FUTURE HUNTER
JF-Expert Member
- Apr 30, 2018
- 2,050
- 2,651
Hapa[emoji3596]Mimi nakushauri tu kuwa wakati huu ndio wa kutuliza kichwa haswaa!ukikurupukia tena mishe kizembe utapoteza zote na kurudi kijijini.
Angalia usiwekeze mtaji wote kwenye biashara moja na pia kumbuka usitake faida kubwa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
kaMribu untaachnipa moto naona mahela yapo nje nje kama kuvuna desi
Sent using Jamii Forums mobile app
umepiga vizuri kumbe paundi leo ilikuwa bullish
Wewe ni muongo soko lilikuwa bullish trh kuanzia trh 21/10 mpaka 25/11 tena lilikuwa hali move. 25 ndo lika sogea.
Wewe ni muongo soko lilikuwa bullish trh kuanzia trh 21/10 mpaka 25/11 tena lilikuwa hali move. 25 ndo lika sogea.
Sasa wewe hiyoo bullish ya leo umetoa wapiii labda kama hau trade.
Usidanganye kuwa mkwelii uwe huru.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnachosema kinaweza kuwa na ukweli pia. Lakini mimi naona alikuwa ana swing aliifungua hiyo pair toka kitambo ndio katake profit jana nimawazo yangu tu.ka
umepiga vizuri kumbe paundi leo ilikuwa bullish
Kwenye hii forex tunayoifanya imegawanyika sehemu kuu tatu. Technical, Fundamental na centimental
Shukran sana mkuu nimekuelewaMimi nakushauri tu kuwa wakati huu ndio wa kutuliza kichwa haswaa!ukikurupukia tena mishe kizembe utapoteza zote na kurudi kijijini.
Angalia usiwekeze mtaji wote kwenye biashara moja na pia kumbuka usitake faida kubwa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kasema leo soma vizuriiiiiiMnachosema kinaweza kuwa na ukweli pia. Lakini mimi naona alikuwa ana swing aliifungua hiyo pair toka kitambo ndio katake profit jana nimawazo yangu tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Swala la kuweka fixed account ni uongo. Ni kuulize swalii wewe una account ya fixed account?1. Mkuu wewe ni miongoni mwa watu wa kupigwa mfano, i commend your hustling , vyeti uliweka kando.
2. Chukua boda boda hardly 2.7 M - 3 M endesha mwenyewe nina uhakika itakupa zaidi ya 30K per day, fedha nyingine iweke WADU account Tanzania Postal Bank ina features za fixed account achana na betting na forex kwa sasa. Fanya kwa afya and proffessionally . Kazi hii itakupa hela ya kula mjini na kutuliza akili, baada ya mwaka mmoja au chini ya hapo naamini hiyo pikipiki itaweza kuzalisha pikipiki nyingine moja. Faida ya kazi hii itakupa utulivu wa moyo utapata interaction na watu wa mitaani wengi wana mawazo ya simple and fast paying business . Hivyo, naamini hii itakufungulia njia ya mambo makubwa mbeleni.
Unapopata faida usiache fungu la kumi kanisani.
This time forex going to be easy to me.. Mie nilikuwa nimefundishwa iyo technical tu sielewi hata kidogo naona wanachorachora tu sijui inapanda inashuka.Kwenye hii forex tunayoifanya imegawanyika sehemu kuu tatu. Technical, Fundamental na centimental
Hizo part mbili Fundamental na centimental zinadeal na information tu, usipokuwa mfuatiliaji wa data unaweza kupigwa kipigo cha mbwa koko muda wowote ule
Kuna app mbali mbali mfano forex factory ziko unaweza pakua zinatoa economic data mbali mbali mfano Brexit, employment, inflation rate,non farm payrolls, gdp, hii yote nikujua mwenendo wa currency fulani
Pia kuna channel ile Bloomberg iko dstv channel kwenye 400s inazungumzia forex masaa 24 ni vizuri ukawa unafatilia kama nataka kuifahamu.
Pia centimental ndio kuna platform inakutatanisha matrader karibu kila kona ya dunia unaona kila mtu anavyozungumzia mwenendo wa currency fulani. Unaenda unadesa kisha unafanya maamuzi.
Mwisho ni technical analysis hii ndio unaona wataalam wakuchora mistari kwenye laptop
Japo nimeeleza juujuu nadhan utakuwa umepata mwanga mkuu unaweza jaribu ukaona jinsi inavyofanya kazi si vibaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
HauchoriiiiThis time forex going to be easy to me.. Mie nilikuwa nimefundishwa iyo technical tu sielewi hata kidogo naona wanachorachora tu sijui inapanda inashuka.
Je hii ya kungalia information ukipata Info siunafanya Trade tu au nayo utahitaji kuchorachora.
Sent using Jamii Forums mobile app
NiPMMkuu nataka kwanza nijaribu na biashara nyingine nione upepo unasemaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Aah nimekupata hapo mkuu nina mt4 nataka iwe active kufanya demo nisaidie link ya broker sijui nani.Hauchoriiii
Hii una trade short time na kutoka. Ila unatakiwa uwe na uwelewa kiasiii maana unaweza ukawa loser kwa makosa madogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu forex niwewe jinsi utakavyo incontrol niwewe na pesa zako.Jana nimesoma soma introduction ya forex. Nimepata majibu ya swali langu "Kwanini utrade pesa kubwa dola 1000 na kuendelea halafu pesa inachomeka kwanini usitrade dola 20 au 50?"
Kumbe kwenye forex ukubwa wa faida unaendana na kiwango ulichotrade kama ni dola 100 faida unaweza pata 10% ya dola 100 therefore ukiweka dola 20 ina maana 10% ni faida ndogo utakuwa unacheza sikinde.
Ni wachache sana wanastake dola 100 direct wapate faida ya 100% ni kujitoa muhanga ni kama bahati.
Swali unatrade dola 1000 upate faina ya 10%, je kama mtu anataka kupunguza risk kabisa kwamba atrade dola 1000 apate faida ya 5% inawezekana? Au risk iko pale pale hata uchague kupata faida ya buku 10 kwa dola 1000?
Sent using Jamii Forums mobile app