, must read. Ukikisoma hiki unaondoa upupu wote kichwani - ukija class mimi na team yng ni kukupa tu strategy za kudownload pesa kutoka sokoni, na kisha tufanye live trade pa1, yani ukikisoma afu ukaja class ni km utakua unamsukuma mlevi.

Sasa shida ya hiki kitabu ni nilikinunua SA, na ni hardcopy - makumbuka nililipa Rand 650, km 105,000 TZS. Nimejaribu kila niliwezalo kupata soft copy yake lkn hakuna. Sasa ningependa nyinyi wote mkipate, maana strategy zilizopo humu ndani 80% ndizo mimi na team nzima tunazitumia.

Je tunafanyaje?! Mimi nilifikiria nimwagize kijana wangu m1 akichapishe, then tuangalie gharama itakua ngapi, kina page km 270 hivi, kisha dogo avipeleke steshenari fulani, wale watu wa Dar wataenda kukichukua from there.

=========================

Hua nina kawaida siku ya J3 kama leo silikurupukii soko hadi London session uanze - maana soko likitoka weekend hua lina hangover. sasa usiku wa leo nilikua ninakamua kitabu fulani kinaitwa How to profit in Gold, nilivyotaka kulala nokacheki soko kidogo (fx is an addiction), nikaona setup zimekubali, na fursa iko kwenye screen, nikaingia sokoni, nikalamba laki 3 za chap chap nikalala kwa amani
d74252be34d46d9d8b3b09744ef02ba0.jpg
 
OK ni rahisi namna hii, nenda kushoto chini sehemu iliyoandikwa accounts, right click pale na uchague open an account, itatokea window/tab hapo itakwambia uscan brokers utascan utaanza kuona zinakuja servers nyinginyingi,chagua ya broker unayemtaka na hakikisha imeandikwa DEMO na sio REAL. baada ya hapo bonyeza next utachagua new demo account, bonyeza next jaza taarifa zako, malizia kama picha zinavoelekeza hapo chini ukiangalia picha mbili za mwisho utaona huko ndo mtaji unachagua pamoja na laverage.Fuatisha hizo picha zitakusaidia ila usisahau kusave password na login ID japo ukisha maliza unakuwa umelogin automaticaly. Sorry for very long explanation.Picha hizo zitakusaidia nimezipanga step 1 to last step.
View attachment 521454 View attachment 521455 View attachment 521456 View attachment 521457 View attachment 521458 View attachment 521459
Msaada wako kuielewa platform hasa hasa kwenye SL/TP kuna muda inaniambia invalid SL/TP
 
Duh,hata mm cjamuelewa,kumbe kutrade na kupiga profit haitoshi,there's a lot more to learn,duh!

Sasa mkuu utatrade vipi bila ya kuwa na reasons za kuingia kwenye position flan na kutoka kwenye position hiyo. Utatrade vipi bila ya kuwa na strategies? utatrade vipi bila ya kujua fundamental na technical analysis ambazo ndo zitakuguide kuingia kwenye position, utatrade vipi kama hujui kufanya risk analysis? KWA KIFUPI UTATRADE VIPI BILA YA KUSOMA VITABU ULIVOAMBIWA? Maana ungesoma vitabu nilichouliza hapo juu vyote vipo kwenye vitabu tulivyoambiwa tusome. Kama unatrade na huyajui hayo wewe UNABETI. TUSOME KWANZA JAMANI.
 
Beautiful week ahead traders

Weekend imeisha tumeianza week nyingine. Nina matumaini hii itakua wiki ya mwisho kwangu kukamilisha kila kitu, then week ijayo we take off the ground. Pia naamini wengi wenu mnaendelea kujifunza na kuelewa msitu wa forex - hua tunasema '''Forex forest''' kwa kusoma vitabu.

Nina wazo 1 naomba tushauriane bosses :- Nina kitabu ambacho ningependa wote mkisome, yani hiki naeza sema ni A million dollar book, must read. Ukikisoma hiki unaondoa upupu wote kichwani - ukija class mimi na team yng ni kukupa tu strategy za kudownload pesa kutoka sokoni, na kisha tufanye live trade pa1, yani ukikisoma afu ukaja class ni km utakua unamsukuma mlevi.

Sasa shida ya hiki kitabu ni nilikinunua SA, na ni hardcopy - makumbuka nililipa Rand 650, km 105,000 TZS. Nimejaribu kila niliwezalo kupata soft copy yake lkn hakuna. Sasa ningependa nyinyi wote mkipate, maana strategy zilizopo humu ndani 80% ndizo mimi na team nzima tunazitumia.

Je tunafanyaje?! Mimi nilifikiria nimwagize kijana wangu m1 akichapishe, then tuangalie gharama itakua ngapi, kina page km 270 hivi, kisha dogo avipeleke steshenari fulani, wale watu wa Dar wataenda kukichukua from there.

=========================

Hua nina kawaida siku ya J3 kama leo silikurupukii soko hadi London session uanze - maana soko likitoka weekend hua lina hangover. sasa usiku wa leo nilikua ninakamua kitabu fulani kinaitwa How to profit in Gold, nilivyotaka kulala nokacheki soko kidogo (fx is an addiction), nikaona setup zimekubali, na fursa iko kwenye screen, nikaingia sokoni, nikalamba laki 3 za chap chap nikalala kwa amani
d74252be34d46d9d8b3b09744ef02ba0.jpg
Aisee! Si mchezo
 
Duh!
 
Za asubuhi zipo poa boss.
Regarding million dollar book, Hebu weka complete jina la kitabu na author wake, kisha tuingie chaka kukisakanya.
 
Mkuu asante sana maana haya unayoyafanya binafsi sijaona mtu mwenye moyo wa kujitolea kama wako. Ombi langu ni kuwa hiki kitabu ungekipeleka stationery then mtu akikitaka anaenda pale analipia copy anabeba mzigo, Big up sana kwa moyo huo na kutupa hiki kitabu ambacho kinawaongoza na nyie maexpert. Hakika unatubeba mabegani " A DWARF ON THE SHOULDERS OF THE GIANT CAN SEE FAR THAN THE GIANT"
 
Kuna kitu namis hapa, kumanage SL/TP. msaada wako
kwenye pc wakati naweka new order na kuweka SL/TP sometime inaniambia invalid SL/TP nini inaweza kua ni shida yangu hapa. ila sometime zinakubali.
Kuna minimum number of pips kutegemea na broker unayemtumia. Hakikisha SL or TP unayoweka, pips zake haziwi chini ya minimum number of pips
 
Mkuu ONTARIO hicho kitabu online kitakua hakipo kweli?? Amazon watakua hawana??
Kingekuwepo ningeshakipata siku nyingi boss - coz hua napenda soft copy hata nikiwa sehemu gani naweza chomoa simu kisha najikumbushia. Nina vitabu zaidi ya 600 kuhusu trading, forex, futures, commodities, cyptocurrencies, indices, wall street adventures - market wizards, financial economics, Hedgehogs, The bank n.k. lkn hiki sijakipata soft yake ht Amazon, acha nikirudi jioni nitakwambia jina lake, lkn ni km "mastering technical analysis for smart traders"
 
Beautiful week ahead traders

Weekend imeisha tumeianza week nyingine. Nina matumaini hii itakua wiki ya mwisho kwangu kukamilisha kila kitu, then week ijayo we take off the ground. Pia naamini wengi wenu mnaendelea kujifunza na kuelewa msitu wa forex - hua tunasema '''Forex forest''' kwa kusoma vitabu.

Nina wazo 1 naomba tushauriane bosses :- Nina kitabu ambacho ningependa wote mkisome, yani hiki naeza sema ni A million dollar book, must read. Ukikisoma hiki unaondoa upupu wote kichwani - ukija class mimi na team yng ni kukupa tu strategy za kudownload pesa kutoka sokoni, na kisha tufanye live trade pa1, yani ukikisoma afu ukaja class ni km utakua unamsukuma mlevi.

Sasa shida ya hiki kitabu ni nilikinunua SA, na ni hardcopy - makumbuka nililipa Rand 650, km 105,000 TZS. Nimejaribu kila niliwezalo kupata soft copy yake lkn hakuna. Sasa ningependa nyinyi wote mkipate, maana strategy zilizopo humu ndani 80% ndizo mimi na team nzima tunazitumia.

Je tunafanyaje?! Mimi nilifikiria nimwagize kijana wangu m1 akichapishe, then tuangalie gharama itakua ngapi, kina page km 270 hivi, kisha dogo avipeleke steshenari fulani, wale watu wa Dar wataenda kukichukua from there.

=========================

Hua nina kawaida siku ya J3 kama leo silikurupukii soko hadi London session uanze - maana soko likitoka weekend hua lina hangover. sasa usiku wa leo nilikua ninakamua kitabu fulani kinaitwa How to profit in Gold, nilivyotaka kulala nokacheki soko kidogo (fx is an addiction), nikaona setup zimekubali, na fursa iko kwenye screen, nikaingia sokoni, nikalamba laki 3 za chap chap nikalala kwa amani
d74252be34d46d9d8b3b09744ef02ba0.jpg

Ni ushauri mzuri sana mkuu...ila nilikuwa namshauri ontario kuwa ili kuepuka hasara ambayo ingeweza kutokea endapo atatoa copy nyingi halafu watu wasichukue ni bora watakaokuwa wanahitaji waka m-PM ili aweze kujua idadi halisi ya wanaohitaji hizo copy.
 
ONTARIO'
Habari ya jumatatu mkuu,Tunashukuru kwa uzi wako huu ila ni jambo linahitaji kuelewa na si kukurupuka,ili twende sawa au tufuate steps zako ni vizuri watu wasome na kuelewa je unaweza kutupatia list ya vitabu na author wake ili tujaribu kupita kulia na kushoto tushare hapa jukwaani?
 
Attachments

Kingekuwepo ningeshakipata siku nyingi boss - coz hua napenda soft copy hata nikiwa sehemu gani naweza chomoa simu kisha najikumbushia. Nina vitabu zaidi ya 600 kuhusu trading, forex, futures, commodities, cyptocurrencies, indices, wall street adventures - market wizards, financial economics, Hedgehogs, The bank n.k. lkn hiki sijakipata soft yake ht Amazon, acha nikirudi jioni nitakwambia jina lake, lkn ni km "mastering technical analysis for smart traders"
Hiki nimekikuta amazon...
cd6c0ca7bcf7997c8420ee93461d7298.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom