Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Hujaamua tu..kama hapo umekili kua forex is not for you..tayar ni weakness hyo
Ama kweli forex is not for every one,including me.
Huwa nasoma lakini sielewi kitu chochote,hayo magraph yananichanganya kabisa naona mapicha picha tu.

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Kama kuna aneendelea kuchoma acc ani PM nimpe mchongo... NB uwe daresalaam tu
Screenshot_20180831-102423.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom