MR LINKO
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,034
- 3,526
nyie ndo matapeli mnajifanyamnafungua shule ya forex mnakuwa kama ontario kumbe mtu ana weza make alot kupitia indicator,peleka ujinga wako huko, alafu usini quote kwenye huu upuuz wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nyie ndo matapeli mnajifanyamnafungua shule ya forex mnakuwa kama ontario kumbe mtu ana weza make alot kupitia indicator,peleka ujinga wako huko, alafu usini quote kwenye huu upuuz wako
Hilo jamas tapeli sana ngoja this week nilifungulie uzi wake, kenge hilo limejaa njaa kila sehemu
Mwalimu what trading strategy is that?View attachment 728353
Testing New Trading Strategy. Doubled the account!!!
- Hii ni kuwatia moyo wenye mitaji midogo, Hakika hata ukiwa na TZS 30,000 (Ni kama dola 13tu) unaweza kuanza safari ya Fx trading, Kikubwa ni kuelewa nini unafanya.
Kweli kabisa. Juzi nilianza na 2.80 USD na leo nimefikisha hiyo hapo chini na trade zinaendelea kwenye 4hr time frame.Kwenye balance inasomeka 4.89 sababu kuna position moja niliifungua ikaniletea profit ya 2.09 baadaye nikaona inataka kuleta za kuleta hivyo nikaifunga.View attachment 728353
Testing New Trading Strategy. Doubled the account!!!
- Hii ni kuwatia moyo wenye mitaji midogo, Hakika hata ukiwa na TZS 30,000 (Ni kama dola 13tu) unaweza kuanza safari ya Fx trading, Kikubwa ni kuelewa nini unafanya.
Upo sahihi, na hii ndio FX, kujua nini unapaswa kufanya na kwa wakati upi, na kwa sababu ipi.Kweli kabisa. Juzi nilianza na 2.80 USD na leo nimefikisha hiyo hapo chini na trade zinaendelea kwenye 4hr time frame.
Hivyo unaweza kuanza na hata dola 10 na kuikuza hata dola 50 hata zaidi ya hapo within 2 - 5 trading days! Lakini kwa mtaji mdogo sishauri ufanye scalping kwenye lower time frames ni rahisi sana kuunguza account!
View attachment 728477
Nilikujibu hl, tena na maelezo kibao... Kuhusu kufanya kazi USA, hebu jaribu kujiregister hapa, Australian Foreign Exchange Broker | IC Markets: True ECN Forex Broker then ntakuuliza kwanini umeshindwa?Niliwahi kuuliza why huyu broker hafanyi kazi usa,Israel nk?? Na mbona sijaona yuko regulated??. SIKUPEWA MAJIBU YA MAANA...
Naomba utushauri mkuu mimi huyu templer simuamini kabisa..
haha Mi ni beginner lakini moto wangu Najua mwenyewendio. beginner wanakuita new bae? au nimekosea
😵haha Mi ni beginner lakini moto wangu Najua mwenyewe
mnadai kuwa huyu broker ni wa UK kwa nini regulatory body watumie ya hivo visiwa?Nilikujibu hl, tena na maelezo kibao... Kuhusu kufanya kazi USA, hebu jaribu kujiregister hapa, Australian Foreign Exchange Broker | IC Markets: True ECN Forex Broker then ntakuuliza kwanini umeshindwa?View attachment 728480
Akikujibu unicheki mkuumnadai kuwa huyu broker ni wa UK kwa nini regulatory body watumie ya hivo visiwa?
Tickmill wa wapi? Na anaregulatory mbili tofauti... Ya UK, na ya Seychelles... Na TZ inapatikana TU kwa regulatory ya Seychelles... Umewahi jiuliza kwanini? Au na Tickmill ya Seychelles utasema co Tickmill original ni Copy?mnadai kuwa huyu broker ni wa UK kwa nini regulatory body watumie ya hivo visiwa?
Duh...Mkuu una roho ngumu sana...View attachment 729036
Wakuu, nina account yangu ndogo ya 10 USD. Nimeamua kutengeneza money management strategy ambayo nahisi inaweza kunifikisha kwenye 1000 USD bila kuunguza account. Naomba maboresho toka kwenu. Tusaidiane kwa sisi wenye vimitaji vidogo tuweze kufikia lengo! NAWASILISHA!
NB: Stop loss ni 20 USD kwa kila position inayofunguliwa. Pia Profit ni 5 x stop loss (money risked). Na ninatrade kwenye 4hrs time frame or higher!
Hyo ilikuwa mwaka jana boss... Watu 300 walishapita long time... Na kuna batch nyngne zaidi ya 10 zimeshapita... By the way... Ulivyosema "kunyonyesha............"[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]Ontario ,nimesoma Nimeishia Page 2 Mwanzo Nlianza Kusoma Mwisho Mwisho Nitaendelea Kesho,hao Watu 300 Wamefika Na Wameanza Au?Ngoja Ninyonyeshe Nilale
Hii ni nzuri, lakini kwa 4H TF, stop loss ya 20 pips inaweza kuwa ndogo sana, la sivyo itabidi uweke limit ya trades per day, ili usirisk sana, na pia ujitahd kupata "perfect entries" mana retracements wakati mwingne huzidi hizo 20pips, hasa katika higher timeframes...View attachment 729036
Wakuu, nina account yangu ndogo ya 10 USD. Nimeamua kutengeneza money management strategy ambayo nahisi inaweza kunifikisha kwenye 1000 USD bila kuunguza account. Naomba maboresho toka kwenu. Tusaidiane kwa sisi wenye vimitaji vidogo tuweze kufikia lengo! NAWASILISHA!
NB: Stop loss ni 20 USD kwa kila position inayofunguliwa. Pia Profit ni 5 x stop loss (money risked). Na ninatrade kwenye 4hrs time frame or higher!
Nina roho ngumu kivipi mkuu?Duh...Mkuu una roho ngumu sana...
Unapendekeza stop loss iwe kama ngapi mkuu? na maximum positions pia ita change kama stop loss itabadilika. Hivyo naomba mapendekezo ya positions kulingana na stop loss! Nimeamua kutrade kwenye 4hrs time frame kwa kuwa huwa sina muda wa kufuatalia trades zangu mara kwa mara! Pia signals kwenye higher time frame ni za kuaminika kulinganisha na lower time frames!Hii ni nzuri, lakini kwa 4H TF, stop loss ya 20 pips inaweza kuwa ndogo sana, la sivyo itabidi uweke limit ya trades per day, ili usirisk sana, na pia ujitahd kupata "perfect entries" mana retracements wakati mwingne huzidi hizo 20pips, hasa katika higher timeframes...