Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Oooh again iam back, hapa ndo nimemalizia kusoma coments za huu uzi saa hii, baada ya kuona huu uzi nililazimika kukimblia shambani nikaweke miundombinu katika hali ya usalama ili ni deal na hii kitu perpendicular and am officially back

Kwanza niwapongeze sana ambao mmeshapiga hatua nyingi mbele kwenye hii kitu inatia hamasa sana pia shukrani nyingi kwako mkuu Bavaria maana kila swali nililokutana nalo nimekutana na majibu yako ubarikiwe sana mkuu

lastly naomba msaada wa utaratibu wa ku join library ya taifa kwa mwenye ufahamu ili niwe nashinda huko sasa kuyasaka maarifa lakini pia kama kuna mtu anajua library nyingine ambayo ni ipo sehemu tulivu kabisa hapa mjini anistue, Asanteni sana wawekezaji wenzangu
Hakuna haja ya libray mkuu,pakua vitabu vya forex,piga shule..piga hela
 
Hellow guys!!

Leo nimeona nishee nanyi chochote kuhusu hawa watu/makampuni yanayoitwa Brokers!

Kiuhalisia wote tunaojifunza humu au hata wale ambao tayari ni wazoefu wa forex... by any chance lazima utakutana/ utafanya biashara na hawa watu wanaoitwa "brokers"! Kikawaida sisi kama indiviadual traders LAZIMA uwatumie brokers ili uwezo wa kujumuika katika hili soko la forex!!

Sasa kama kawaida, hawa brokers wako wengi, pia wako na sifa tofauti tofauti! Kawaida hawa brokers wamegawanyika katika makundi makuu mawili!! la kwanza wanajulikana kama dealing desk brokers au kwajina lingine wanajulikana kama marker makers! Kundi la pili wanajulikana kama no dealing desk brokers ambao nao wamegawanyika katika sehemu kuu mbili, yaani Electronic Communication Network (ECN) na Straight Through Processing (STP) .

Kundi la kwanza market makers/ dealing desk brokers!

Hawa wao ndio wanaoleta kwako orders, yaani wao ndio wanapanga bei ya kuuza na kununua! kwa kifupi wao ndio wana control bei! Pia lazima ujue, in some cases...kufanikiwa kwako ni hasara kwao na kutofanikiwa kwako mara nyingi ndio faida yao!! yaani wana operate kinyume na wewe. unless unawajua vizuri, I'd not advice you to trade with them as a retail trader!!

Kundi la pili ... No dealing desk brokers!

Tofauti na wale wa kwanza, No dealing desk brokers wao mara nyingi hawana direct control na orders hasa kwenye bei, wao wapo kwa ajili ya kukuunganisha wewe na other parties(say, market)!

Kama tulivyoona hapo juu, non dealing desk brokers wanaweza gawanyika katika sehemu mbili yaani ... Electronic Communication Network (ECN) na Straight Through Processing (STP) .

Straight Through Processing (STP)

Hawa kazi yao ni kuchukua order yako na kuipeleka kwenye soko, yaani wanakuunganisha na soko! mara nyingi STP brokers wanakua na wanunuaji au wauzaji wengi, so wewe ukiweka order yako ya kuuza au kununua then wanakuunganisha na wanunuaji/wauzaji sokoni!

Sasa kuna kitu lazima ujue, market makers wao wanapanga bei na wao wanaamua jinsi gani ya kupata faida. sasa kwa STP brokers kupata kwao faida wanachukua order yako, mfano unataka nunua EURUSD kwa 1.1230, sasa wao wataangalia katika list yao ni waauzaji wangapi wanauza EURUSD kwa 1.1230? wakiwapata wataangalia nani ana dau kubwa mfano akipatikana anayeweza kutoa 1.1240 basi huyo ndiye atapewa! so wewe utapewa 1.1230 yako na wao watachukua cha juu!!! ni kama madalali flani hivi...

ECN brokers

Hawa wanafanya kazi kinyume na STP brokers japo wote wako kwenye kundi moja yaani No dealing brokers! STP wao wanakua na list ya participants sokoni, then wanachukua order yako na kuilink na participant mwenye dau kubwa na kwa hii njia ndio wanapata faida/cha juu...

Ila kwa ECN brokers wao wanakupa direct link ya soko, kwa kifupi wanakuachia uwanja ili udeal na soko. Mara nyingi wanapata faida kupitia spreads na commisions tofauti na STP brokers ambao wanapata faida kupitia cha juu!!!

So far, no dealing brokers ndio wazuri hasa kwa retail traders kama mimi na wewe!! swali la kujiuliza kwa nini market makers (achilia mbali tabiayao) kwanini hadi leo wana survive?? may be because of higher risk higher reward (Aint sure!!)!

Wewe kama trader, kabla hujajiunga na broker yeyote ni lazima ujue aina ya broker, pia ni vyema ukajihakikishia kama wako regulated au la!! Forex ina risks nyingi, hatua ya kwanza kupambana na hizo risks ni kuanza vizuri kwa kuchagua broker anayekufaa!!

Wako katika kujifunza,

Lodrick Thomas (Eng.)
 
Kuna wajinga wajinga wanavibiashara vyao mjini,walikua wanaleta dharau.sasa ngoja na mimi nipige pesa kwenye forex hili ndio shamba langu.dadeki.Ngoja nipige practise za haja
My friend, huna haja ya kutumia maneno makali hivyo! usiwatukane kwasababu wao wana fight ndio maana wako na na hizo biashara unazoziita "vibiashara"!! Just be positive arifu!!

Anyways karibu tuendeleze gurudumu la maendeleo!!
 
Hellow guys!!

Leo nimeona nishee nanyi chochote kuhusu hawa watu/makampuni yanayoitwa Brokers!

Kiuhalisia wote tunaojifunza humu au hata wale ambao tayari ni wazoefu wa forex... by any chance lazima utakutana/ utafanya biashara na hawa watu wanaoitwa "brokers"! Kikawaida sisi kama indiviadual traders LAZIMA uwatumie brokers ili uwezo wa kujumuika katika hili soko la forex!!

Sasa kama kawaida, hawa brokers wako wengi, pia wako na sifa tofauti tofauti! Kawaida hawa brokers wamegawanyika katika makundi makuu mawili!! la kwanza wanajulikana kama dealing desk brokers au kwajina lingine wanajulikana kama marker makers! Kundi la pili wanajulikana kama no dealing desk brokers ambao nao wamegawanyika katika sehemu kuu mbili, yaani Electronic Communication Network (ECN) na Straight Through Processing (STP) .

Kundi la kwanza market makers/ dealing desk brokers!

Hawa wao ndio wanaoleta kwako orders, yaani wao ndio wanapanga bei ya kuuza na kununua! kwa kifupi wao ndio wana control bei! Pia lazima ujue, in some cases...kufanikiwa kwako ni hasara kwao na kutofanikiwa kwako mara nyingi ndio faida yao!! yaani wana operate kinyume na wewe. unless unawajua vizuri, I'd not advice you to trade with them as a retail trader!!

Kundi la pili ... No dealing desk brokers!

Tofauti na wale wa kwanza, No dealing desk brokers wao mara nyingi hawana direct control na orders hasa kwenye bei, wao wapo kwa ajili ya kukuunganisha wewe na other parties(say, market)!

Kama tulivyoona hapo juu, non dealing desk brokers wanaweza gawanyika katika sehemu mbili yaani ... Electronic Communication Network (ECN) na Straight Through Processing (STP) .

Straight Through Processing (STP)

Hawa kazi yao ni kuchukua order yako na kuipeleka kwenye soko, yaani wanakuunganisha na soko! mara nyingi STP brokers wanakua na wanunuaji au wauzaji wengi, so wewe ukiweka order yako ya kuuza au kununua then wanakuunganisha na wanunuaji/wauzaji sokoni!

Sasa kuna kitu lazima ujue, market makers wao wanapanga bei na wao wanaamua jinsi gani ya kupata faida. sasa kwa STP brokers kupata kwao faida wanachukua order yako, mfano unataka nunua EURUSD kwa 1.1230, sasa wao wataangalia katika list yao ni waauzaji wangapi wanauza EURUSD kwa 1.1230? wakiwapata wataangalia nani ana dau kubwa mfano akipatikana anayeweza kutoa 1.1240 basi huyo ndiye atapewa! so wewe utapewa 1.1230 yako na wao watachukua cha juu!!! ni kama madalali flani hivi...

ECN brokers

Hawa wanafanya kazi kinyume na STP brokers japo wote wako kwenye kundi moja yaani No dealing brokers! STP wao wanakua na list ya participants sokoni, then wanachukua order yako na kuilink na participant mwenye dau kubwa na kwa hii njia ndio wanapata faida/cha juu...

Ila kwa ECN brokers wao wanakupa direct link ya soko, kwa kifupi wanakuachia uwanja ili udeal na soko. Mara nyingi wanapata faida kupitia spreads na commisions tofauti na STP brokers ambao wanapata faida kupitia cha juu!!!

So far, no dealing brokers ndio wazuri hasa kwa retail traders kama mimi na wewe!! swali la kujiuliza kwa nini market makers (achilia mbali tabiayao) kwanini hadi leo wana survive?? may be because of higher risk higher reward (Aint sure!!)!

Wewe kama trader, kabla hujajiunga na broker yeyote ni lazima ujue aina ya broker, pia ni vyema ukajihakikishia kama wako regulated au la!!

Wako katika kujifunza,

Lodrick Thomas (Eng.)
Asante kwa elimu. Sasa utajuaje kama wapo regulated?
 
Hakuna haja ya libray mkuu,pakua vitabu vya forex,piga shule..piga hela
Mkuu macho wengine yashakua na matatizo kusoma hizi soft copy zinatuumiza nitatoa copy ila pia nahitaji kuongeza concentration ndiyo maana nataka hii kazi niifanyie maktaba
 
Wakuu huko Canada pametokea nini, kuna tukio lolote?? maana shilingi yao naona imeshuka ghafla sana dakika chache zilizopita!! ukiangalia pair zote ambazo zina canadian dolar, the trend is just the same!!! yaani within dakika mbili, imeshuka utazani jiwe linarushwa kutoka kwenye ndege hahahaa!! take a look...

Capture1.PNG
 
Asante kwa elimu. Sasa utajuaje kama wapo regulated?
Swali zuri sana mkuu!

Hapo wengi utakuta wanasema kabisa, na pia wanakuandikia hadi shirika lililo wa "regulate" au linalo waregulate!!

Pia kama ukiona wamelitaja hilo shirika, nenda kwenye web ya hilo shirika uhakikishe kama kweli wapo!!
 
EURO 2.jpg
Nimeona nipande na EURO leo,nimeweka capital kubwa Ili kuepuka baadhi ya limitations margin ikipungua,I know its not a good idea for beginners but najitahid kutumia Lot ndogo. The maximum I have used to date is 0.8. JIONI NJEMA TRADERS, PIA POLE SANA BOSS ONTARIO KWA LOLOTE LILILOKUPATA MUNGU AKUFANYIE WEPESI.
EURO.jpg
 
View attachment 529468 Nimeona nipande na EURO leo,nimeweka capital kubwa Ili kuepuka baadhi ya limitations margin ikipungua,I know its not a good idea for beginners but najitahid kutumia Lot ndogo. The maximum I have used to date is 0.8. JIONI NJEMA TRADERS, PIA POLE SANA BOSS ONTARIO KWA LOLOTE LILILOKUPATA MUNGU AKUFANYIE WEPESI.
View attachment 529462
Very mkuu!! Hiyo ni hatua! Ila next time jaribu kutua demo zenye pesa ndogo!! 1mil dollar account ni nzuri ila haitakupa uhalisia wa forex!!

Unless unataka kuanza 1mil dollar kama forex trader!
 
Guys this is all I can say - This has been my worst week ever in the past 2 decades, as far as napumua na nimeweza kutype hapa JF basi ni kheri kumshukuru Mungu for another chance in life see you soon bosses.
Pole sana mkuu. All these prayers will safeguard your ways. Come back even stronger!
 
Hellow guys!!

Leo nimeona nishee nanyi chochote kuhusu hawa watu/makampuni yanayoitwa Brokers!

Kiuhalisia wote tunaojifunza humu au hata wale ambao tayari ni wazoefu wa forex... by any chance lazima utakutana/ utafanya biashara na hawa watu wanaoitwa "brokers"! Kikawaida sisi kama indiviadual traders LAZIMA uwatumie brokers ili uwezo wa kujumuika katika hili soko la forex!!

Sasa kama kawaida, hawa brokers wako wengi, pia wako na sifa tofauti tofauti! Kawaida hawa brokers wamegawanyika katika makundi makuu mawili!! la kwanza wanajulikana kama dealing desk brokers au kwajina lingine wanajulikana kama marker makers! Kundi la pili wanajulikana kama no dealing desk brokers ambao nao wamegawanyika katika sehemu kuu mbili, yaani Electronic Communication Network (ECN) na Straight Through Processing (STP) .

Kundi la kwanza market makers/ dealing desk brokers!

Hawa wao ndio wanaoleta kwako orders, yaani wao ndio wanapanga bei ya kuuza na kununua! kwa kifupi wao ndio wana control bei! Pia lazima ujue, in some cases...kufanikiwa kwako ni hasara kwao na kutofanikiwa kwako mara nyingi ndio faida yao!! yaani wana operate kinyume na wewe. unless unawajua vizuri, I'd not advice you to trade with them as a retail trader!!

Kundi la pili ... No dealing desk brokers!

Tofauti na wale wa kwanza, No dealing desk brokers wao mara nyingi hawana direct control na orders hasa kwenye bei, wao wapo kwa ajili ya kukuunganisha wewe na other parties(say, market)!

Kama tulivyoona hapo juu, non dealing desk brokers wanaweza gawanyika katika sehemu mbili yaani ... Electronic Communication Network (ECN) na Straight Through Processing (STP) .

Straight Through Processing (STP)

Hawa kazi yao ni kuchukua order yako na kuipeleka kwenye soko, yaani wanakuunganisha na soko! mara nyingi STP brokers wanakua na wanunuaji au wauzaji wengi, so wewe ukiweka order yako ya kuuza au kununua then wanakuunganisha na wanunuaji/wauzaji sokoni!

Sasa kuna kitu lazima ujue, market makers wao wanapanga bei na wao wanaamua jinsi gani ya kupata faida. sasa kwa STP brokers kupata kwao faida wanachukua order yako, mfano unataka nunua EURUSD kwa 1.1230, sasa wao wataangalia katika list yao ni waauzaji wangapi wanauza EURUSD kwa 1.1230? wakiwapata wataangalia nani ana dau kubwa mfano akipatikana anayeweza kutoa 1.1240 basi huyo ndiye atapewa! so wewe utapewa 1.1230 yako na wao watachukua cha juu!!! ni kama madalali flani hivi...

ECN brokers

Hawa wanafanya kazi kinyume na STP brokers japo wote wako kwenye kundi moja yaani No dealing brokers! STP wao wanakua na list ya participants sokoni, then wanachukua order yako na kuilink na participant mwenye dau kubwa na kwa hii njia ndio wanapata faida/cha juu...

Ila kwa ECN brokers wao wanakupa direct link ya soko, kwa kifupi wanakuachia uwanja ili udeal na soko. Mara nyingi wanapata faida kupitia spreads na commisions tofauti na STP brokers ambao wanapata faida kupitia cha juu!!!

So far, no dealing brokers ndio wazuri hasa kwa retail traders kama mimi na wewe!! swali la kujiuliza kwa nini market makers (achilia mbali tabiayao) kwanini hadi leo wana survive?? may be because of higher risk higher reward (Aint sure!!)!

Wewe kama trader, kabla hujajiunga na broker yeyote ni lazima ujue aina ya broker, pia ni vyema ukajihakikishia kama wako regulated au la!! Forex ina risks nyingi, hatua ya kwanza kupambana na hizo risks ni kuanza vizuri kwa kuchagua broker anayekufaa!!

Wako katika kujifunza,

Lodrick Thomas (Eng.)
Kaka uko registered kweli au ?
 
huyo ENC ndo ontario alirecommend tumtumie nadhan
 
Guys this is all I can say - This has been my worst week ever in the past 2 decades, as far as napumua na nimeweza kutype hapa JF basi ni kheri kumshukuru Mungu for another chance in life see you soon bosses.
nilipokuwa namsikiliza Sandile kuna akichokisema nikaona nishiriki humu..kijana huyu kasema kuwa wakati anaanzisha kampuni yake ambayo kwa sasa imekuwa maarufu sana nchini afrika kusini,alikumbana na rejection au kukatalika in almost every aspect..kuanzia financial back up, ambapo ilimlazimu kugharimika hela zake zote alizokuwa akitengeza kwenye forex trading, ilifikia mahali akaliita kundi lake ili wajadili kama kweli ipo haja ya kuendelea kumimina hela kwenye kampuni hiyo manake haikufanya vyema hivyo ilionekana kama hasara tu..ila,kijana huyu hakufa moyo,alizidi kufanya jitihada,japo mengine ya kumkatiza tamaa yalitokea ,kama vile ubaguzi wa rangi (race),umri(maana ni kijana mdogo sana)na hata dhihaka na kejeli kutoka kwa watu mbali mbali,leo hii,kampuni yake hiyo imeimarika na tena imekuwa maarufu sana.pia imewasaidia watu wengi sana sana kule SA..

kilichonipelekea kuandika yote haya ni kwa vile nahisi kuwa mkuu ONTARIO unapitia mengi kwa muda huu, ila usife moyo kakangu..kumbuka kale kamsemo ketu ka kijeshi kuwa your first priority is "THE MISSION"kwa vile lengo lako kuu lilikuwa kutuelimisha sisi vijana,usirudi nyuma hata kidogo...nafahamu ugumu uliopo ila hakuna mafanikio yanayotujia kizembe katika maisha,ni lazima tuchacharike na tung'ang'ane sana...naomba nikukumbushe kuwa wewe ni Ontario..bidii zako tunazielewa na pia nakuelewa jinsi ulivyo na ukakamavu wakati wa hard times maana sio mara ya kwanza..

ila mkuu baba usikawie kutujuza chochote au popote utakapohitaji msaada wetu kama wanajukwaa hili...natumai yeyote anaetazamia kunufaika kutokana na biashara hii hatokawia kutoa msaada wake hata kama kidogo tu..wasioweza pia wana imani ya kutosha kufanya Ombi likakubalika mbele za Mwenyezi Mungu..

wana forex trading tuzidi kumuombea kiongozi Ontario pamoja na kundi lake maana "HE IS THE HOPE FOR A GOOD TOMORROW"
 
Very mkuu!! Hiyo ni hatua! Ila next time jaribu kutua demo zenye pesa ndogo!! 1mil dollar account ni nzuri ila haitakupa uhalisia wa forex!!

Unless unataka kuanza 1mil dollar kama forex trader!
Thanx kwa ushuri mkuu, nina demo 2 hiyo nyingine ina 3000USD na 1:1O leverage, hii iko close to reality.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom