Traders
Nakumbuka kulelewa na mama wa kambo haikua rahisi, she will always try to set you up. Hatakukumbusha kuoga then mshua akirudi atasisitiza ulikataa kuoga, unapokea kichapo heavy
Mshua will leave for a trip and have some tasks for you to accomplish while he is away, mama wa kambo atakudanganya siku ya mzee kurudi ili akukute hujamaliza kazi zake, unashushiwa kichapo heavy
Mzee ni lazima pia akukute umeshika kitabu mezani unasoma, tofauti na hapo kichapo heavy
Vyote hivi vilinipelekea ku-develop a counter defensive mechanism ili kupunguza kukutanizwa na vichapo:
(i) With time nikajikuta nimekua expert kung'amua kwa ufasaha jinsi mzee anavyotembea (Kupiga tambo) Yani hata uniweke giza totoro kiasi gani akipita mzee I would be able to tell kwa kusikiliza his movements tuu.. hii ikanipatia solution kukutanizwa sijashika kitabu, nitasikia tu tambo zake kwa mbali then nakimbia mezani
(ii) Nikaja kugundua pia aina ya upishi na chakula.. Ukiona mlenda unatafutwa Unaona umeagizwa karanga za mboga, U lough and say I get you mama wa kambo ukiridi una hakikisha kila task aliokuachia mzee umemaliza and not long mzee anaingia kutoka safari ya mbali
(iii) Kichapo cha kila mara kika-develop an automatic hunch... You could tell leo nakula kichapo na kweli unakula, hivyo baadae nikajifunza ku take that into my favour
As a FX trader it is so important with time to develop a plan that will work for you
Rafiki yangu alijaribu sana kujifunza mbinu yangu ya kusikiliza tambo ila hakuiweza kamwe... Yeye alikua mtaalamu sana wa ku-sense harufu, anaweza kusikia mnukio wa harufu ya manukato ya mzee wake 100 M away, fasta anakimbia mezani na kitabu chake. Mama wa kambo anabaki kanuna tuu [emoji23]
Develop a plan.. Usisikie tu tambo nje huyoo ukakimbia mezani eti baba kaja (Ukaona ka indicator huyoo Bullish move), zinaweza kua tambo za mbwa [emoji23] [emoji23]
Wanasema a Pro can predict a move even without having much (reasons) to explain why he thinks that way!
Keep reading
Punje!