FOREX: Hivi hakuna shuhuda za upande wa pili? Kula hasara

Kwao ni sengerama na analeta usengerama daaah!!!!![emoji2]
 
Thank you for Being honest.Tunapenda sana mambo ya GET RICH QUICK I have always believed it takes time to build wealth
Kudos bro, even though some claim "Honest Doesn't Pay"!
All and all ni kuweka vitu wazi, kama sigara, ukivuta waweza pata madhara, ukinywa pombe n.k. n.k.
Ila kama biashara yatangazwa bila kusema "Risk" basi ujuwe hapo kuna walakini, utashambuliwa na wanaohusika kwa kusema ukweli, wengi wetu tutaliwa sana na hii kitu, wachache wataiweza, ila nina uhakika, "Agents" watakuwa mamilionea...
 
Hii kitu ina tatizo tusubiri wakati ndo utakuwa shahidi...
 
Well said,Asante sana. Wanajipa false hopes kuwa any business has a risk,ebu calculate risk yake.
Few will understand us,acha Muda utaongea.wanafikiri tunaona wivu,no we're trying to be REALISTIC
 


Wana JF kuna hili suala la mtu kuwa JF-Expert Member kabla ya kulielewa vizuri hapo mwanzo nilidhani ukiwa JF-Expert Member ni kuwa una busara zilizopitiliza na ni mchangiaji hapa jukwaani wa kiwango cha Dhahabu.

Lakini nilipokuja kulielewa hili jambo napata shida sasa kusoma mawazo na maandiko ya JF-Expert Member kama huyu, hivi anawaza nini? Kusoma jambo ni suala moja lakini kusoma na kuelewa ni suala lingine, watu kama hawa huwa wanatuchanganyia habari kweli kweli, mtu ana "stress" za maisha anajificha nyuma ya simu yake ama PC anatuandikia utumbo!

Very disgusting!!!
 
Soviet Union umejiunga JF Sept 2, 2017 masuala ya Forex na "Threads" zake zilikuwepo kabla haujajoin wewe hapa JF je umejisumbua hata kufukua makaburi kidogo?

Very unfortunate!!
 
Juzi nilipoteza $225 nilitaman ata kulia ata screen capture sikukumbuka ila kesho yake nikajipa moyo nilipga $300 na ushenzii nakumbuka kama ilikua kasoro $14 ivi kutimia $400 nikaona aaah kumbe.......Ninachotaka kuwaambia kuwa loss ipo na gain ni kabisa sema tu hautoweza kukumbuka kushot pind umeliwa maana unavulugika kwa kweli ila ukila hahaha utakumbuka kila kitu na pia kupata taarifa zisizo sahihi ndizo zinaweza kukufanya ukalose kirahis zaid

Ayo tu Don Mtoto
 
Sawa mkuu ., Nashukuru kwa majibu yako mazuti . Bado tujielekeza kwnye Hoja .
Kama hao niliwataja si Wenye Hati miliki ya Biashara hiyo je nani mwenye hati miliki. ?
 


JF umejiunga May 1, 2017 najua wakati Ontario ana post uzi wa Forex kwa mara ya kwanza ulikuwepo, maana kapost mwezi May kwenye tarehe za katikati ya mwezi.

Fanya home work kidogo nenda usome ule uzi kwenye sehemu ya introduction iliyofanywa na Mr Ontario hayo yote unayoyazungumza yako pale, ni uvivu wako tu wa kusoma.

Hakukosea aliesema ukitaka kuwaficha kitu cha thamani Watanzania kiweke kwenye maandishi ni wachache watakao kiona!!
 
Kwahiyo waislamu waache kufanya biashara itakuwa haram kutengeneza faida. Kwa kweli sheri za dini nyingine ni vichekesho kabisa!
 
Kama hujaona post ya Loss maana yake watu wanapata profit...wewe kama hujazinduka pole sana maana watu wanatusua tu kwa profits
 
Sawa mkuu ., Nashukuru kwa majibu yako mazuti . Bado tujielekeza kwnye Hoja .
Kama hao niliwataja si Wenye Hati miliki ya Biashara hiyo je nani mwenye hati miliki. ?

Nakuwekea kitabu usome Mkuu utamfahamu nani ana hatimiliki na hii biashara kwa mujibu wa maelezo yako
 

Attachments

Umenisikitisha mnoo!!

Yaani FXTM ni mmiliki wa forex?? Una akili timamu??
 
Wazee wq humu hawataki vijana wafanikiwe ni wa kupuuza tu .
Hawa wazee wa humu inaonekana kabisa ni masikini sana kwanzia mfukoni mpaka vichwani mwao na wanaumia sana kuona mtu ambae anaweza akawa mtoto wao wa pili anafanya mambo makubwa yenye impact kubwa kwa jamii yake huku wenyewe wakiendelea kuzeeka tu bila kufanya lolote la maana litakalo fanya wakumbukwe.

Ukitaka kuona hawa critics wengi walivyo mandezi eti anaenda Google kuchukua mawazo ya mtu mwenye negative views kama yeye ndio anatuwekea hapa hili kusapoti upumbavu wake kuwa forex ni betting tena hata hawajui wengi wa hao walioandika matakataka yao ni losers wa forex waliostaafu.

Hawa ni wa kupuuza tu na frustration zao
 
Sawa mkuu ., Nashukuru kwa majibu yako mazuti . Bado tujielekeza kwnye Hoja .
Kama hao niliwataja si Wenye Hati miliki ya Biashara hiyo je nani mwenye hati miliki. ?
Wewe ni mjinga. Na hujui lolote kuhusu forex. Yaani hujui fxtm ni broker kama broker wengine alafu Unasema ni mmiliki wa forex??

Siku nyingine acha kukurupuka.
 
Duuhh wewe jamaa unatia huruma, ni sawa niulize kampuni ya simu ya Uingereza kuhusiana na JAZA UJAZWE ya Tigo, sijui unaona ulivyo chaka??

FXTM ni brocker kama walivyo broker wengine sasa unawauliza nini kuhusu broker aliepo hapa

k.i.laza
Waafrika hasa wa tanzania hatupendi kusoma yaani tupo kimajungu majungu tu!! Yaani dume zima limeamka asubuhi na kuanzisha uzi wa kipuuzi kama huu daaah
 
Well said,Asante sana. Wanajipa false hopes kuwa any business has a risk,ebu calculate risk yake.
Few will understand us,acha Muda utaongea.wanafikiri tunaona wivu,no we're trying to be REALISTIC
KAKA KAMA ULIKUWA HUJUI KWENYE FOREX TRAINING LAZIMA USOMEE KITU KINAITWA RISK MANAGEMENT NA USIPOIJUA VIZURI HII TOPIC BASI HUWEZI TRADE..... NI WASIWASI WAKO TU LAKINI FOREX NI BIASHARA KAMA ZILIVYO NYINGINE TU.....
 
jifunze kufanya research mkuu coz sometimes unaeza ukadhan umeongea point kumbe mashudu tuu tena concrete ones,,. ingia google fanya research then uje na majibu halaf by hapo tunaweza tukaanza kujadili coz u look like u know nothing about forex,,sio u look like,,, u know nothing so fanya utafiti,,,. avatar yako pia nimeipenda
 
Kwahiyo waislamu waache kufanya biashara itakuwa haram kutengeneza faida. Kwa kweli sheri za dini nyingine ni vichekesho kabisa!
Duh, mbele ya pesa hakuna dini mkuu! Kumbuka, dini biashara, kuanzia sadaka, utakatishaji pesa mpaka zile frame zilizopo nje ya misikiti! (Kinondoni Muslim hasa)..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…