Forex imenifilisi, naomba ushauri wa biashara ya kufanya kwa mtaji huu

Fafanua vizuri mkuu, biashara hii inaendeshwaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Inaendeshwaje kivipi Mpwa? Unaweza kuanza na machine moja nzuri, dust cleaner na vifaa kidogo! Tafuta eneo zuri kwa biashara, maji na umeme viwe vya uhakika! Jitahidi kupata vijana waaminifu na wewe jitahidi uwepo! Then Customer Care iwe nzuri
 
Ukijiunga ubber na bolt inakuwa vyema. Anaweza tenga muda anapiga mishe asubuhi hadi saa 3 asubuhi anamuachia mtu then anakamatia tena jioni hadi usiku. Hapo kati anaweza fanya mambo yake.

Fx kama inaenda poa anapaki tu chombo chake, hali ikiwa tete anaamsha.
Ni ishauri tu atapima mwenyewe urahisi ulipo. Ila ana mtaji mzuri yaani nimemtamani😀
 
[emoji251][emoji251][emoji251]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaendeshwaje kivipi Mpwa? Unaweza kuanza na machine moja nzuri, dust cleaner na vifaa kidogo! Tafuta eneo zuri kwa biashara, maji na umeme viwe vya uhakika! Jitahidi kupata vijana waaminifu na wewe jitahidi uwepo! Then Customer Care iwe nzuri
Ahsante mpwa, ngoja nifanye savei kwenye carwash yoyote nijifunze zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wanaenda PM kupata trick za betting na Forex kwa huyu jamaa muda huu huu.....Natumaini hata kuwa mchoyo wa maarifa ila wasisahau kwamba kwenye FOREX your loss is another persons GAIN and vice versa
 
Account ya $1600 unaweka lot size ya 1 af unaonekana unatrade bila SL ulitegemea nini kikupate?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unatakiwa kuwa na elimu ya kutosha mimi huwa situmi sl. Na trade zangu kwenda tofauti na mimi ni ngumu. Huwa nafunga manualy kama na risk dollar 4000 basi huwa nakuwa happy kabisa kupotezaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…