Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Salama wakuu wote wapendwa wa uzi huu(Forex),napenda kujua haswa haswa ni lini training inaanza,kwa kuwa leo ni 22,june na mkuu chief Ontario alitu promise kuwa mpaka 15th june atakuwa yuko tayari kwa kuanza darasa kwa watu 150 as offer,ninauliza hivyo kwa kuwa tunausongo sana na forex wadau
Nafahamu kwa sehemu jitahada za Ontario katika kufanikisha hili, nachoweza kuandika kwa sasa MUOMBEENI AFYA NJEMA
 
Traders

Nakumbuka kulelewa na mama wa kambo haikua rahisi, she will always try to set you up. Hatakukumbusha kuoga then mshua akirudi atasisitiza ulikataa kuoga, unapokea kichapo heavy

Mshua will leave for a trip and have some tasks for you to accomplish while he is away, mama wa kambo atakudanganya siku ya mzee kurudi ili akukute hujamaliza kazi zake, unashushiwa kichapo heavy

Mzee ni lazima pia akukute umeshika kitabu mezani unasoma, tofauti na hapo kichapo heavy

Vyote hivi vilinipelekea ku-develop a counter defensive mechanism ili kupunguza kukutanizwa na vichapo:

(i) With time nikajikuta nimekua expert kung'amua kwa ufasaha jinsi mzee anavyotembea (Kupiga tambo) Yani hata uniweke giza totoro kiasi gani akipita mzee I would be able to tell kwa kusikiliza his movements tuu.. hii ikanipatia solution kukutanizwa sijashika kitabu, nitasikia tu tambo zake kwa mbali then nakimbia mezani

(ii) Nikaja kugundua pia aina ya upishi na chakula.. Ukiona mlenda unatafutwa Unaona umeagizwa karanga za mboga, U lough and say I get you mama wa kambo ukiridi una hakikisha kila task aliokuachia mzee umemaliza and not long mzee anaingia kutoka safari ya mbali

(iii) Kichapo cha kila mara kika-develop an automatic hunch... You could tell leo nakula kichapo na kweli unakula, hivyo baadae nikajifunza ku take that into my favour

As a FX trader it is so important with time to develop a plan that will work for you

Rafiki yangu alijaribu sana kujifunza mbinu yangu ya kusikiliza tambo ila hakuiweza kamwe... Yeye alikua mtaalamu sana wa ku-sense harufu, anaweza kusikia mnukio wa harufu ya manukato ya mzee wake 100 M away, fasta anakimbia mezani na kitabu chake. Mama wa kambo anabaki kanuna tuu [emoji23]

Develop a plan.. Usisikie tu tambo nje huyoo ukakimbia mezani eti baba kaja (Ukaona ka indicator huyoo Bullish move), zinaweza kua tambo za mbwa [emoji23] [emoji23]

Wanasema a Pro can predict a move even without having much (reasons) to explain why he thinks that way!

Keep reading

Punje!
 
Hii link inaweza kukupa mwanga on how to place Stop loss and take profit.

mkuu Ontario nasubiri darasa lako tu niingie kujifunza zaidi.
 
Word...
 
Umeshaanza kutrade? Au hujui kitu kabisa?

Sipo vizuri kwenye mambo ya whattsap mkuu. Nikisema nianzishe group sitaweza kupata muda wa kufanya hivyo.

Mwenyewe nipo DSM mkuu..

Mkuu kama hautojali naomba nikupm unielekeze masuala hapa.
 
Traders

Nakumbuka kulelewa na mama wa kambo haikua rahisi, she will always try to set you up. Hatakukumbusha kuoga then mshua akirudi atasisitiza ulikataa kuoga, unapokea kichapo heavy

Mshua will leave for a trip and have some tasks for you to accomplish while he is away, mama wa kambo atakudanganya siku ya mzee kurudi ili akukute hujamaliza kazi zake, unashushiwa kichapo heavy

Mzee ni lazima pia akukute umeshika kitabu mezani unasoma, tofauti na hapo kichapo heavy

Vyote hivi vilinipelekea ku-develop a counter defensive mechanism ili kupunguza kukutanizwa na vichapo:

(i) With time nikajikuta nimekua expert kung'amua kwa ufasaha jinsi mzee anavyotembea (Kupiga tambo) Yani hata uniweke giza totoro kiasi gani akipita mzee I would be able to tell kwa kusikiliza his movements tuu.. hii ikanipatia solution kukutanizwa sijashika kitabu, nitasikia tu tambo zake kwa mbali then nakimbia mezani

(ii) Nikaja kugundua pia aina ya upishi na chakula.. Ukiona mlenda unatafutwa Unaona umeagizwa karanga za mboga, U lough and say I get you mama wa kambo ukiridi una hakikisha kila task aliokuachia mzee umemaliza and not long mzee anaingia kutoka safari ya mbali

(iii) Kichapo cha kila mara kika-develop an automatic hunch... You could tell leo nakula kichapo na kweli unakula, hivyo baadae nikajifunza ku take that into my favour

As a FX trader it is so important with time to develop a plan that will work for you

Rafiki yangu alijaribu sana kujifunza mbinu yangu ya kusikiliza tambo ila hakuiweza kamwe... Yeye alikua mtaalamu sana wa ku-sense harufu, anaweza kusikia mnukio wa harufu ya manukato ya mzee wake 100 M away, fasta anakimbia mezani na kitabu chake. Mama wa kambo anabaki kanuna tuu [emoji23]

Develop a plan.. Usisikie tu tambo nje huyoo ukakimbia mezani eti baba kaja (Ukaona ka indicator huyoo Bullish move), zinaweza kua tambo za mbwa [emoji23] [emoji23]

Wanasema a Pro can predict a move even without having much (reasons) to explain why he thinks that way!

Keep reading

Punje!
Mkuu umeeleza kwa tambo kweli.. And you can't be a pro kama haujatuliza akili nakutafta mbadala.
 
SASA BRO HIYO ISHU wen is t starting maana i hv been tracing this all night with my phone but i hv neva got answers.
 
broo kama unawez kunsaidia na mm niawepo kwenye group la whatsap no yangu ni 0684249906
 
Hi there,I'm back again. Natumai wote tunakwenda safi kabisa na tunazidi kuongeza knowledge. Speed yangu ilikuwa kali mno nikajikuta naishi unhealthy & stressful life ukizingatia kuwa natumia soft copy kitu ambacho si salama kwa macho ya mtumiaji. Tuwe makini Dear TRADERS, afya ni muhimu pia. Una study bila ku athiri/kuathiri kwa kiwango kidogo shughuli zako za kila siku. UKiweza kuprint uwe na hard copy inaweza kukusaidia kama unatumia muda mwingi kusoma,hasa usiku. All the best
Wazo zuri nimeshindwa kabisa kusoma softcopy hata Mimi nashauri waprint to hardcopy inasaidia pia kuleta concentration ya usomaji.

Unaposoma softcopy Mara uchat ,Mara upokee simu unaharibu kabisa system ya kugain material

Kama unazosoft copy ziprint ziwe hardcopy itakuwa poa
 
Guys this is all I can say - This has been my worst week ever in the past 2 decades, as far as napumua na nimeweza kutype hapa JF basi ni kheri kumshukuru Mungu for another chance in life see you soon bosses.
Pole mkuu. Mungu yu mwema.karibu
 
Guys this is all I can say - This has been my worst week ever in the past 2 decades, as far as napumua na nimeweza kutype hapa JF basi ni kheri kumshukuru Mungu for another chance in life see you soon bosses.
Nimefurahi kukuona tena humu,pole kwa yote yaliyokukuta
 
Guys this is all I can say - This has been my worst week ever in the past 2 decades, as far as napumua na nimeweza kutype hapa JF basi ni kheri kumshukuru Mungu for another chance in life see you soon bosses.
Mwenyezi Mungu aendelee kukulinda.
 
Guys this is all I can say - This has been my worst week ever in the past 2 decades, as far as napumua na nimeweza kutype hapa JF basi ni kheri kumshukuru Mungu for another chance in life see you soon bosses.
A
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom