FOREX: Hivi hakuna shuhuda za upande wa pili? Kula hasara

naona umaacha kuvuta bangi na kuhamia kwenye cocaine na heroine...
 
aisee mbona kama mmelazimishwa kujifunza wakati hujashikiwa bunduki
 
Yani we jamaa sijui hata umeandika kitu gani aisee,Mkuu sidhani kama ulilazimishwa kufanya forex...dah aisee bongo bado sanaaa,...

Yani I have friends ambao wako nje ya tz kwao forex ndo kazi mkuu...forex is real.
 
Reactions: 911
Pole na uache pupa.. Huwezi shindana nao Basi ungana nao... Jitahidi kujifunza ili uungane nasi... Bado tunakukaribisha TMT ...ulipewa taarifa potofu na hao waingereza.

Kila biashara ina risk n kuwa makini tu.

Otherwise nikukaribishe tena kujifunza.

Learn, practice , earn.

Karibu
 
Yaani kuti.wa wati.we wengine halafu bao utoe wewe.....

Acha tutapeliwe... Kiroho safi yaani ...Fanya yako
 
@mods naomba futeni huu Uzi...hauna tena maana sababu alichotaka kujua mleta Uzi keshapatiwa ufafanuzi toka kwa magwiji...na tayari ameshajifunza madhara ya kukurupuka na kutumia hisia badala ya uhalisia.
 
Ni kundi la watu wangapi mmetumwa kuwavunja.moyo vijana wa kitanzania who they have decided to be financially independent.
 
Sawa mkuu ., Nashukuru kwa majibu yako mazuti . Bado tujielekeza kwnye Hoja .
Kama hao niliwataja si Wenye Hati miliki ya Biashara hiyo je nani mwenye hati miliki. ?
Hakuna mmiliki wa forex duniani,hivi unavyoviongea vimetoka Wapi
 
 
Kwa swali lako ulianza na jibu lake.
 
Mkuu hawapingi forex wanapinga TMT indirectly...!

Forex is the real thing and forever will be..!

Acha waendelee kuhangaika na mitandao na wakati mamlaka zenye dhamana ya usalama wa wananchi na mali zao zimekaa kimya..!
TMT ni kitu gani?
 
FOREX is REAL Hata Presidaa TRUMP Yuko humo miaka mingi sana, we endelea kurusha rusha vithread vya Ki.pumbavu, tuliosoma INTERNATIONAL FINANCE tunaijua vizuri, kama unataka vitabu usome huelimike sana tukupatie.
 
Nguvu ya kupinga na watu wenye hila ni wengi sana.tutawashinda popote mtakapojitokeza.
 
Wangeeka tuzo za wachukiaji bongo kuna watu wana vipaji, Mara chenga Mara no network, mnaropoka vitu havielewek [emoji23]
Gari ishawaka zamaaaaaan mwendo wa pips tu halla
 
The foreign exchange market(Forex, FX, or currency market) is a global decentralized or over-the-counter (OTC) market for the trading of currencies. This includes all aspects of buying, selling and exchanging currencies at current or determined prices.
 
Sio watu wote 300 wameshafanya trading kwa sababu mbalimbali
Kuna ambao hawajakuwa na mitaji ya kuanzia na wengine hawajakamilisha vigezo au taratibu za kufungua akaunti za benki na za broker

Pia kwa waliofanya ni kweli haiwezekani wawe wote ni profitable traders
Wapo losers lakini sio kwa maana unayojaribu kuijenga!
Kuna kupoteza kidogo kutokana na tamaa ama kutozingatia kanuni.na waliokumbwa na hilo wanajua ni kwa nini wamepoteza na wengi walijirekebisha makosa na kuendelea na profitable trades

Hivyo hawana sababu kushuhudia makosa yao na walipewa miongozo wakaivunja
Pia lengo la walioleta hii training ni kuonyesha kuna fursa ya kipato ndani ya Forex ikifanywa kwa kuijua na kufuata kanuni na malengo

Nadhani hata masomo ya kawaida au kozi mbalimbali kuna ambao wanazifuzu vema na wanaofeli
Na katika wanaofuzu au kufanikiwa mara nyingi huwa ndio mifano kuwa hizo kozi ni ideal japo wapo wakoseaji

Ukiamua kutafuta upande wa Negative hutoukosa lakini hautofuta makubwa ya ukweli wa upande wa Positive

Be Positive
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…