Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Mbona sio utapeli labda km unaambiwa uingize hela kwa mtu, ila km ushawah kufanya stock trading inafanana na forex trading, kuna hasara na faida inabidi uwe makini sana sio unategemea upate mabumunda ya pesa tu haipo hivyo,
 
Hapa tunaeleweshana mkuu changamoto za Forex....ni kujidanganya kusema Forex ni real business ....hii ni biashara ya matapeli kuibia watu..
Hahahah mkuu kubadilika huwa ni kugusa tu kuna comments zako za nyuma humu unaapa forex huachi ng'o na betting wala huna mpango wa kuuchana nayo ila asaiv naona kama imekufanya mbaya hebu Nambie kwa mtazamo wako kati ya forex na betting ipi ina nafuu?
 
mi mwenyewe nimedeal sana na hii kitu nimeona napoteza tu muda kuhangaika na kitu kisichoeleweka
Pole mkuu, umeshakiri mwenyewe kuwa Forex ni kitu kisichoeleweka kwako, lakini kwetu sisi hiyo hiyo Forex inaeleweka sana tu. Pole mkuu, achana nayo tu kama haieleweki kwako, huo ndiyo uamuzi sahihi. Na kwetu sisi ambao hiyo Forex inaeleweka, kuendelea nayo pia ni uamuzi wetu sahihi.

Forex ni kama bahari mkuu, siyo kila mtu anaweza kuogelea baharini. Na hata katika waogeleaji, huwa wanazidiana nguvu na pumzi. Ukishindwa kuogelea unatoka haraka baharini, maana ukilazimisha utakunywa maji za kuzama.
 
Umemjibu sawia huyo dogo
 
Hahahah mkuu kubadilika huwa ni kugusa tu kuna comments zako za nyuma humu unaapa forex huachi ng'o na betting wala huna mpango wa kuuchana nayo ila asaiv naona kama imekufanya mbaya hebu Nambie kwa mtazamo wako kati ya forex na betting ipi ina nafuu?
Bora betting aisee unaweza kufanya analysis timu ukatoboa...lakini Forex hata usome vitabu 100 bado hakuna kitu chart haieleki mara ipande,mara ishuke yaani unaweza kuwa kichaa ukaanza kuongea mwenyewe barabara kuna wanafunzi wa Ontario na tapeli msouth Cre hawana hamu kama wamedata hivi hahaha hii kitu isikie tu ni hatari mno
 
Haahhaah, mkuu ni afadhali ukakaa kimya maana ni kama vile unataka kuonesha umma ni namna gani upo mweupe kichwani, jaribu kufanya lile ulilo na uwezo nalo huku ukiwaachia FOREX wanaoijua vizuri, siyo kila kitu utaweza kufanikisha katika hii dunia, tuachie Forex yetu we kaanga maandazi na karanga tutakuja kuzinunua na hela zetu za Forex usihofu
 
Hahahah haya bana!
 
watu wa Forex tunajijua...tunajifanya tuko smart, bright, tuna akili lakini ukweli tunaujua moyoni haha acha kufa na tai shingoni....tunaugulia maumivu moyoni ..nina uhakika kama kweli unafanya Forex hauna uhakika hata Pair moja kesho soko likifunguliwa uelekeo wake ukoje...tunabahatisha tu...hakuna hata trader mmoja anaejua uelekeo wa chart dakika tano zijazo utakuwaje hata ufanye analysis ya namna gani hakuna..tunachofanya ni kubahatisha tu.....Kama huamini nyie mnaojiita magwiji wa Forex mko smart kichwani tufanye analysis ya trade ya wiki moja tu kuanzia kesho jumatatu mpaka ijumaa kama hamjaangukia pua !!!! acheni kutudanganya forex ni bahati nasibu
 
Eti chart mara ipande Mara ishuke hahahahah we jamaa kilaza sana

Ndio maana ulienda kwa mzee mwandulami yule mganga akufanyie mambo yako yawe super .

Forex hakuna uganga wa uchawi ni akili yako tu
 
Hhahah, mbona hueleweki unachotaka mkuu? Usihofu kama unataka kujifunza Forex usiogope kwa pamoja tupo tiyari kukusaidia
 
watu wa Forex tunajijua...tunajifanya tuko smart, bright, tuna akili lakini ukweli tunaujua moyoni haha acha kufa na tai shingoni....tunaugulia maumivu moyoni ..nina uhakika kama kweli unafanya Forex hauna uhakika hata Pair moja kesho soko likifunguliwa uelekeo wake ukoje...tunabahatisha tu...hakuna hata trader mmoja anaejua uelekeo wa chart dakika tano zijazo utakuwaje hata ufanye analysis ya namna gani hakuna..tunachofanya ni kubahatisha tu.....Kama huamini nyie mnaojiita magwiji wa Forex mko smart kichwani tufanye analysis ya trade ya wiki moja tu kuanzia kesho jumatatu mpaka ijumaa kama hamjaangukia pua !!!! acheni kutudanganya forex ni bahati nasibu
Guys tumtumie analysis huyu kilaza ili ijumaa tu mprove wrong
 
Eti chart mara ipande Mara ishuke hahahahah we jamaa kilaza sana

Ndio maana ulienda kwa mzee mwandulami yule mganga akufanyie mambo yako yawe super .

Forex hakuna uganga wa uchawi ni akili yako tu
Hhaahha, asee watu kumbe wanafikiri Forex ni kwenda kwa Waganga, OMG
 
yanii news ni hapo hapo kwenye platform yako na buy position ni fasta sana enter na exist ni simple sana ni full ni wewe tu huna haja ya kufungua investng.com sijui factorforex hapana new hapo hapo. WE KEEP MOVING

View attachment 776070
mkuu hii iko poa sana sanaaaaaaa nimeitumia sana hiii huwa sio kama indicator nyingine iko safi sana, naomba hiyoo yako maana yangu haina NEWS
 
Aisee hii kitu nimefundishwa sana chuoni, somo la Macroeconomic na Advanced macroeconomic. Kuna both stock trading na currency trading. Na tangu chuo nimefundishwa currency trading is subject to constant fluctuations that occurs in the minute. But the difference gap of one minute or second is a trading opportunity.

Sasa on which basis unaweza sema ni betting? Nimesoma probability pia lkn na hiyo ndio betting kwa sababu ya equal chance of pure occurrence of an event.

Forex is a typical business, shida ni sisi trader tunatumia broker labda hapo ndio penye shida endapo huyo brocker ni uchwara. Other wise unapofeli kitu does not mean ni kibaya kwa matumizi. Go rethink your strategy and come back. Ukishindwa achana na Forex fanya mengine.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom