Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Ashukuriwe Ontario kwa kutuonesha fursa
Abarikiwe hakika.. now mfuko wangu haukauki na wala sitegemei mshahara ila hii dec soko sio zuri
Tukutane 2K19 mabroker wangu wawe makini na account zangu[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Anapiga kimya kimya wapi wakati ametafuta wasauzi wengine wanafanya mentorship sema bongo sasa hivi mtu akishajua kuchora trendline tayari keshakuwa mentor kwa hiyo kafunikwa
Haujaelewa.. anafanya trade zake kimya kimya..
Nani kakuambia ukijua kuchora trendlines ndio unajua kutrade.. hawa ndio hushinda kwenye screen all day [emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]
 
duu hatar sana kuna Dada anataka nmfundishe wakati mi najua kuchora tu hiyo mitendaline hajui nipo sharoo
 
Na wewe hujaelewa comment yangu, mimi nimesema kuchora trendline ndio kujua kutrade? Na unasemaje anafanya kimyakimya wakati ana watu wanaokuwa mentored chini ya hii kampuni yake mpya(sijui kampuni kweli ) ya uptrend na trainings bado zinafanyika?

Mkuu kwa kumsaidia unaweza kumfundisha, ila huu mtindo mtu amejua tu kuset moving average anaanza kichukua vidola vya watu unatakiwa kupigwa vita ndio maana forex inaonekana ni utapeli
 
Fx ni zaidi ya trendline,support and resistance, channels na upuuzi mwingine unaotumika kuhadaaa watu.

Sadly ni wachache ndio wanajua hili. Na kwasababu utamaduni ni huo ambao tumefundishwa si rahisi kupokea haya mapokeo.

NB: Simaanishi ukijua hiyo njia you'll always be making money easily. No free lunch in this f%&@ world
 
Na wewe hujaelewa comment yangu, mimi nimesema kuchora trendline ndio kujua kutrade? Na unasemaje anafanya kimyakimya wakati ana watu wanaokuwa mentored chini ya hii kampuni yake mpya(sijui kampuni kweli ) ya uptrend na trainings bado zinafanyika?
inatwaje kampuni yake
 
Fx ni zaidi ya trendline,support and resistance, channels na upuuzi mwingine unaotumika kuhadaaa watu.

Sadly ni wachache ndio wanajua hili. Na kwasababu utamaduni ni huo ambao tumefundishwa si rahisi kupokea haya mapokeo.

NB: Simaanishi ukijua hiyo njia you'll always be making money easily. No free lunch in this f%&@ world
Mkuu si utugawie hicho unachojua sasa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom