Mmmm hasara zipo kwa kweli, ..mm nilikuwa south Africa nilishuhudia Mbaba na familia yke mzungu, aliuza nyumba akawekeza katika forex trade, alikuja kulia kama mtoto na presha alipata, haikurudi hata nusu yake ... Tena kule south Africa wameendelea, huwa wanakopesha Capital ya forex trade kwa wafanyakazi Wa serikali... Unakuwa unakatwa kila mwezi katika salary yko direct, it doesn't mater umekula au kuliwa...aisee watu walikuwa wakiliwa... Na walioclaim kula weng walisema pesa yao huwa inacheza apo apo , hakuna faida kubwa..sikubahatika kukutana na waliowin japo naamin huenda wapo