kcamp
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 8,517
- 7,984
Hujaamua tu..kama hapo umekili kua forex is not for you..tayar ni weakness hyo
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Ama kweli forex is not for every one,including me.
Huwa nasoma lakini sielewi kitu chochote,hayo magraph yananichanganya kabisa naona mapicha picha tu.
Sent from my SM-G920P using Tapatalk