Duuuh umenikumbusha mbali sana!!!
Sasa hii ndio inaitwa forex mkuu!! Pole sana!! Jiulize kama demo acc imekuma ingekua real acc ungefanyaje??...
Hapo naona...
1. Kosa kubwa ulifanya ni kufungua positions nyingi zinazorun katika loss!! Hili ni kosa kubwa mkuu...na kiasi kikubwa limepelekea kuchoma acc yako!!!
2. Hukutumia stop loss!! Kwa ushauri tu, hata kama hukuweka ila unapoona kuna major news relieses kama unaona hiyo pair itadhurika ni vyema unge modify position na kuweka stop loss mapema!!
3. Over trading. Jua unapofungua trades nyingi au unapotrade mara nyingi per time ndio unajiweka kwenye risk!
4. Overconfidence. Ulifungua positions nyingi ukiwa unaimani kwamba zitakua on your favor na bahati mbaya haikua hivyo!!
5. Alafu kua naimani soko litaenda on your favor after news reliese ni kosa pia. Maana huwezi kuwa so certain how the market is going to react mkuu!!!
Nadhani hilo somo ulilofundishwa na "market" usingeweza jifunza sehem yoyote except thru that experience!!
Usikimbilie kufungua demo acc ingine. Tulia jiulize ulikosea wapi then jifunze kupitia vitabu...
Nadhan siku ukiambiwa kuunguza account utaelewa how it feels like!! Jua asilimia kubwa ya traders washaunguza acc tena real acc na sio demo!!
Zaidi ya yote, kuwa makin na major economic news releases sometimes ni vyema kukaa pemben kwa usalama wako!! Huwa zina nguvu sana na unaweza pata loss kibwa sana au faida kubwa sana. So its up to you to decide!!
Dont feel bad!! Japo ni demo, ila pole sana na karibu kwenye ulimwengu wa forex!!
Sent using
Jamii Forums mobile app