Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Mkuu Al-Watan and Danpol haya maeneo ya khanga wala hayasaidii chochote.....eleweshaneni tu kiishe.
Maneno ya kanga kaanza huyo aliyeniambia mimi tapeli.

Wahenga walisema "akuanzaye mmalize".

Mimi ni mtu ninayependa sana kuheshimiana na watu, ila mtu akinivunjia heshima nampa ukweli wangu na nafasi ya kuniomba radhi.

Akiendelea kunivunjia heshima hakuna sababu ya kumuheshimu. Nampa kubwa tu.

Wahenga walisema "Akuanzaye mmalize".

Jamaa hajui hata time zone ni nini, hajui "6 PM Sunday" ni nini. Hajui kusoma kwa comprehension.

Halafu anajishaua hapa kunitusi?

Lazima nimpe kubwa tu.

Kila uongo anaosema namuambia nipe quote nilipoandika hivyo, ananywea.

Kasema nimesema nime trade Jumamosi, nimemuomba quote, hajatoa.

Kasema nime copy paste Ast, nimemuomba quote na ya huko Ast, kanywea.

Kasema nimesema kuna tofauti ya masaa 12, nimemwambia nipe quote,kanywea.

Katika jamii watu wenye viroja na vijicho kama hawa hawakosi.

Wengine wanaona hawawezi kupata pa kutokea mpaka wabishane na Al-Watan.
 
First things first.

Tatizolako la kwanza hujui kusoma.

Ushanielewa?

Hujui kusoma. Na kwa sababu hujui kusoma, hata kunielewa inakuwa ngumu.

Rudi shule jifunze kusoma kwa comprehension kwanza, halafu ndiyo urudi hapa.

Wapi nimesema tunatofautiana masaa 12?

Unaweza kunipa hiyo sehemu? Unaweza kunukuu ukanionyesha nilipoandika kwamba tunatofautiana masaa 12?
Kutokujua kusoma kwangu ndio jibu???

Aliesema huko kwenu saa 12 jion n new Zealand saa 12 asubuhi n nani?? ... hii sio tofaut ya masaa 12 hii kiongozi??? alie toa haya maelezo sio wewe???

Kama hili linaweza ni kwann Tanzania tulio masaa 8 nyuma tunashindwa ku trade 8 hrs early??? ama kwann Tanzania tulio nyuma ya Australia zaid ya masaa 15 nyuma, kwann tunashindwa anza trading 15 hrs early??? kabla ya muda wa kawaida soko kufunguliwa, Kama unaweza tumia time zone ya sehemu nyingne tofaut na yako, that means kwa Tanzania, wangekua wanapumzika jumamos tu, jumapili mapema tu wangeingia kazini, ! hii ndio point yangu ya msingi

Swali linalokuja kwako

mnaweza vipi kutumia time zone ya sehem nyingne tofaut na yako kufanya haya??? Muda wa huko kwenu n bado, ila sehemu nyingne tayari, ni nn kinatokea hapo hadi mnaweza tumia muda wao kufanya trading ???

ama nirahisishe swali, pale Australia Wao wakiwa jumamos sisi n ijumaa,, kule kwao linakua closed kwann huku kwetu bado liko wazi??? do you get my point????

Ni ufafanuz mdogo tu kiongozi, ambao ungeondoa tongotongo hz na sifa kede kede ukapata, achana na personal attacks , don't panic... umefanya kazi kubwa mno to earn thousands of dollars na kila mtu anakupongeza, weka hili waz huko kwenu imewezekana kwasababu moja mbili tatu... hvyo tu, sio ugomvi wala nn
 
Kama unataka ufafanuzi kweli, omba radhi kwa kuniita tapeli kabla ya kupata ufafanuzi wa jambo.

Kumuita mtu tapeli katika jambo ambalo hulijui na unatafuta ufafanuzi wake ni ujinga.

Wapi nimesema huku kwetu saa 12 jioni ni New Zealand saa 12 asubuhi?

Unaweza kunipa hiyo quote hapa? Unajua kusoma wewe? Unajua kuliani wapi na kushoto ni wapi bilakuambiwa wewe? Unajua magharibi ni wapi na mashariki ni wapi? Unajua time zones zinavyoenda?

Kwa nini unaandikia mate na wino upo?

Maandishi yangu yote yapo hapa, nukuu nilipoandika hilo.

Unachokataa ni nini sasa? Unakataa US East Coast watu hawa trade saa 12 jioni Jumapili?

Nilipokuwekea NADEX trading hours ulisoma?

Unaelewa 6 PM Sunday ni muda gani?

Uongowako wote mbona nikikwambia unipe nukuu unanywea?

Umeongopa kwamba nime copy paste Ast, nimekwambia toa nukuu nilicho copy paste halafu tuonyeshe Ast walipoandika, umenywea.

Umeongopa kwamba nimesema nime trade Jumamosi. Nimekwambia unipe quote nilipoandika hilo. Umenywea.

Umeongopa nimesema nilipo na New Zealand kuna tofauti ya masaa 12, nimekwambia unipe nukuu nilipoandikahilo, umenywea.

Kwa sababu wewe ni mzushi unayependa kujizushia zushia tu mambo, na pia hujui kusoma, hujui time zone ninini, unarukia mambo tu.

Soma link hapa --> Holidays & Hours

Trading hours
Nadex is open for trading from 6pm ET Sunday through 4:15pm ET Friday, excluding end-of-day processing hours which occur between 5pm and 6pm ET on Monday through Thursday. Our customer services team is available during all regular trading hours.

Trading hours for individual contracts are given in the Contract Specs for each market.
 
Danpol

Naomba niwekee hayo maneno niliyo copy paste from Astr hapa tujue ukweli na uongo anao nani.

Kama hujaweza kuweka niombe radhi kwa kunichafua jina kwa maneno ya uongo.

Ukishindwa yote, utakuwa umeidhihirishia kadamnasi ya JF kwamba wewe ni mnafiki, muongo na mchonganishi ambaye unatunga maneno ya uongo na kuyaleta hapa.
 
Ni hivi, mimi niko North America. Saa kumi na mbili jioni East Coast US tayari ni asubuhi ya New Zealand.

Kwa hivyo, masoko ya New Zealand yakianza kufunguliwa asubuhi ya kwao New Zealand, kwetu US East Coast ni saa 12 jioni tunaangalia TV na kusubiri dinner.

NIMEJARIBU KUTUMA SCREENSHOT IKAGOMA, INA CRASH TU,

HAYA MANENO KWENYE HIYO POST NAMBA HAPO KAANDIKA NANI? SIO WEWE?? ILA UNAYAKANA???

[emoji23] [emoji23] [emoji23] TAPELI BANA

HUKO PM TAFADHALI, NARUDIA TENA, KUWENI MAKINI, HII MAMBO YA MTEREMKO HII OOH

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Danpol
Wewe hata ku quote na kuchukua screenshot tu kunakushinda, sishangai concept ya time zones inakupa shida.

Sishangai hujui kusoma.

Umeshindwa hata ku quote nilipo copy paste Astr?
 
Thanks.
Nafikiri unaongelea Sunday na Monday. Za Friday ziko nyuma katika thread hujaziweka nafikiri.

Hesabu yenyewe (hizi ni profit tu kwa siku, kama nilivyopost awali)

Friday$ 3,800
Sunday $500
Monday $1030

Ukitaka kujumlisha kuanzia Friday mpaka sasa hiyoni profit ya US $5,330.

Na leo huku ndiyo kwanza siku inaanza, nataka kupumzika live kidogo niangalie mchezo kwenye demo, kama unavutia narudi live.

Risk Management ni muhimu sana. The most vulnerable time is when you are winning, because it is very easy to feel like you know it all and you are invincible.

You are not. The market is an indomitable animal. One can only strategize to minimize risk, not eliminate it.

Sent from my Kimulimuli
maneno ya mwsho kwenye hii post.... kwenye paragraph mbili za mwsho.. ukishaondoa kiswahil chako.. the rest umehamisha

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Kama unataka ufafanuzi kweli, omba radhi kwa kuniita tapeli kabla ya kupata ufafanuzi wa jambo.

Kumuita mtu tapeli katika jambo ambalo hulijui na unatafuta ufafanuzi wake ni ujinga.

Wapi nimesema huku kwetu saa 12 jioni ni New Zealand saa 12 asubuhi?

Unaweza kunipa hiyo quote hapa? Unajua kusoma wewe? Unajua kuliani wapi na kushoto ni wapi bilakuambiwa wewe? Unajua magharibi ni wapi na mashariki ni wapi? Unajua time zones zinavyoenda?

Kwa nini unaandikia mate na wino upo?

Maandishi yangu yote yapo hapa, nukuu nilipoandika hilo.

Unachokataa ni nini sasa? Unakataa US East Coast watu hawa trade saa 12 jioni Jumapili?

Nilipokuwekea NADEX trading hours ulisoma?

Unaelewa 6 PM Sunday ni muda gani?

Uongowako wote mbona nikikwambia unipe nukuu unanywea?

Umeongopa kwamba nime copy paste Ast, nimekwambia toa nukuu nilicho copy paste halafu tuonyeshe Ast walipoandika, umenywea.

Umeongopa kwamba nimesema nime trade Jumamosi. Nimekwambia unipe quote nilipoandika hilo. Umenywea.

Umeongopa nimesema nilipo na New Zealand kuna tofauti ya masaa 12, nimekwambia unipe nukuu nilipoandikahilo, umenywea.

Kwa sababu wewe ni mzushi unayependa kujizushia zushia tu mambo, na pia hujui kusoma, hujui time zone ninini, unarukia mambo tu.

Soma link hapa --> Holidays & Hours

Trading hours
Nadex is open for trading from 6pm ET Sunday through 4:15pm ET Friday, excluding end-of-day processing hours which occur between 5pm and 6pm ET on Monday through Thursday. Our customer services team is available during all regular trading hours.

Trading hours for individual contracts are given in the Contract Specs for each market.
Saa kumi na moja kurud nyuma n alfajiri, asubuhi inaanza saa 12
 
Hapa unataka kusema nini sasa? Hata unachoandika wewe mwenyewe unakielewa?
Huwez kutumia time zone ya sehem tofaut na uliyopo kufanya Lolote.. Full stop...

Mengine yoote utapel mtupu
 
Sasa mbona Nadex watu wana trade saa 12 jioni Jumapili, wakati ambapo masoko ya US East Coast yamefungwa, kwa kutumiamasoko ya New Zealand ambayokwa muda huowa saa 12 jioni US East Coast, New Zealand ni Jumapili asubuhi?

Unajua kusoma wewe?

Holidays & Hours
Trading hours
Nadex is open for trading from 6pm ET Sunday through 4:15pm ET Friday, excluding end-of-day processing hours which occur between 5pm and 6pm ET on Monday through Thursday. Our customer services team is available during all regular trading hours.

Trading hours for individual contracts are given in the Contract Specs for each market.
 
Huwez kutumia time zone ya sehem tofaut na uliyopo kufanya Lolote.. Full stop...

Mengine yoote utapel mtupu
Weka link ya Ast niliko copy.

Hujaweka bado hiyo link.

Ukishjindwa niombe radhi.

Ukishindwa vyote wewe ni mzushi usiye na chembe ya credibility.
 
Danpol
Wewe hata ku quote na kuchukua screenshot tu kunakushinda, sishangai concept ya time zones inakupa shida.

Sishangai hujui kusoma.

Umeshindwa hata ku quote nilipo copy paste Astr?

maneno ya mwsho kwenye hii post.... kwenye paragraph mbili za mwsho.. ukishaondoa kiswahil chako.. the rest umehamisha

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Wakuu i dont wanna be in anyside but kama watu wazima ts better tukasameheana tulipokoseana nd moving with our journey of forex discussion as it was while waiting for class time.

Those arguiments zinatu lead kwenye wrong direction na kushusha heshima ya huu uzi kwa ujumla.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom