Mwl.RCT
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 14,624
- 20,666
1. Pata ABCs za forex hapa: Learn Forex Trading at School of Pipsology - BabyPips.com
2. Ukisha maliza nijulishe twende hatua inayofuata.
3. Je yameeleweka haya maelezo pichani??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1. Pata ABCs za forex hapa: Learn Forex Trading at School of Pipsology - BabyPips.com
Hii hapa: Learn Forex Trading at School of Pipsology - BabyPips.comvipi hakuna kozi nyingine tena walau yenye gharama nafuu?
mkuu unapatikana mkoa gani?1. Pata ABCs za forex hapa: Learn Forex Trading at School of Pipsology - BabyPips.com
2. Ukisha maliza nijulishe twende hatua inayofuata.
3. Je yameeleweka haya maelezo pichani??
View attachment 844346
Nipo Dar.mkuu unapatikana mkoa gani?
Ngoja nisome maana ningekuwa interested sana ila pamoja na kusoma kuna uhitaji wa mtaalam wa kuelekeza maana practical huwa ni rahisi zaidi kuliko theory mkuu Mwl.RCTHii hapa: Learn Forex Trading at School of Pipsology - BabyPips.com
Haina ghalama yeyote zaidi ya muda wako tu.
Pia kuna google / Youtube
Uko sahihi.Ngoja nisome maana ningekuwa interested sana ila pamoja na kusoma kuna uhitaji wa mtaalam wa kuelekeza maana practical huwa ni rahisi zaidi kuliko theory mkuu Mwl.RCT
Nkitaka Ku trade kiwango cha chini kabisa ni kiasi ganiUko sahihi.
1. Soma
2. Fungua demo account
3. Trade kwa muda
4. Kabla ya kuanza real account - hapo ndipo inatakiwa tuwekane sawa.
Fx kama biashara nyingine, waweza anza na mtaji kiasi utakacho penda kuanza nacho.Nkitaka Ku trade kiwango cha chini kabisa ni kiasi gani
Shukrani sana nadhani nahitaji kupata elimu kwanza nikimaliza kusoma nitaanza na mtaji kidogo ili nijue inafanyaje kazi,,,Fx kama biashara nyingine, waweza anza na mtaji kiasi utakacho penda kuanza nacho.
Mafanikio hayategemei ukubwa au udogo wa mtaji, bali ni SKILL sahihi katika kwa biahsara husika.
Wapo broker wanaotaka uanze na USD 25 kama Tickmill au wengine uanze na USD 100 kama FXTM au dola USD 1 kwa micro account kama TEMPLER, ni wewe tu uamuzi wako uanze na kiasi gani.
Na ndo njia ya kuelewa kitu lazima usome mwenyewe for 75% Hiyo 25% utaipata kwa kuuliza tu maswali hapa jamii forums
Nimefungua demo account naona mapicha tu japo naamini nitamaster forex vizuriNa ndo njia ya kuelewa kitu lazima usome mwenyewe for 75% Hiyo 25% utaipata kwa kuuliza tu maswali hapa jamii forums
Sent using Jamii Forums mobile app
we soma taratibu utaelewa me mwenyewe nafanya demoNimefungua demo account naona mapicha tu japo naamini nitamaster forex vizuri
vipi nikitaka darasa la uso kwa uso kwa hapo dar kwa hizo wiki tatu inawezekana?Nipo Dar.
Wiki tatu - Ni video course ambazo utatazama kwa wiki tatu mfulurizo.vipi nikitaka darasa la uso kwa uso kwa hapo dar kwa hizo wiki tatu inawezekana?
Hukutakiwa usubirimuda wote huo upite.iliwithdrawal hela kutoka kwa broker (pepperstone) kuja kwa account yangu ya Crdb lakini ni almost mwezi umepita sasa haijasoma kwenye account.,
Sahihi, Nijukumu lako kufuatilia, Rejea maelezo hayo ya awalibroker kanitumia receipt na anasema hela ikishatoka kwake jukumu linabaki kwa benki yangu kuifatilia kwa kutumia RRN
Ungeomba kuonana na branch manager, hakika swala lako lingepewa kipaumbele, Maranyingi watu wa customer care wakati mwingine huwa hawajui nini wafanye kuhusu request zetu, Yaani unakuwa unamweleza maswala ambayo yako nje ya ufahamu wake, Hapo lazima uzungushwe.,nimewasiliana na crdb mizungusho mingi ambayo haina msingi mpaka nimechoka.,
Kwa bank zingine hakuna huo usumbufu.Je ina maana kama broker ametuma lazima nipeleke receipt bank kwa ajili ya kufatilia au naweza kutulia tu baadaye itasoma kwenye account?