Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Mkiambiwa muwe na subira muwe mnaelewa. Usione watu wanasoma ukazani ni washamba sana boss.

Sina cha kukushauri boss wangu wewe komaa nao tu maana siwezi kukusanya vitu ambavyo sikuvitawanya. Sometimes kujifunza in the hard way is the best way to understand.

All the best bruh!!
dah!...inaonekana jamaa keshaingizwa mkenge?..
 
mkuu huyo jamaa yuko sahihi mana hategemei kufungua position moja,wenzako wanafikiria kufungua position 2 au 3 at the same time za currency pair tofauti, ni uamuzi wako kama utakomaa na position 1 tu mpaka utakapo pata mtaji mkubwa

Ahsante kwa kunichangia mawazo. Ubarikiwe.
 
Mkiambiwa muwe na subira muwe mnaelewa. Usione watu wanasoma ukazani ni washamba sana boss.

Sina cha kukushauri boss wangu wewe komaa nao tu maana siwezi kukusanya vitu ambavyo sikuvitawanya. Sometimes kujifunza in the hard way is the best way to understand.

All the best bruh!!

Ahsante BOSS!
 
Patience is paying.

My earlier head and shoulders pattern is now being pushed down bringing blues by the recent USD fundamental news

It is still demo guys and I am testing my arsenal ready for training from the boss ONTARIO

4a4bd7a0324b0ece2ba53fb77d89cc6e.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu iyo stop loss mbona kama ipo mbali sana??
Naomba kuuliza unatumia Risk reward ratio ya ngap??
 
Mkuu iyo stop loss mbona kama ipo mbali sana??
Naomba kuuliza unatumia Risk reward ratio ya ngap??
SL hiyo iko kama 30 pips from entry
price. Kuhusu risk reward ratio, hubadilika kutegemea na price action strategy inayogovern .

Every strategy has its unique entry and exit rule. Kwa hiyo discipline na patience inahitajika sana.

Lakini inashauriwa Risk-reward ratio a minimum of 1:1

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado sijaanza kutrade, ila kulingana na mazungumzo position size ni 1%
Una maanisha 0.01??

Anyways..

Kama ana malengo ya kutumia position size kubwa mfano 0.1 kwenda juu then yuko sahihi ila kama anataka tumia 0.01 sizan kama ni muhimu!!

Hivo ndio nnavyojua!! Ila ni vyema ukafwata ushauri wake !!

BTW kwanini mtu akusaidie ku trade?? Wewe huwez?? Kama huwezi kwanini usijisomee au ukangoja training??
 
WAKUU MNAENDELEAJE?
Kwanza niwasalimu wote na pia nafurah kuona bado tunaendelea kujifunza biashara hii adhimu kabisa ambayo huendeshwana akili zaidi kuliko nguvu,hivyo ni muda wa kusaidiana hususani mabroker wa kutrade nao ambapo ndio sehemu ya msingi sana,
nilikua napitia pitia mabroker wap wazur kutrade nao nimekutana na tickmill na freshforex,kiukweli wapo vizur sana kama hawa fresh Forex nimewaelewa sana hata spread zao zipo poa na hawana commission ukideposit na wameruhusu njia kibao za kudeposit kwa ufupi wapitie mwenyew hapa kwenye hii link https://freshforex.com/?aff=67167
then utaleta mlejesho....pamoja sana wakubwa
 
mimi SL naweka ila ikipanda currency juu na mimi nahama na SL hadi najikuta SL inakuja kukata ikiwa kwenye faida kama currency inashuka sijui kama hapo nitakuwa nakosea wadau
 
hello brother binafsi nahitaji kujifunza zaidi na kuwa one of your disciple naomba kupata contacts zako ili iwe rahisi kukupata kwa msaada zaidi
Meshack eliah simu no.0757216967/0714472915
 
Bwana Ontario wewe ni wa kipekee sana kwani tokea huu uzi umeanza hakika hakuna mtu ameacha kupita hapa jamii,umewafanya watu wawe bize muda wote,najua wewe ni mmoja mwenye nia nzuri ya kuwakwamua watu kwenye lindi la kukosa ajira na pia hata wale ambao hawajabahatika kuendelea na masomo,ila chain unayounganisha ni ndefu sana ila Mungu atakupa wepesi katika hili jambo,mimi naweza kukufananisha na mwanzilishi wa facebook kwani walianza wachache hadi kufikia dunia nzima,na vivyo hivyo forex itaeneea Tanzania nzima kupitia wewe big up my young brother.Ninachowaomba wadau tuwe kama siafu kwani wana ushirikiano mkubwa sana katika kufanya kazi nikiwa na maana tushirikiane katika kutoa maarifa kwa wengine kama Bwana Ontario anavyopambana kutuelimisha.
 
mimi SL naweka ila ikipanda currency juu na mimi nahama na SL hadi najikuta SL inakuja kukata ikiwa kwenye faida kama currency inashuka sijui kama hapo nitakuwa nakosea wadau
Hilo ni kosa kubwa sana. One of the rule ktk forex ni DISCIPLINE.

Kuna siku utahama nayo na currency pair itaendelea kuhama na wewe na mwisho utapata loss kubwa hata kuunguza account.

Ukishamasta strategy Fulani na ukaitest several time na ikakupa profit most of the time, stick to its rule usihame hame.

Kumbuka kuwa hakuna holly grail system or strategy but kama strategy in a probability ya kukupa profit kwa angalau 70% hiyo inafaa.

Kwa hiyo loosing three trade out of 10 maana Yake on average bado unapiga profit.

asante mkuu nimekuelewa sana thanks
 
Patience is paying.

My earlier head and shoulders pattern is now being pushed down bringing blues by the recent USD fundamental news

It is still demo guys and I am testing my arsenal ready for training from the boss ONTARIO

4a4bd7a0324b0ece2ba53fb77d89cc6e.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahahah, boss kuanzia sasa nitakuwa nakuita mzee wa heads and shoulders. Naona leo unalala mbele na head and shoulders tuu.

Good stuff though.
 
SL hiyo iko kama 30 pips from entry
price. Kuhusu risk reward ratio, hubadilika kutegemea na price action strategy inayogovern .

Every strategy has its unique entry and exit rule. Kwa hiyo discipline na patience inahitajika sana.

Lakini inashauriwa Risk-reward ratio a minimum of 1:1

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa maana hiyo ni kwamba unarisk 100usd lupata 100usd??

Yaani unapata hasara ya 100usd ili upate 100usd??

Mbona kama ni unrealistic??
 
Salute bosses

Mimi nikikwambia nimelipa Rand 14,000 (ni kama mil 2.5) kwaajili ya 1 to 1 mentorship huwezi kuamini. But wanaoelewa forex wanajua nini namaanisha. Vijana makini sana ambao pia nina malengo ya kumeet nao mwakani wanaitwa AstroFX wana charge $7500 kwaajili ya 1 week training na 6 months guidance ktk forex.

Again I salute all you bosses

ONTARIO.

Sasa naanza kukuelewa vizuri sana sana sana, wanaotrade tuuu kamwe hawatawea kukuelewa hapa,

Hii forex huwezi pata faida bila kutumia strategy katika trade, huyu alilipa 2.5M Kufunzwa strategy za kutrade ndio maana anapata faida.

najifunza Candle strategy sasa

[HASHTAG]#ONTARIO[/HASHTAG]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom