Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
H

May be hili tatizo pekee yangu. Nilivyo open Live account kwenye TemplerFX walinitumia links zao kwenye email yang za kuniwezesha kudownload trading platform via play store. Unavyosema unapewa Log in details sijakuelewa mkuu naomba msaada wako
Ukiwa unafungua tu account unapewa log in details,hapo tena itabidi ubadili password mkuu
 
Mkuu waweza kuwa msaada wng about this issue. Nime practice vya kutosha kwenye Dome account ya MT4 na IQ option for about 3 months. Now I wish to Trade via Real Account. Pls naomba contact zako mkuu ili uweze kunisaidia kuopen real account in MT4 na kuiunganisha na broker TemplerFX
 
Pls Your contact is very worth
 
Kijana achana na kulalamika sijui ontario kafanya hivi sijui veile.... yote ya nini kaka? Haya mambo ya forex mbona unaweza kukomaa wewe mwenyewe na ukaelewa vizuri kabisa kuliko hata huko kwa ontario! Penye nia pana njia. Mimi sijawahi kumuona wala kukutana na Ontario wala nani na sijawahi kulipa ada nikakaa darasani kufundishwa forex na mtu yoyote lakini natrade forex. Naamin humu wapo wa aina yangu wengi tu. Sisemi kwamba kufundishwa forex na mtu mwingine ni vibaya la hasha! Bali point yangu ni kwamba hata ukifundishwa na Ontario kama huna nia ya dhati ya kujifunza na kumaster forex utaishia njiani tu!

KOMAA ACHANA NA ONTARIO.

NAMSHUKURU ONTARIO KWA JAMBO MOJA TU "AMENITOA KWENYE GIZA NA USINGIZI MZITO NA KUNIONYESHA FURSA YA FOREX" Mengine yote yaliyobaki ni juu yangu mimi mwenyewe na sihitaji kumlaumu Ontario!
Una point kubwa mkuu, hili ni taifa la kulalamika na kurushia wengine matope, walitegemea waletewe fursa bure jamaa asifaidi?
Binafsi mimi ni trader ninayejitegemea siku nyingi na nilijifunza sehemu mbalimbali kwa gharama kubwa.
Simtegemei mtu na simlaumu mtu kwa lolote kwani hili soko halina mjanja wala mwenyewe bali ni bidii yako
 
Mkuu waweza kuwa msaada wng about this issue. Nime practice vya kutosha kwenye Dome account ya MT4 na IQ option for about 3 months. Now I wish to Trade via Real Account. Pls naomba contact zako mkuu ili uweze kunisaidia kuopen real account in MT4 na kuiunganisha na broker TemplerFX
Umesaidiwa?
 
Pls Your contact is very worth
Mkuu hapo kwenye pre existing account ulielewa nini ?

Binafsi naona bado una vingi vya kujifunza zaidi dont jump in the market just becaiae you want to ... make sure una skills za kutosha na kuwa strategy ambayo ulishafanya backtesting ya kutosha to prove your winning in the real market
 
FEW IMPORTANT LINKS:

FOREX TRADERS OF TZ:
Forex Traders Tz

FREE FOREX CLASSES:
SIMPLE FOREX STRATEGY GROUP

FREE FOREX BOOKS:
FX Trading Books

FREE FOREX SIGNALS:
+255MillionairesFX

FREE FOREX SIGNALS:
FreeForexSignals

TEMPLER BROKER:
Templer FX Trader

PEPPERSTONE BROKER:
Pepperstone - Australia's Fastest Forex Broker

TICKMILL BROKER:
Tickmill - Trade With First Class Forex Broker

FBS $50 NO DEPOSIT BONUS :
FBS $50 Welcome Bonus - Forex

HOW TO USE DUSUPAY (ONCE WAS TICKMILL MOBILE FUNDING METHOD):

FOREX VIDEO: THE SIGNS:
 
ANZA NA MTAJI WA BURE WA $30 [NO DEPOSIT BONUS] YA TEMPLER.

[TERMS AND CONDITIONS LINKED]

Huenda ushatumia demo lakini uko na tatizo la mtaji... Au wengine, kama mimi, tumeunguza akaunti, jinsi ya kuanza tena ni ngumu, hasa linapokuja suala la mtaji....

Ikumbukwe kwamba, Templer pia atakupa uwezo wa kufund na kuwithdraw pesa zako kupitia Mpesa, kama utachagua kuendelea kumtumia, hata baada ya kupoteza hyo $30.

(Don't Worry, Hautodaiwa kama ukiiunguza)

ANGALIZO:
Bonus hii ni kwa wateja wapya tu, kama ulishakuwa na akaunti ya Templer na ukaiwekea pesa, hautoweza kuipata, labda ufungue akaunt tofauti.

HATUA ZA KUFUATA:
1. Fungua akaunti mpya hapa:

Templer FX | Start with $30 No deposit Bonus

2. Verify email, namba ya simu (ni bora iwe voda, kwa ajili ya kutoa faida na kuendesha akaunti) na utambulisho wako.
Menu > MyTemplerFX> Verifications

3. Nenda MENU > OPEN ACCOUNT > chagua LIVE UNIVERSALFX > ok

4. Nenda Menu > Bonus > chagua akaunti yako ya universalFX, WEKA REDEEM CODE:

NDB30JN42017

Then submit.

5. Utapokea $30 katika akaunti uliyoifungua, mara nyingi within an hour.

6. Kama huna MT4 for Android ,download hapa:

MetaTrader 4 – Applications for Android - Google Play

Start Trading!!
TRADE SAFELY!

Ukihitaji msaada wowote kuhusu kuipata hii bonus, nicheck inbox

Terms And Conditions hapa:

TemplerFX No Deposit Bonus Agreements
Ndugu ulisema hapo juu kuwa kufika mwezi wa kumi na mbili tarehe 31 mwaka 2017 bonus watasitisha.Sasa nauliza kama bado $30 no deposit bonus ipo?
 
Naweza kukutafuta? Mkuu
 
Habari ya saa hizi FX?Ndugu ninatatizo katika kufanya verification namba yangu ya simu kwa broker wa Templerfx.Nilikuwa naitaji kufungua akaunti ya $30 no deposit bonus ila nimekutana na tatizo kwenye picha hiyo naomba mwenye mwenye kuweza kunisaidia ili niweze kufanya verfication ya namba yangu.
Capture_LI (2).jpg
cc AMLIGHT
 
Habari ya saa hizi FX?Ndugu ninatatizo katika kufanya verification namba yangu ya simu kwa broker wa Templerfx.Nilikuwa naitaji kufungua akaunti ya $30 no deposit bonus ila nimekutana na tatizo kwenye picha hiyo naomba mwenye mwenye kuweza kunisaidia ili niweze kufanya verfication ya namba yangu.View attachment 738376 cc AMLIGHT
Kuna kitengo chao cha huduma kwa wateja... Nenda kwenye menu kisha chagua support
 
Jisajili Templerfx upate dollars 30 bure. Ukisha kamilisha usajili omba hiyo 30 kabla ya kudeposit
Templer FX Trader
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom