Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
mkuu sclaping si kuvizia au??
Scalping sio kuvizia mkuu, scalping ni style ya kutrade! hii unakua una trade kwa mfupi sana then unatoka sokoni, hata wewe unaitumia hii style kwa mujibu wa screen shoot zako... sasa ukiwa umeingia sokoni ukakaa na position moja siku nzima sasa hiyo ni kinyume cha scalping!

you go short mifano dk 1,5,&15

Ukiwa una fanya scalping sio lazima u-go short unaweza go-long pia. Kwa kuongezea tu, going short ina maana kuuza, na going long ina maana kununua! kwenye scalping unaweza uza na kununua, haijalishi!
 
Mkuu lodrick natumani umeiona comment yangu hapo juu nimeambatanisha na screen shot. Tafadhali tia neno hapo.
 
Nashukuru sana mkuu wangu!

Kuna kipindi nilishaletaga mada kuhusu technical na fundamental kwenye huu uzi siwezi kumbuka ni page gani ila kwa kifupi...

Technical analysis unaangalia market movement basing on price...unaweza tumia tools/indicators kama fibonacci tracement, moving average, RSI an nyingine nyingi kama hizo! Japo ina mapungufu yake ila ni moja ya njia zinazotumika sana kuangalia at what point uingie/ufungue position au muda gani ufunge position! as I said, ina mapungufu yake...

Kuna ingine inaitwa naked forex trade.... hii inatumia price tu, hamna indicators (kasome naked forex trader imeelezewa njema sana)

Fundamental...hii ndo yenyewe na ina impact kubwa sana katika currency husika, both in long and short term! sasa hapa tunaangalia matukio kama wars(refer tension kati ya Kiduku na Trump), terrorists attacks, elections(refer kipindi cha kampen za akina trump na uchaguzi wa UK...terresa May), employment data (refer payrow, NFP), natural calamities (refer mafuriko kule USA na impact yake kwenye bei ya oil) na kubwa zaidi ni interest rates znazotangazwa na bank kuu za nchi fulani mfano benki ya Euro(ECB), Banki kuu ya USA (Fed), banki ya UK na nyingine nyingi!!

Ukitaka kupata fundamental data unaweza tumia hizi web...
Forex Trading News & Analysis
Investing.com - Stock Market Quotes & Financial News

Sentiment analysis...hii imebase sana kwenye mood ya soko au how investors feels about currency movement!! Japo haitumiki sana ila ina inatoa mwelekea wa soko mfano kwa kutumia technical analysis unaweza dhani soko liko hivi kumbe kwa kutumia sentiment analysis unakuta soko liko vingine kabisa....(hapa wadau watailezea zaidi maana sina uzoefu nayo sana mkuu)!!

Ila nakushauri sana upitie kitabu cha astrofx na forex bilbe zimeelezewa vizuri sana humo...

NB: Ni vyema uka tumia analysis zaidi ya moja kujua price movement....
Karibu!!
Shukran kwa ukarimu wko mkuu, watu kama nyinyi mnahitajika sana kusaidia wengine coz tumetofautiana sana kiuelewa, ngoja nifanyie kazi shauri lako, nitakapokwama sitasita kurudi hapa..

Salute man.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa ndo alivyofanya, ndo nasema alikosea, wakuu wanasema anafanya scalping... Mi naona wananivuruga... Mana hata kaelimu kangu kananambia kama kwenda juu ni kujumlisha kurudi chni inakuwa kutoa, sa jamaa kabuy na kusell SAME PAIR YA CURRENCY. anapataje faida?

Ndo nasubiri maelekezo.

<> semper fi <>
Mimi pia hutumia huu mfumo sasa ukibuy kwa kutegemea itapanda halafu ikawa kinyume chake huwa nasell bila ku close position ya buy, kucover loss. Labda ndicho alichofanya mkuu hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu nahitaji mawasiliano ya namna ya kupata mentorship kwenye Forex business please, namtafuta mkuu Ontario kwenye JF massage naona yuko tite hajaona my msgs, msaada plz, and thanks in advance
 
Nahisigi hvyo, lakn hili la kubuy then unasell SAME PAIR kwa kutegemea kumaximize faida ndo lanchanganya

<> semper fi <>
Ngoja nijaribu kukuelezea kwa mara ingine...

Kwanza Scalping ni trading style, na hii unahusu sana wale wanakaa na screen kwa muda mrefu, unafungua position na kuifunga ndani ya dakika chache, mfano dk 1, au dk5! au unaifungua na kuifunga baada ya kupata pips 4 au 5 au hata moja au mbili...

Sasa kwa wale wanaofungua position na kukaa nayo kwa masaa ua siku au mwezi au hata mwaka...hao pia wana jina lao...ila sio scalpers!!

Okey, kwenye kubuy na kusell...

Mfano unatumia pair hii EURUSD...

Kitaratibu ni kwamba sio vizuri ukanunua/buy na kusell at the same time. Namaanisha ukiwa umefungua position ya kwanza labda uli-buy, na hujaifunga, usije uka-sell the same pair!! mfano position yakwanza uli-sell alafu unafungua nyingine (ya ku-buy) huku ya kwanza ikiwa ina run na hujaifunga NI KOSA!

Ila ukifungua position ya kwanza ya ku-sell na ukafunga alafu ukafungua ya nyingine ya ku-buy haina shida!! shida ni utapofungua position mbili ya kusell na ya kubuy same pair(EURUSD) at once au zote zikiwa zina run!!

Kwa kuongezea...

Kuna pair zina uhusiano (correlation) mfano EURUSD na AUDUSD hizi zina move on the same direction.

EURUSD na USDJPY hizi zote zina move in oposite direction...

Kuna kitabu kinaitwa CURRENCY TRADING and INTERMARKET ANALYSIS kiliwekwa humu na kinaelezea vizuri sana hii concept! Kwa kifupi hii concept inaitwa "currency correlation"!

Pitia hizi links ujifunze zaidi...

Currency Correlation Explained

How To Read Currency Correlation Tables
 
Ila sasa shinda iko kwenye SL&tp, natamani kutumia sana SL tp japo na'go short ila kila ninapoweka lazima nipate hasara yani unakuta pair inajiclose wkt haijatick blue(-).
Nna dk 20 za kuwa hapa kwenye screen ila ngoja nijaribu...

Kwanza shida yako ni ndogo sana ila jibu kamili kukupa kwa maandishi naweza kuwa ngumu...ila...

Hapo ni kwamba kama unatumia simu kutrade...

Unaiwela SL vizuri maana kwenye simu ukikosea inakataa ku set!

Pili nikwamba, hufanyi analysis kabla ya kufungua position kiasi kwamba ukiset SL na ukafungua position badi SL inakutiwa na inajifunga kwa hasara, kwa kifupi ni kwamba unabahatisha (samahan kama nimekukwaza maana hata sisi tulipitia huko...)

Ila nikienda bila SL&tp lazima nivune faida. ASANTENI

Sasa unapofungua position bila SL na unapata faida ni kwamba hii position ina run kwenye loss mda mrefu mpaka inageukia kwenye faida (kwa bahati...) kiasi kwamba ungeset SL basi ingejifunga yenyewe!!

Nimejaribu kuomba msaada kwa grps wengi wananiambia nikasome vitabu kwamba nielewe surpot &resistance asa kila napojaribu kujielewesha hapo nakwama kabisa wadau nisaidieni kipengere hicho nikivuke. Yani nikiweka take profit nilenge sehem husika nisiangukie kwenye negative.

Kwa upande fulani hawajakosea japo walikua jibu ambalo ni too general/la ujumla sana!! nikwambie tu mkuu nakuomba sana ujitahidi kupitia vitabu na kufanyia mazoezi kwenye demo kila unachosoma pia lugha ya malkia ina nafasi yake mkuu wangu!

Kuna youtube channel za youtube niliskia zipo zinazoelezea kwa kiswahili jitahidi uzitafute watakuasaidia pia...

Karibu!
 
Muda wowote mkuu, karibu sana!

Mkuu Lodrick salaam,
Nimevutiwa sana na hii isu ya forex, na nimesikitika nimechelewa kuisoma na kupata hamasa nayo, kimsingi baada ya kuwasoma nimehamasika, please help me for mentorship connection and where do i start, najua nimechelewa but naamini there is opportunity for me. Thanks in advance
 
Nna dk 20 za kuwa hapa kwenye screen ila ngoja nijaribu...

Kwanza shida yako ni ndogo sana ila jibu kamili kukupa kwa maandishi naweza kuwa ngumu...ila...

Hapo ni kwamba kama unatumia simu kutrade...

Unaiwela SL vizuri maana kwenye simu ukikosea inakataa ku set!

Pili nikwamba, hufanyi analysis kabla ya kufungua position kiasi kwamba ukiset SL na ukafungua position badi SL inakutiwa na inajifunga kwa hasara, kwa kifupi ni kwamba unabahatisha (samahan kama nimekukwaza maana hata sisi tulipitia huko...)

Sasa unapofungua position bila SL na unapata faida ni kwamba hii position ina run kwenye loss mda mrefu mpaka inageukia kwenye faida (kwa bahati...) kiasi kwamba ungeset SL basi ingejifunga yenyewe!!

Kwa upande fulani hawajakosea japo walikua jibu ambalo ni too general/la ujumla sana!! nikwambie tu mkuu nakuomba sana ujitahidi kupitia vitabu na kufanyia mazoezi kwenye demo kila unachosoma pia lugha ya malkia ina nafasi yake mkuu wangu!

Kuna youtube channel za youtube niliskia zipo zinazoelezea kwa kiswahili jitahidi uzitafute watakuasaidia pia...

Karibu!
Poa mkuu hadi kitaeleweka tu.
 
Mkuu Lodrick salaam,
Nimevutiwa sana na hii isu ya forex, na nimesikitika nimechelewa kuisoma na kupata hamasa nayo, kimsingi baada ya kuwasoma nimehamasika, please help me for mentorship connection and where do i start, najua nimechelewa but naamini there is opportunity for me. Thanks in advance
Karibu sana kiongozi,

Inshort we are still learning, na tunatumia kidogo tujuacho kuwasaidia wenzetu!

Kuhusu kujifunza ni kwamba hujachelewa kama unavyodhani mkuu..

Kuna vitabu viko hapa vitakusaidia kuanza, pia kuna semina ya forex kaandaa jamaa japo bado hajasema siku kamili ila ni vyema ukiwa unangoja uanze kupitia taratibu vitabu ili upate basic knowledge ya forex, infact hata sisi humu tulianzia huko na sio kitu kigumu ukiwa na nia na moyowa kujifunza!

Kama uko tayari pitia hii link (tumia PC kufungua)...

Unaweza anza na kitabu cha forex bible au forex trading for dummies au astrofx...vyote ni vizuri kwa kwa kuanzia!!

Ukikwama unaweza kuja hapa jukwaani ukauliza utapewa usaidizi!

Karibu sana na kila laheri!!
 
Asante sana mkuu, nitafanya juhudi kubwa kujifunza, na msinichoke jukwaani kwa ufafanuzi, nasubiria seminar kwa hamu hata bei gani nitatoa for learning. Ubakikiwe sana
 
Mimi pia hutumia huu mfumo sasa ukibuy kwa kutegemea itapanda halafu ikawa kinyume chake huwa nasell bila ku close position ya buy, kucover loss. Labda ndicho alichofanya mkuu hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna trading style inaitwa hedge (sina hakika na jina)... yaani hupati faida, unakua ume break even! unapo buy na kusell at once jua unajianika kwenye risk, kasome kitu kinaitwa currency correlation...
 
Asante sana mkuu, nitafanya juhudi kubwa kujifunza, na msinichoke jukwaani kwa ufafanuzi, nasubiria seminar kwa hamu hata bei gani nitatoa for learning. Ubakikiwe sana
Thank you!

Alisema watu 300 wa kwanza ni free (soma post yake ya kwanza hapo juu), ila baada ya hapo ndio charge itaanza, mind you, alisisitiza atleast ujue basics kabla hujaenda (thats why nimekushauri upitie books) maana kwenye hiyo semina hapatakua na kufundisha basics za forex, hivyo ndio alivyosema!

Karibu sana mkuu!
 
Poa mkuu hadi kitaeleweka tu.
mzee baba tatizo lako limenielewa kwa njia nyingine..unasema kwamba ukifungua position kisha ukaiacha itembee hivyo bila kuweka SL unaingiza faida ila ukiweka SL unadumbukia kwenye hasara..

sasa ni hivi,brokers wengi kwanza kabisa huanzia na kutoa chake kabla ya jambo lingine lolote..utapata kwamba soko liko kwenye uptrend ila ukifungua position inaanzia kwenye loss tuseme (-20 pips) hivi.sasa ukiweka SL yako karibu saaana tuseme 10 pips kisha chart icheze cheze wakati ikitafuta mwelekeo lazima itaguza SL yako na kufunga pisition yako kwa hasara hiyo..sasa jaribu kuweka SL yako chini kidogo ili soko likiyumbayumba usije ukatolewa sokoni...
 
Thank you!

Alisema watu 300 wa kwanza ni free (soma post yake ya kwanza hapo juu), ila baada ya hapo ndio charge itaanza, mind you, alisisitiza atleast ujue basics kabla hujaenda (thats why nimekushauri upitie books) maana kwenye hiyo semina hapatakua na kufundisha basics za forex, hivyo ndio alivyosema!

Karibu sana mkuu!
Thanks boss nitapitia hivyo vitabu na literature zingine kuongeza uelewa, nilisoma chuo na kwenye proffesional exams katika somo linaitwa international Finance , sikujua undani wake hii kitu, sasa naanza kupata mwanga in real practice
 
Kama mimi pamoja na ma mechanics, tan, sin, cos, sinh, cosh, force, gravity nimeweza pata kamwanga basi wewe kwa msingi wako wa finance+ economics na accounting unaweza fanya vizuri zaidi yetu... weka nia na soma kwa bidii na utapokwama usisite kuuliza naimani hautashindwa!!
 
Najaribu kuelewa tatizo lako with SL or TP, ukikutana na tatizo la kupata hasara kila unapo set SL means you selected a pair against the market bias, M1 or M5 are really unpredictable time frames (sometimes anyway). Pia kama unapata loss kwa ku-set SL maana yake unaset with very few pips (below price when you buy and above price when you sell), try to set maximum pips (hii haikusaidii kama unatumia M1 or M5), this can apply with M30 to H4.

Naona screenshort yako, you sell consecutively, this is not a rule brother, When you open position on long, next is to short and the position is closed. You cannot sell, then next you sell, then sell.....I say NO!..uki open with sell you close position with buy. Ukizowea hivo unavofanya broker wako atakupenalise kwenye profit zako au kukunyima kabisa. Fuata taratibu, SELL then next BUY...that is how you close position. Huu ni uzoefu ninao jaribu kushare, somebody can correct me...

ec032e585a9e261e94ba3b40be76c9cd.jpg
wakuu kama mnavyoona screen shot hii, japo elim yangu std7 ile lugha mama pendwa inanitesa sana ila sikati tamaa IPO siku tu nitaelewa. Mfano fx wengi tulikuwa hatuijui ni kitu gani, buy&sell nilikuwa sijui, bar chart, candlestick nilikuwa sijui, jinsi ya ku'take new order/close position/modify price nilikuwa sijui! How to set SL&tp nilikuwa sijui! Na vingine Vingi! Mikakati yangu huwa naanza kwanza kuiChambua pair husika kuanzia D1,H4, m30, m15, m5, m1. Nikiona soko liko vizuri naingia mazima. Ila sasa shinda iko kwenye SL&tp, natamani kutumia sana SL tp japo na'go short ila kila ninapoweka lazima nipate hasara yani unakuta pair inajiclose wkt haijatick blue(-). Ila nikienda bila SL&tp lazima nivune faida. Nimejaribu kuomba msaada kwa grps wengi wananiambia nikasome vitabu kwamba nielewe surpot &resistance asa kila napojaribu kujielewesha hapo nakwama kabisa wadau nisaidieni kipengere hicho nikivuke. Yani nikiweka take profit nilenge sehem husika nisiangukie kwenye negative. ASANTENI
 
Wadau, polen na majukum!! Ukiivuta fedha toka Skrill in term of US dollar kwenda payoneer na ikitaka kuzi with draw kwa payoneer mastercard kwa ATM zetu hizi mathalan ukatumia NMB ATM, hivi zile fedha zitatoka in term of USdollar au Tsh,

Naombeni msaada hapa wadau.

Sent using Jamii Forums mobile app
Zitatoka shiling my sio doller

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom