Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Mkuu ONTARIO

-Mfano, Je ni sahihi kununua EURUSD na kuuza EURGBP at once??

-Je ni sahihi kuuza EURUSD na kuuza EURGBP??

Hongera sana Kaka Lodrick kwa kufanya live. Me bdo nasoma tuu ata demo siijui sn.

Principle...unanunua base currency na kuuza counter currency wakat huo huo..
Ukinunua Xau/Usd manake Aud inapanda Usd inashuka.
So ukija kwny quote nyngne unauza Aud/Usd itabak ivo kuwa Usd inaendelea
Io inaitwa Stacking accordng to AfroFx yaani apo katka izo quote mbil:kununua Xau/Usd na kuuza Aud/Usd moja utapata faida nyngne utapata sabbu znajicontradct kulingana na kushuka Usd katka quote zote ambao
Msingi ni kuuza currency inayoshuka i.e Xau/Usd katka mfano wko.

Case ya pili.
Apo inawezekana kununua Eur/Usd lakn kuiuza wakat huo huo kwny quote ya Eur/Gbp haiwezekan mana bdo inapanda, myb km Gbp inapanda kwa kasi zaid bt bdo itafnya consolidation(price inatembea kwny range ndogo, probably unproftble..
yaani Few pips)

Case ya tatu
Km Eur inashuka unaweza kuuza kuzngatia izo counter currency zke Usd na Gbp.
Unaweza nisahihisha pia.
All the best uelewa wngu so far.
 
Umeongeza kitu. thanks alot!
 
Habari yako mkuu ONTARIO

1.Nimesoma cooment yako ya nyuma kwamba ulitrade mafuta, Hapa umenuchanganya sana maana i thought forex inahusisha tu pesa za nchi mbali mbali na wala sio mafuta.

2. Mpaka sasa nimeshindwa kupata vitabu vya forex, Ka vp naomba unipe list nivishushe.

Ni hayo tu ambayo ningeomba unieleweshe
Mkuu, forex si currencies peke yake, kuna commodities pia. Unaweza ku-trade kahawa, maharagwe na mahindi.Na pia madini kama dhahabu, silver na Nickel. Namuelewa sana Ontario anapojisikia vizuri ku-trade mafuta. Mara ya kwanza wakati nazunguka kupata maarifa nikaona kumbe inawezekana ku-trade mafuta na gesi, nikafanya hivyo fasta kwenye demo (ili tu nijisikie proud kufanya kitu nna background nacho [emoji1]).....nilipigwa kwenye natural gas lakini
 
GOOD NIGHT TRADERS. SEEMS MY FIBONACCI RETRACEMENT WAS DRAWN QUITE RIGHT.
Get yourself some stuffs to read about fibo down there after the graph. Kuna wachache walinicheck PM nikaahidi kushare learning materials za FIBONACCI. Hizo hapo chini zimenisaidia sana
GBPUSDDaily Correction.png
 
Attachments

Nimepata kitu kwa baadhi ya comments humu,
naomba niwe included kwenye training mkuu.
Cc ontario
 
GOOD NIGHT TRADERS. SEEMS MY FIBONACCI RETRACEMENT WAS DRAWN QUITE RIGHT.
Get yourself some stuffs to read about fibo down there after the graph. Kuna wachache walinicheck PM nikaahidi kushare learning materials za FIBONACCI. Hizo hapo chini zimenisaidia sana
View attachment 533768

Mkuu BENNICK mbona kama hiyo FIB yako imekaa upside down? yani kama vile umeiweka viceverse .....Hapo mimi naona market ina trend Bullish so Fib Point A ingeanza kwenye Higher Low (100%) kuelekea upright towards FIB point B kwenye Higher highs (0.00%) then hapo ndio ungeona c-retracement (either 50%,38.2% au 61.8%) for which case hapo kwako market ime retrace at 50.0%) and hence finally you could be able to see extension levels (D1%D2)? Hapo kwako naona tofauti mkuu nieleweshe please.
Niko tayari kukosolewa kama nimeenda chaka
MAY ALL THE PIPs BE WITH US AMEN.
 
-Nimeelewa uliposema nisinunue na kuuza the same currency kwa muda mmoja!

-Mfano, Je ni sahihi kununua EURUSD na kuuza EURGBP at once??

-Je ni sahihi kuuza EURUSD na kuuza EURGBP??

Tuendelee kuwekana sawa mkuu na kukumbushana pale inapobidi!!
Hili swali lako limenikumbusha hiki kitu Currency correlation ingia hapa: Forex Market Hours
 
Download link: The Forex - Books[Mwl.RCT].zip
File size: 39mb

Books Uploaded

1. AstroFX Training Book
2. Naked Forex High-Probability Techniques for Trading Without Indicators -Wiley Trading
3. The Forex Bible
4. Forex Godfather Elite - Mpangilio wake nikama wa Babypips .COM
 
Weekend bhana, leo nimefurahi sana

Unajua bana mimi chuo nilisoma BSc. Petroleum Chemistry hapo UDSM, basically hii ni sayansi inayohusika na refinery ya gas na mafuta. Yani crude gas and oil tunazibadili kua final usable products kama LPG, CNG, Ammonia, ammonium fertiliser, mambo ya diesel, jet fuel, gasoline nk nk. Hapo chuo tulikua wachache watu kama 21 hivi, so Prof ni rahisi kujua darasa zima.

Sasa tulikua na Prof mmoja, alikua kama mama'etu. Yani kwenye pindi lake alikua anatuPump vby mno na kututamanisha kuhusu hii field yetu, kua kuna pesa vby mno, site kuna marupurupu, incentives, mishahara ya kibabe... Basi kila akiwa anakuja pindi watu wanatamani kumsikiliza yule mama, anafundisha kidogo anaruka kwenye mambo ya site, michongo na madili ya gas na mafuta... yani hapo sisi tunakua tunahamasika vby mno, yani tukampendaga bure yule mama. Akawa kama rafiki yetu, akawa academic advisor wa karibia sisi wote... yani she was more than a friend.

Leo bana kuanzia saa 5 asubuhi nilikua Golden Tulip na mtu wangu wa faida. Tumekaa pale, tumezungumza sana, tukala lunch na kila kitu. Mchana mida ya saa 8.30 akaja huyu Prof wangu wa chuo, nikamuona ila yeye hakuniona. Akawasha PC yake akaagiza kinywaji, akaendelea na shughuli zake, baadae kidogo akaja mwenzie ambae ni km mzungu wakaagiza misosi wakawa wanakula.

Mimi nikamshtua muhudumu, nikamwambia yule mama pale nipo nae, so anipe bill yake. Bill ikaletwa nikailipia... Baadae Prof anataka kulipa ndio anaambiwa tyr bill yao imeshalipwa, kucheki ni mimi... Dah basi tukaanza pale story baada ya story.

Madam ananiuliza vipi bana unafanya kazi wapi?? Nikamwambia bado sijaajiriwa Prof, akashangaa sasa imekuaje unaweza kuja huku na kutumbua pesa. Akawa ananilaumu nimesoma Petroleum bure, bora ningesoma hata education hiyo mambo niwaachie watu wengine - kwamba niliwazibia watu wengine nafasi. Ndio nikamweleza kua kusoma petroleum kumenisaidia kuweza kua na uelewa mpana wa OIL hata sasa naweza kutrade OIL professionally. Nikaanza kumwambia mambo ya Spot Crude oil (USOIL.sp), Spot Brent Oil (UKOIL.sp), July Crude Oil (USOIL), July Brent Oil (UKOIL). Prof akabaki anatumbua macho - yani nimempoteza haelewi kitu.

Prof wangu nikaanza kumkamulia pindi pale - prof akawa anatikisa tu kichwa. Nikamwonesha trading platform yangu, yani ndio nikamchanganya kabisa - alivyoona figures ndio akachanganyikiwa kbs tena zikiwa ktk international currencies - yani 1/3 ya mshahara wake wa mwezi mimi naupata in few trading hours
573a5c51f0f4267caaa9ed62658a7719.jpg
Edited: screen shot nilivyoTrade OIL ijumaa pekee

Yani Prof kawa very inspired, anatamani classes zianze hata leo... kachukua namba zng za simu kanitumia text za kutosha kua nisimsahau. Hahahaaa!!
HAHAHA umenikumbusha prof wangu mmoja wa SUA niliposoma yeye karibia asilimia 80% ya muda alikua anaongelea matatizo na jinsi chuo wanavyomtreat japokua yye alikua ndio founder wa course fulani.

maprof, malecture ni watu waliokua kama marol model kwangu ila baada ya kuingia field ya ajira nilielewa kwa nini yule mzee alikua analalamika kila akija class.

so inspired, am sure you are here to change people's life and touch life of so many Tanzanian.
 
Mkuu BENNICK mbona kama hiyo FIB yako imekaa upside down? yani kama vile umeiweka viceverse .....Hapo mimi naona market ina trend Bullish so Fib Point A ingeanza kwenye Higher Low (100%) kuelekea upright towards FIB point B kwenye Higher highs (0.00%) then hapo ndio ungeona c-retracement (either 50%,38.2% au 61.8%) for which case hapo kwako market ime retrace at 50.0%) and hence finally you could be able to see extension levels (D1%D2)? Hapo kwako naona tofauti mkuu nieleweshe please.
Niko tayari kukosolewa kama nimeenda chaka
MAY ALL THE PIPs BE WITH US AMEN.
Thanks kwa observation nzuri mkuu, ningewalisha watu tango pori hiyo graph.
NIMEGUNDUA SWING LOW HAIKUWA SAHIHI, Graph yangu ya kila siku ni hii ila sijui jana nimepost dudu gani hilo. Fibbo 38.2% ilisuppose i held support vizuri, japo imetobolewa kidogo ila niliivoona imepenya 23.6% kurudi juu nikahisi retracement imekubali.Pia Experts wanashauri level 50% ni Significant zaidi. Hiyo yangu haikuwa ideal sana, but it finally worked.
MAY THE PIPS BE WITH YOU BRO.
GBPUSDDaily Correction.png
 
Maisha ndivyo yalivyo ongea na watu vizuri upate mema mengi binafisi nilikua inspired sana the day i he posted this thread nikatamani may Be ONTARIO angekuwa rafiki yangu soon ili tuongee lugha sawa about business, kila nilipokuwa nikivukaa babara i thought i am reach now mara nikapanga safari ya dharura nikasema i have to go abroad no matter what i can learn my self via books and other searching material but sure i know nitafika lakini nitachelewa nikajiuliza kama Our inspire kasafiri kwenda nje ya nchi darban kumuona Mike why not me to in Tanzania, so i said my self in order to be good meet a man you will be inspired much and you will do exactly as others do, i left home starting the journey to Tanzania soon so that i can learn something even if i am not yet started but to have books and started to practice was amongst my success, So Ontario keep learning mkuu increase your knowledge more and more many people will come every day, every month, and every year.

Hopefully it's not far you will be a senior Trader and Good Menthor. Best wishes to you.
 
Nilikua nashangaa hii thread mbona imekaa kwa trend week after week after week kuliko hizi habari za Udaku na siasa, Nikagundua watu wameshachoka na Maisha / biashara ya chini na huu ulimwengu wa Ushuru ushuru, Chenye Manufaa lazima kikimbiliwe na wengi , Am In Niko kwa list ONTARIO Umetisha sana sikunyingi mtoaji upata maradufu, Thanks a lot #Jf ndio Home
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom