Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Wadau wa Uzi huu

Kwanza nimshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kutukutanisha na kutupa uzima wa afya.
Nimesoma all posts +8200 in all 411 pages for 5 days. I committed myself to read 100 pages per day in 5 hours.
Nimeweza kushusha vitabu vyote vilivyorushwa but sijaanza kusoma. Shukrani za pekee kwa Mwl.RCT

Most of the Posts kuhusu Technical Analysis as Posted by Lodrick Thomas , Complex and MWANA WA NGURUMO sijazielewa vizuri so ntazirudia tena next week baada ya kusoma vizuri Technical Analysis from the books. So nimepanga kusoma vitabu vyote kwa topics cz nina background ya Finance so sihitaji "msuli yatima" na ninaelewa Time Zones and when the trading markets overlap. I believe reading 7 books on one topic opens the brain into deeper zones of understanding.

When I first saw this thread, nilisema kama sitoweza kusoma 100 pages per day kwenye JF then I will not be able to read the books. Trading is all about Discipline. Determination to be disciplined is as important as rule number one.

I wish to share my reading Plan from Now on

Mondays - Trading Strategy and Trading Plan
Tuesdays - Trading Psychology (including Sentiment Analysis) and Risk Management
Wednesdays -Technical Analysis
Thursdays - MT4 and Demo Practice
Fridays - Fundamental Analysis
Saturdays - You tube Videos
Sundays - Biographies of Successful Traders


Kuna technique za msingi kwenye discipline everyone should know; When you enter a room, make sure you know how you will get out. Dont enter into trades without an exit strategy. Jingine ni principle ya football; you will win a game with good strikers but to win a Cup you need good defense. Hapa ni kujikumbusha umuhimu wa SL and TP kwenye all trades na tujifunze kuanza na conservative strategy (-1% vz +3%) and latter on tujaribu aggressive strategies (-3% vz +7%).

Nitafanya demo trading until 31 December, 2017 then in 2018 nitaanza kuweka cash. Unfortunately sikuweza kufanya registration but nitatembelea Jagad Plaza when I have time.

Lastly, as a recommendation, before you put your money you need a plan on how you will utilize the earned cash, I suggest kila mmoja atoe some part of the earned money for charity to help the needy, spend some and retain half of it to grow the trading account.

Brother Bavaria nashukuru sana kwa insights zako, I may be in njombe next month, kama itakupendeza ningependa kukusalimia. Brother ONTARIO thanks for this thread, nilianza kusoma hii kitu in 2015 but I gave up cz sikupata Mentor, USD 300 for the classes and Mentor is a good deal.

May God Bless you all and Good luck with your trades and reading.

Sita Sita
 
When I first saw this thread, nilisema kama sitoweza kusoma 100 pages per day kwenye JF then I will not be able to read the books. Trading is all about Discipline. Determination to be disciplined is as important as rule number one.

I wish to share my reading Plan from Now on

Mondays - Trading Strategy and Trading Plan
Tuesdays - Trading Psychology (including Sentiment Analysis) and Risk Management
Wednesdays -Technical Analysis
Thursdays - MT4 and Demo Practice
Fridays - Fundamental Analysis
Saturdays - You tube Videos
Sundays - Biographies of Successful Traders
Hongera
Umejipanga vyema.
 
Mkuu, uko sawa kwa maelezo yako ya short na long. Ila kuna kitu wengi tuna ki-oversee. Ukienda short au long unafanya hivyo at exact that particular moment (or seconds). So kutokana na speculations zako unaweka order regardless trade zinaenda against you (or zinaenda inline with you)ila unaamini baada ya muda fulani zitakua in your favour. Nadhani ndio maana platforms zina chart za dakika 1, 15, 30, 6hrs, 24hrs na kuendelea. Hapo ndio linakuja suala la technical analysis.
Kumbe kuna kuongozwa na muda mkuu.MIE Najua kuwa pale tu napoiona imepanda naiuza fasta KABla haijashuka.kumbe una speculate na unaweza hela kuwa baada ya muda Fulani ngoma itakuwa ivi
 
Ujumbe kwa haters na wasiojulikana
TMT itasonga mbele ukitaka jinyonge ama jinyige
Screenshot_2017-09-15-08-20-11.png
 
Mzunguko wa fedha(biashara) high liquidity ni mzunguko mkubwa was fedha/biashara.i stand to be corrected

Exactly.
Liquidity ni kwa kiasi gani pesa inakuwa traded katika market per time, iwe minutes, hrs au days and so on.
Na kawaida, pair zenye high liquidity zinakuwa na low spread. (these are major pairs, to be exactly. )
Nisaidieni maana ya neno liquidity
 
Demo trading...
A series of failing trades...
Hii kitu co rahisi. Kila mara jaribu kujiuliza ni wapi umekosea.

Rudi vitabuni, and Re read...
Read<> Trade <> Fail <> Read Again <> Trade again <>.... and again....
Screenshot_20170916-205629.png
Screenshot_20170916-205645.png
f1fc13741c9635f9a98c29c786ee036f.jpg
Screenshot_20170916-205726.png
Screenshot_20170916-205741.png
Screenshot_20170916-205751.png
Screenshot_20170916-205808.png
Screenshot_20170916-205819.png
Screenshot_20170916-205839.png
Screenshot_20170916-205839.png
Screenshot_20170916-205853.png
Screenshot_20170916-205903.png
Screenshot_20170916-205912.png
Screenshot_20170916-205934.png
Screenshot_20170916-205942.png
 
Mbona una lose pesa nyingi sana mkuu hutumii stop loss nini maana kupoteza mpaka -37 si mchezo...
 
Walisema oooh,eti huu uzi umefutwa,kumbe ni wazandiki tu,ngoja tule nondo za shule humu tujilipue
 
Swali makini sana!
Boss si mbaya ukacheki YouTube videos, zitakutoa tongo tongo kwa kiasi kikubwa sana. Hata mimi binafsi zimenisaidia.

Lakini... kila trader ana strategy yake ya kutrade, sasa ukicheki sana YouTube unaeza ukajikuta unafika point unachanganywa, huyu anasema tumia fibonacci, mwindine anasema tumia lagging indicators, mwingine anasema tumia support and resistance. Sasa unakua huelewi which is which.

Forex unaeza kuanza na kiasi chochote, inaendana na ntu na ntu. Lakini kadri unavyokuwa na balance kubwa ndivyo unavyokua na wigo mpana wa kutrade. Kuna vitu nikiongea hapa hautaelewa viko technical kidogo. But mimi na recommend usiwe na less than $200.

Kuhusu muda wa kuvuna: Forex unavuna kadri unavyotrade winning trades. Unaeza ukaanza na $200 ndani ya wiki 1 (siku 5) una profit ya $500. Na muda wowote unaweza ukawithdraw, unaweza leo ukatrade ukapiga profits $50 na ukaichomoa yote ukafanya mambo yako mengine.
Ukitaka kuichomoa ni mpaka ufate taratibu zipi na kwa sisi hapa tz inachukuwa muda gani kuipata?
 
Mimi niliturade kwa kutumia bonus ya instaforex ambayo wanatoa kiasi cha $1000 within ndani yasku moja nikawa nimepiga profit ya $174 baada hv
Ila kilichonishangaza baada yakupiga hiyo profit jamaa wakanistop kupress trade !!
Nikatumiwa email inayoniambia nidepost $100 ili niendelee naktrade !!! Swali langu kwenu wadau kunayeyote ambae amesha itumia hiyo bonus kutrade? Kama umetumia nakuambiwa dipost $100 je baada kudpost ulivyoendelea kutrade profit uliyopata tena uliluhusiwa kuwithdraw?
Weekend njema wakuu!!!
 
Wazo la kwanza
Protocol yangu hua haibadiliki milele. Hahaa! Wanaonifahamu wananifahamu vizuri, hua sijibu PM ya mtu yoyote, no matter who you are. Kama ulishawahi kunitext PM kuhusu mada ninazopost na nikakujibu positively basi jua wewe ni malaika. Binafsi Naamini katika kufanya kazi in transparency, clearness and clarity. Hakuna kitu cha kuficha, kama kuna chochote weka hapa jukwaani kila mtu aone, ajifunze, aelimike na akosoe pia.
Mkuu Ontario kwa bandiko lako,ila mbona biashara hii ni kama kamari tu mkuu.At most I can call it White Collar Bingo.Why do I call it White Collar Bingo,because the back bone of this business is speculation of the value of the currency you want to buy,that is you assume under the prevailing circumstances that it will be of a higher value compared to the one you have.So this is Bingo mkuu.Kwa sababu hiyo sio kila mtu anaweza kufanya this kind of business.If for example you are a strong believer in Christ Jesus,you can't do this business.Forget about akina Bushiri who pretend to be believers but do not actually believe in Jesus Christ, but believe in other entities.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom