Forex imenifilisi, naomba ushauri wa biashara ya kufanya kwa mtaji huu

Kama mbali Sana na FX ndugu

Unavyoonekana unataka kurukia FX kwa pupa utapigwa za uso mchana kweupe .

FX haiko Kama unavyodhani boss FX inataka utulivu wa akili na uwe na big mind and fast brain to adapt changes of economic world ,to be versatile,flexible and sharp ,time goer

Ukija kichwa kichwa thread za vilio kuhusu zitakuwa nyiingi Sana humu na wapambe nuksi watapata platform pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Account ya $1600 unaweka lot size ya 1 af unaonekana unatrade bila SL ulitegemea nini kikupate?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa alipata alichokitegemea,kuna demu huyo ni smart sana ana akaunt ya dola 5,000 ila lot size yake haizid 0.50 tena anaifungua kwa 0.10, yey ni sclapper n Kwa day hawezi acha kulaza chini y 500k profit na alianzaga na dolla mia tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukran sana mkuu. Karibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe acc yako inasoma ngapi mkuu, ukiangalia trading history yako.

Forex nizaidi ya unavyo ielewa lolote linaweza kutokea kwenye soko hata kama unajua vip

mwezi wa 3 ile market crash ilipotoea jamaa yangu tulikuwa hostel nakaanae alikuwa amebuy gj position mbili kila moja ina lot ya 0.1 mtaji alikuwanao 1100

Kuamka asubuh tukakuta acc imeungua kila order inazaid ya neg 500

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siwezi weka balance yangu ila profit yangu ya day ni akaunti ya mentor, lots yoyote stop loss ni lazima kuna risk reward ratio kuna trading plan,
Execution hivi vinadetermine ufanyaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo crash unayoizungumzia ya mwezi wa 3 mbna sijawahi kuiona? Crash ya GJ ambayo ilikuwepo kwa mwaka huu ni ile ya 3 January 2018 ambapo GJ ilimove pips karibu 600 in less than 10 minutes. Na waliokula za uso ni waliokuwa wanabuy GJ na sijui kwanini walibuy maana hata candlestick ya D1 one day before hiyo crash ilikuwa ni bonge moja la bearish candlestick ... Mwezi wa 3 mwaka 2018 hakujawahi kuwa na crash yoyote.

That day nilibuy EURAUD halafu sikuweka TP usingizi ukanifanya nikakosa hela hivihivi. Nikapata hela kiduchu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
crash ya january

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…