majebsmafuru
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 454
- 636
Safi kabisa, maana ukitoa maoni tofauti ni matusi mpaka ya nguoni! Kisa mmetofautiana mawazo! Sasa mleta thread hakutaka haya, inasikitisha kabisa..Pia, wewe na wenzako wana forex mnatumia nguvu nyingi kutushawishi na kutetea kuwa forex siyo utapeli. Wewe ndiye unatakiwa ukae pembeni, thread hii ni kwa ajili ya kukosoa utapeli wa forex, wala hukuitwa hapa. Nenda kaongelee faida ya forex kwenye thread zinazo wadanganya. Hapa hatuko kutetea ushuzi wako...soma hoja inasemaje! Toa shuhuda ya hasara katika forex.
Hahahaaaaaaaaaaa...Maelezo mazuri sana ila ngoja Waje wenyewe hakuna rangi utaacha kuona
Asante mama, ila ila ukisema hivi kuna wale washabiki wao ni balaa, wamesahau hata hii thread ilianzishwa kwa mantiki gani!Mmmm hasara zipo kwa kweli, ..mm nilikuwa south Africa nilishuhudia Mbaba na familia yke mzungu, aliuza nyumba akawekeza katika forex trade, alikuja kulia kama mtoto na presha alipata, haikurudi hata nusu yake ... Tena kule south Africa wameendelea, huwa wanakopesha Capital ya forex trade kwa wafanyakazi Wa serikali... Unakuwa unakatwa kila mwezi katika salary yko direct, it doesn't mater umekula au kuliwa...aisee watu walikuwa wakiliwa... Na walioclaim kula weng walisema pesa yao huwa inacheza apo apo , hakuna faida kubwa..sikubahatika kukutana na waliowin japo naamin huenda wapo
Tena bila matusi wala kukashifu mtu..KudosBrother unajua kujieleza,Hongera.
Kula LIKE mkuu, safi sana, absolutely brilliant...Sio watu wote 300 wameshafanya trading kwa sababu mbalimbali
Kuna ambao hawajakuwa na mitaji ya kuanzia na wengine hawajakamilisha vigezo au taratibu za kufungua akaunti za benki na za broker
Pia kwa waliofanya ni kweli haiwezekani wawe wote ni profitable traders
Wapo losers lakini sio kwa maana unayojaribu kuijenga!
Kuna kupoteza kidogo kutokana na tamaa ama kutozingatia kanuni.na waliokumbwa na hilo wanajua ni kwa nini wamepoteza na wengi walijirekebisha makosa na kuendelea na profitable trades
Hivyo hawana sababu kushuhudia makosa yao na walipewa miongozo wakaivunja
Pia lengo la walioleta hii training ni kuonyesha kuna fursa ya kipato ndani ya Forex ikifanywa kwa kuijua na kufuata kanuni na malengo
Nadhani hata masomo ya kawaida au kozi mbalimbali kuna ambao wanazifuzu vema na wanaofeli
Na katika wanaofuzu au kufanikiwa mara nyingi huwa ndio mifano kuwa hizo kozi ni ideal japo wapo wakoseaji
Ukiamua kutafuta upande wa Negative hutoukosa lakini hautofuta makubwa ya ukweli wa upande wa Positive
Be Positive
Sasa watu kama yeye mimi ndo huwa naweza kujadili nao mambo yakinifu.Tena bila matusi wala kukashifu mtu..Kudos
Exactly...Sasa watu kama yeye mimi ndo huwa naweza kujadili nao mambo yakinifu.
Ukijadili jambo hawa watanzania wanatengeneza sababu zao binafsi.Mimi naamini moja kati ya njia za kujifunza ni kuuliza,kujadili,kubisha.mana hapo utapata watu watakaofunguka wengi
Mkuu swali ni je... Wanafundisha au hawafundishi?? Na kama wanafundisha je chuo kikuu kinaweza fundisha utapeli au upatu?Upepo wa Pesa HAO MAPROFESERI WANAOFUNDISHA FOREX MBNA HAWATAJIRIKI?
FOREX NI RAHS KULIWA KULIKO KULA
ExactlyExactly...
Sasa ukiona kwenye discussions/debate n.k. yameanza matusi ujuwe kuna mmoja kashindwa jadili, anataka kuvuruga thread, akili yake labda imefikia hapo maskini, au anapenda kutumia nguvu watu wakubali hoja zake kwa kila hali na mali!
Sasa haiwezekani...
Smartphone haijawahi kumwacha mtu salama katika kubofyabofyaMkuu smart phone haiko smart kwa lugha yetu pendwa.. Unashangaa harisi na halisi? Mbona hukushangaa ya nji na nchi?
Maelezo gani mazuri hapo...huyo.kama aliamua kua mjinga kuweka nyumba anayoishi yeye na familia basi ni mjinga wa mwisho..ujinga wa watu wachache hauwez kusema kwamba ni utapeli...Maelezo mazuri sana ila ngoja Waje wenyewe hakuna rangi utaacha kuona
Hii stori kama ya kutunga vileMmmm hasara zipo kwa kweli, ..mm nilikuwa south Africa nilishuhudia Mbaba na familia yke mzungu, aliuza nyumba akawekeza katika forex trade, alikuja kulia kama mtoto na presha alipata, haikurudi hata nusu yake ... Tena kule south Africa wameendelea, huwa wanakopesha Capital ya forex trade kwa wafanyakazi Wa serikali... Unakuwa unakatwa kila mwezi katika salary yko direct, it doesn't mater umekula au kuliwa...aisee watu walikuwa wakiliwa... Na walioclaim kula weng walisema pesa yao huwa inacheza apo apo , hakuna faida kubwa..sikubahatika kukutana na waliowin japo naamin huenda wapo
Point iliyo nifikirisha hapo ni ya serikali kuruhusu wafanyakazi wake kukopeshwa mtaji na kukatwa kidogo kidogo kwenye mishahara yao, je serikali ya bondeni nayo ni ya vilaza kama tunavyo aminishwa hapa?Mmmm hasara zipo kwa kweli, ..mm nilikuwa south Africa nilishuhudia Mbaba na familia yke mzungu, aliuza nyumba akawekeza katika forex trade, alikuja kulia kama mtoto na presha alipata, haikurudi hata nusu yake ... Tena kule south Africa wameendelea, huwa wanakopesha Capital ya forex trade kwa wafanyakazi Wa serikali... Unakuwa unakatwa kila mwezi katika salary yko direct, it doesn't mater umekula au kuliwa...aisee watu walikuwa wakiliwa... Na walioclaim kula weng walisema pesa yao huwa inacheza apo apo , hakuna faida kubwa..sikubahatika kukutana na waliowin japo naamin huenda wapo
Wakikupa jibu ni tag kiongozi...Point iliyo nifikirisha hapo ni ya serikali kuruhusu wafanyakazi wake kukopeshwa mtaji na kukatwa kidogo kidogo kwenye mishahara yao, je serikali ya bondeni nayo ni ya vilaza kama tunavyo aminishwa hapa?
Je hawajui kwamba hii ni upatu kama mnavyo elewa nyinyi wabongo?
Tunga ya kwako na wewe ya kushinda mamilioni!Hii stori kama ya kutunga vile
Oyaaa! Mbona mboshi wewe? Ni utapeli na ignorance ya kuto jua how this scam operates. Kauze kibanda chako na wewe ushinde mapesa ya forex alafu njoo hapa!Maelezo gani mazuri hapo...huyo.kama aliamua kua mjinga kuweka nyumba anayoishi yeye na familia basi ni mjinga wa mwisho..ujinga wa watu wachache hauwez kusema kwamba ni utapeli...
unafikiri hata hao wanaobet kwenye mpira una milioni 10 unaziweka zote kwenye betting,kwamba timu flani itashinda ...hio ni utapeli au ignorance
People wameshikiwa akili kwa sasa hizi walizo nazo si za kwaoTunga ya kwako na wewe ya kushinda mamilioni!