Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Aisee MT4 yangu mbona sioni oil.? Au ipo sehem gani nielekezwe chief
hapo hapo kwenye Mt4 ....step 1, nenda kwenye MARKET WATCH and click to dispay it ( au kama list ya pairs inaonekana basi endelea na step 2......step 2, right click any pair and then click "show all" baada ya hapo zitaonekana pairs zote cha kufanya wewe scroll down hadi mwisho kabisa utaona Pair za OIL na zinginezo.....

Cc Lodrick Thomas

MAY ALL THE PIPs BE WITH US AMEN.
 
Mm ngoja nisome kwanza vitabu 2 au 3,nitoe giza kuhusu hii kitu,hayo mengine badae.ni mwendo wa chapter after chapter tu sasa hivi.
 
Hapo ndio kuna utofauti kati ya broker na broker, among other things lazima uangalie services ambazo broker wako Anakupa. Mfano, mimi broker wangu wa sasa ambae nimefunga nae ndoa ya madhabahuni ananipa karibu kila kitu kama US equities mfano Apple, Amazon, Bank of America, America express, BlackBerry, Chevron, FedEx, IBM, mastercard, Netflix, Nike, Vodafone, Verison, Walmart, Qualcomm, Visa, Pepsi, Coke, Yahoo, ExxonMobil, Microsoft, Goldman Sachs, Ebay, FB, Google, Chevron, JP Morgan nk nk. Ananipa CDF index (.DXA), Future CDF kama copper na silver, Ananipa Indices za NASDAC na S&P500 hata UK500, yani options ni nyingi nyingi - kama currencies zinazokuja kwa kasi mfn USDZAR na USDMXN.

Pia kitu cha kuangalia zaidi ni spreads, unahitaji broker mwenye spread nyembamba sana kitu ambacho ni kigumu sana kukipata kutoka kwa ECN. mfn mimi broker wangu nikitrade OIL nahitaji pips 2 tu kua in deep [emoji838] . Afu nilikuja kugundua XM ni broker mmoja muhuni sana, japo siwezi kusema ni mbaya sana. Saa zingine anaweza akadelay kufungua/kufunga potision yako hivyo akakupunguzia faida ama akakuongezea hasara. Kuna siku zingine (ijumaa) broker anafunga platform ht kabla muda haujafika.

But all in all - skills and trading psychology ndio vinamatter. Ukiwa na hivyo hii game unakua unatereza tu bila kujali factors zingine zilizo nje ya uwezo wako.

8b54dc485b769c8e02185fb2e5a68b35.jpg
Naona mkuu kwa sasa upo SA mnara unasoma SA uko vizuri
 
Pia kitu cha kuangalia zaidi ni spreads, unahitaji broker mwenye spread nyembamba sana kitu ambacho ni kigumu sana kukipata kutoka kwa ECN. mfn mimi broker wangu nikitrade OIL nahitaji pips 2 tu kua in deep [emoji838] . Afu nilikuja kugundua XM ni broker mmoja muhuni sana, japo siwezi kusema ni mbaya sana. Saa zingine anaweza akadelay kufungua/kufunga potision yako hivyo akakupunguzia faida ama akakuongezea hasara. Kuna siku zingine (ijumaa) broker anafunga platform ht kabla muda haujafika.

But all in all - skills and trading psychology ndio vinamatter. Ukiwa na hivyo hii game unakua unatereza tu bila kujali factors zingine zilizo nje ya uwezo wako.

Kama nimekuelewa vizuri ...

1. ECN wana spreads kubwa, tofauti na market markers. lakini tujue ukikwepa wide spread utaangukia kwenye commisions!
Capture.PNG

2. XM sio wazuri! Hapa nakuunga mkono maana sio XM tu, brokers wengi wana mapungufu na ubora wao!

Sasa mkuu, broker gani unayemtumia???
 
Kiongozi nilichelewa kusoma but I am very interested having gone through.... Your training manual
 
Je unatumia fundamental analysis katika ku-trade?

Ni ukweli usiopingika kwamba technical analysis ni muhimu sana ila hamna namna utafanya forex trading bila kuitumia fundamental analysis!

In brief!

Fundamental analysis. Hii inatumika sana kuweza ku-project trend ya soko kwa kuangalia matukio yanayotokea kwenye nchi za wenzetu (western countries)! Tukio linaweza tokea likawa na madhara hasi au chanya kwenye shilingi ya nchi husika au kanda fulani! mfano mzuri, wiki iliyoisha tumeona jinsi euro ilivyopaa na jinsi dola ilivyoshuka!

Kama hiyo haitoshi pia tuliona jinsi oil (crude oil) ilivyopaa na kufika 48-49 dola kwa tank pia tuliona jinsi gold ilivyoshuka thamani!! Sasa haya yote yalitokea baada ya matukio flani yaliyotokea huko kwa wenzetu!!

Techinical analysis. Hii tunatumia zaidi bei iliyopo kuweza kutabiri muenendo wa soko katika kipindi flani either dakika, dakika tano, lisaa, wiki au mwenzi! hapa utakutana na njia kama fibonacci, moving averages na nyingine kama hizo!!

Lakini techinical analysis pekee haitoshi kuna muda inatupasa sisi kama wafanya biashara wa fedha za kigeni au bidhaa za kigeni kuwa na uelewa wa matukio yanayotokea kwa wenzetu mfano hotuba za wakuu wa benki, chaguzi za nchi mbali mbali na mengine ambayo kwa namna moja au nyingine yanaweza ku-influence mwenendo wa soko au mwenendo wa shilingi ya nchi husika!!

Je ili unaweza kutumia vyanzo gani ili uweze kupata habari za matukio kwa ajili ya fundamental analysis?? Binafsi nimekua nikizitumia hizi...

Daily FX. Wanakupa kila tukio, zaidi ya yote wanatoa elimu hasa katika forex!

Link: Forex Trading News & Analysis

Investing.com Hawana tofauti sana na daily fx. Wao wana app yao pia

Link: Investing.com - Stock Market Quotes & Financial News

Bloomberg. Hawa sijawatumia ila wanaonekana wako bora sana!

Link: Bloomberg - Africa Edition

Swali je, Euro itaendelea kupaa wiki ijayo? je oil itaendelea kupaa wiki ijayo? je dola ya marekani itaendelea kupitia wakati mgumu wiki ijayo?

Pamoja na kufanya technical analysis sio vibaya tukawa tunaangalia pia analysis zetu katika fundamental analysis!!

Je wewe unatumia vyanzo gani vya habari katika fundamental analysis??

Lodrick Thomas (Eng.)
 
Natumia investing
 
Huu mchezo mzuri sana ukiuelewa wandugu.Mungu akubariki ontario.ngoja tuendeleze kisomo taratibu.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Binafsi cash card ya BancABC nimenunulia vitu mitandaoni na pia nishawahi kupokelea pesa toka nje ya nchi kwa kutumia Master/Visa method. Ila haikuwa Forex related stuffs, zilikuwa ni other stuffs zisizohusiana na forex. Ila whatever Forex got, this BancABC thing, must be able to comply with forex transactions. Ingawaje mpaka sasa sijafanya deposit/transaction yoyote inayohusiana na forex.

But i am determined using the same cash card in forex transactions.
CRDB vipi wakuu ninauliza mana nina card waliniambiaga naweza ibadili kuwa ya dolari
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom