Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Last time ulisema hautarudi tena. Au ulikua unatudanganya??

Nini kimekurudisha??
Wehu wangu tu! It makes me feel good to have a laugh! Tatizo wengi wenu humu hamna good sense of humour...mko stuck up na hiyo forex as if it's your saviour from poverty or route to richness.
 
Sasa Ontario mbona hatukuon ukiendesha tractor kulima? Wazungu wa SA, Zimbabwe, USA na Europe wanalima wenyewe siyo kutegemea maskini wawalimie! Wao wanalima, masikini/wafanyakazi wanavuna na kusort out mazao. Nyiye mmevamiamia mashamba ya masikini kwa visenti vyenu na kuwalipa peanuts wenyeji, alafu mnajiita wakulima!
Nyinyi ni wajasiliamali ambao mmezulumu land ya wenyeji masikini sababu ni wajanja mnajua fiddling around huko ardhi mkafanikiwa.
Kilio cha hao masikini uliowapiga picha ku show off kumefika mbinguni mjomba! Zurma zurma zurma.
Boss wangu sikuona ulazima wa kuendelea kukuQuote - apparently nilishakuBlock, but then this is just too personal. Too much hatred, too much trolling my boss, sijui nia yako ni nini, lkn nina uhakika asilimia 99 unachokifanya hakikubaliki sheikh wangu. Let's use social networks in a positive way, social media is the biggest gift for our generation, let's avoid bullying, brutalisim, abusive languages and ill-treating other people. It's unfair sheikh.

Let's report this dude kwa kuclick ile post yake na kureport as Flaming, Bashing and trolling.

Please mods angalieni hili:
Mod Moderator JamiiForums Invisible Cookie Paw PainKiller
1ccae9ec8dad3d4727da44ad923d5ee7.jpg
d16e3cbb8295ef8095dc75d84a2a814a.jpg
6a5129053e1128818bbc84f5278b9602.jpg
 
Wivu wakike unakusumbua kama sio nyege basi unajiandaa kua punga

Post sent using JamiiForums mobile app
Wivu wa nini mjombaa! Hapa kweli tu!
Msema kweli mpenzi wa Mungu. Ata Magufuli kasema!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Boss wangu sikuona ulazima wa kuendelea kukuQuote - apparently nilishakuBlock, but then this is just too personal. Too much hatred, too much trolling my boss, sijui nia yako ni nini, lkn nina uhakika asilimia 99 unachokifanya hakikubaliki sheikh wangu. Let's use social networks in a positive way, social media is the biggest gift for our generation, let's avoid bullying, brutalisim, abusive languages and ill-treating other people. It's unfair sheikh.

Let's report this dude kwa kuclick ile post yake na kurepost as Flaming, Bashing and trolling.

Please mods angalieni hili:
Mod @modetator JamiiForums @invincible
1ccae9ec8dad3d4727da44ad923d5ee7.jpg
d16e3cbb8295ef8095dc75d84a2a814a.jpg
6a5129053e1128818bbc84f5278b9602.jpg
Poa mkuu.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Wehu wangu tu! It makes me feel good to have a laugh! Tatizo wengi wenu humu hamna good sense of humour...mko stuck up na hiyo forex as if it's your saviour from poverty or route to richness.
Hapa sasa nimeanza kukuelewa mkuu kumbe ulikua unatania?!!!!!
Ha ha haa
We utakua bonge la pro naomba uwe mentor wangu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Boss wangu sikuona ulazima wa kuendelea kukuQuote - apparently nilishakuBlock, but then this is just too personal. Too much hatred, too much trolling my boss, sijui nia yako ni nini, lkn nina uhakika asilimia 99 unachokifanya hakikubaliki sheikh wangu. Let's use social networks in a positive way, social media is the biggest gift for our generation, let's avoid bullying, brutalisim, abusive languages and ill-treating other people. It's unfair sheikh.

Let's report this dude kwa kuclick ile post yake na kureport as Flaming, Bashing and trolling.

Please mods angalieni hili:
Mod Moderator JamiiForums Invisible Cookie Paw PainKiller
1ccae9ec8dad3d4727da44ad923d5ee7.jpg
d16e3cbb8295ef8095dc75d84a2a814a.jpg
6a5129053e1128818bbc84f5278b9602.jpg
ww jamaa una akili sana, i like the way ulivyorespond. hata yy mwenyewe kakubali kuufyata.
Na kama asipokubali kula jiwe tena basi tutamwelewa kwa utofaut.
Swala la msingi hapa embu kila m2 asimjib kitu then tutaona mwisho wake.
Ni hayo tu mkuuu tunasubiria sana huo mualiko, kiasi kwamba nkiona post yako nais ndio mda, hahahhahahahha
2geza man
 
Vizuri sana mkuu kilimo kina lipa ukiwa serious pia nichukue fursa hii kuwaambia tu wana member Magroup mnayojiundia huko ya WhatsApp mkitapeliwa msije kusema huku jukwaani.Watanzania hawako serious kabisa unajisajili kushiriki coz isitoshe na kulipa utalipa MTU humjui ofisi hujui iko wapi asee kuweni serious Why watu wanakuwa wazembe hivi we ulipie kusoma then itakusaidia nn akati hata Broker humjui ni nan na majukum yake asee watu hawataki kufungua vichwa waelewe cjui kwa nn ma group haya uki challenge unaondolewa niliingia kudukua kinachoendelea huku siku so nyingi watu watapigwa kimjini.

Post sent using JamiiForums mobile app
Mkuu hivi hao watu walio amua kutafuta trainer kwa pesa zao wamekosea nini?
Umejiridhishaje kuwa hawawamjui trainer?
Je hao watu unawafahamu?
Na kwanini unawahurumia?
Je Ontario alizuia kupata trainers nje ya yeye kujitolea?
Binafsi ninamshukuru sana Ontario kunifungua macho, nimeongeza maarifa na kipato, nami sasa ninawafungua wengine japo kwa hatua ndogo mengine watajiongeza.
Nawasihi msiwavunje watu moyo acheni wajilipue tu kama Ontario alivyotupa simulizi ya safari yake ya mafunzo.
Kwa taarifa yako hao trainer ninawafahamu na sio wanajileta wenyewe bali watu walionufaika bure na mafunzo yao kupitia group wamewashawishi waje nchini ili na wengine wafaidi.
Nakushauri u join hilo group ujifunze na hutarudia kauli hizo.
Ontario Mungu akuinue sana na mnaonufaika wasaidieni na wengine kama tulivyo saidiwa
ONTARIO
 
Waswahili bwana mnatabu! Kwahiyo $36 ikakuwezesha kupata kadi ambayo inaonyesha ni prepaid? Inaonekana wengi humu hamuelewi nini ni Forex Trading kwa kukurupuka tu bila kujifunza ipasavyo. Ebu tu enlighten kidogo kuhusu hiyo kadi. Wenye hiyo kadi ni nani?

Post sent using JamiiForums mobile app
Kaka una tatizo gani?
Uliwahi kupata ajali mbaya?
Umewahi kuugua sana?
Je umefiwa na umpendaye?
Ulifukuzwa kazi?
Mwanzo nilitamani nikulaumu lkn nafsi imenizuia, huwenda kuna jambo baya lilitikisa ubongo wako..
Nakuona hauko normal,
Nafsi yako imejaa ukosoaji wa kitoto
Nashindwa kukuelewa.
Kanuni yangu ni kuheshimu utu wa mtu lkn kwako nakaribia kusema neno baya.
Zuia kusema sema ovyo unaanika uchi wa akili yako, hivi unajua kuwa unakera?
ONTARIO
KANUTI SILAYO
 
we kijamaaaaa chenga sanaaaa
unataka kuona ameshika Jembe ndo uone kama jamaa analima au??

Una wivu ulio pitiliza aisee au wewe ni jinsia ''ke"?

Jinsi nilivyofanikiwa kutengeneza Sh. Milioni 19.9 ndani ya siku 35 kwa kutumia Milioni 3.8

pitia pitia huo uzi ukutoe tongo tongo izo kiazi ww!!

Sent from my iphone 6s using Jamii Forum Mobile app
Moyes yaani huyu mtu....[emoji116] [emoji116] [emoji116]
Kaka una tatizo gani?
Uliwahi kupata ajali mbaya?
Umewahi kuugua sana?
Je umefiwa na umpendaye?
Ulifukuzwa kazi?
Mwanzo nilitamani nikulaumu lkn nafsi imenizuia, huwenda kuna jambo baya lilitikisa ubongo wako..
Nakuona hauko normal,
Nafsi yako imejaa ukosoaji wa kitoto
Nashindwa kukuelewa.
Kanuni yangu ni kuheshimu utu wa mtu lkn kwako nakaribia kusema neno baya.
Zuia kusema sema ovyo unaanika uchi wa akili yako, hivi unajua kuwa unakera?
 
https://secure.tickmill.com/redirec...ps://tickmill.com/promotions/welcome-account/
Hiyo ni link ya promotion ya tick mill unapewa 30$ kama mtaji then ukikuza Mpo 130$ utaruhusiwa kutransfer hiyo 100$ to your real account
Note
Una serve tatu jaribu 01 au 02
Pia chagua Seychelles ili upate option ya TZ
Soma tnc zake vzr
It's free ni nzuri kujifunzia
Tupe tovuti kaka sio kutufanyia biashara kwa link we upige mawe.... Hii link ni redirect/affiliate programe mtu akijiunga kupitia hii we unakula commission yako..... Kila la kheri.
 
Doubt: The worst thing a trader can do is doubt him or herself. Doubt leads to a
trader questioning other traders or even worse, throwing themselves headfirst
into online forums and websites, seeking for answers that do not exist. Always
remind yourself that your opinion is all that matters; trust your own judgment,
live with it and love it! 😉😉😉 From Astro FX hiyo wakuu. Naomba tujiamini na tumwamini Mhenga Ontario katika hii safari ambayo wenzetu wanamiaka nayo mingi na wameweza kufaidika nayo sana.
 
Wazima watu wa Mungu ni jumatatu nyingine yenye furaha na amani,ninachoweza sema ndugu Ontario hapa alipotufikisha Mungu ambariki kwani katupa mwanga ambao tusingeweza kuupata popote pale na kila jambo analolifanya akiliona limempa mafanikio lazima alilete humu,tunajua ni asilimia chache watakaoweza kufanikisha yote ayaletayo humu,binafsi mimi ningefurahi sana endapo hata hao wachache watakao patikana waweze kutoka kila wilaya au kila jimbo ili hii elimu iweze kumfikia kila mtu,hata wakiwa watu watano au zaidi ni faraja kubwa sana kwa ndugu Ontario,najua si watu wote watakaoweza kufanya forex ila endapo watapatikana ni jambo la kushukuru,kuna tutakaoanza nao na tutafika salama na kuna watakao ishia njiani,kuna watakaoridhika na kidogo watakachotengeneza na hawataweza kusonga mbele kwenye mafanikio chanya,huu nmtazamo wangu tuu wandugu,ila tujiandae kwani bwana Ontario atakuja na njia yingine ya jinsi ya kufanikiwa
 
Mkuu ontario mimi nataka kujua kama hiyo FOREX umeshafanya any workshop in Tanzania
 
Wazo la pili
Kwasasa huu uzi ndio utakua ukitumika kwaajili ya kila kitu, updates and everything. Mambo yakikamilika I will make a call kwa uzi mwingine hapa hapa JF. Tuweni wavumilivu, I know how much I and my team are fighting to get started. Please kwa wale mnaonifahamu, sitajibu ht hizo text mnazonitumia mara kwa mara FB messenger na IG. Tukiwa tayari, nitatoa details zote na utaratibu, sehemu ya kukutana ni office pekee and not otherwise. Mambo yakikamilika tutaarifiana.
Huu Uzi wa mwaka 2013 vipi mkuu umefanikisha kufungua office na je mmeshawahi kukutana mkuu nataka kujifunza
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom