Forex imenifilisi, naomba ushauri wa biashara ya kufanya kwa mtaji huu

MIMI NILIUNGUZA USD10000 NDANI YA SIKU ..NIKAJA KUPATA USD 50000 NDANI YA WIKI

SASA NINA NYUMBA NA MAGARI NIMETULIA KWANZA
NDUGU ZANGU WAMESHUHUDIA MAENDELEO YANGU .
JANUARY MWAKANI NARUDI K TRADE
 
Huwezi kupata faida ambayo anaipata hata mtu anayetrade online kwa account hata ya $50 tu....
Sent using Jamii Forums mobile app
 
KUNA VITABU VYINGI TU
 
Hahahahahhah tuliza morari mkuu gemu ni tofauti sana na kujiapiza apiza sio vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Punguzo mchehcheto hili game ni saikoloji tu na sio bahati kama kubet.......so mawenge yako yanaweza yakakuponza
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kikubwa we jamaa una bahati kwenye hii dunia
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tafuta mtu anayejua akupe a b c zake kauli zako unaonekana ni mweupe kabisa kuhusu hii biashara.
Angalizo;
Ogopa matapeli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupunguza kimuhe muhe forex sio rahisi Kama wengi wanaopiga porojo hapa ....



Principal ya Forex ni kufanya hiyo biashara kwa hela ambayo uko tayari ( Trade what you afford to loose)...


Ni Biashara ya High Risk kuliko biashara yoyote duniani ... Ndio Biashara pekee unaweza kuwa Millionaire ndani ya Saa 1 au Ukawa Masikini ndani ya sekunde...


So acha kimuhe muhe Jitahidi kusoma uelewe hii biashara ilivyo nje ya hizo story za Faida TU .... Shukuru Mungu humu kuna watu wamekupa Testimonies za Kupata hasara ili ujue huwa Kuna hasara ambazo Kama hujajipanga unaweza kujiua ....


Mwaka huu Kuna mtu alijinyonga kwa kujiua kutokana na hasara ya forex, jamaa wa makete.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mpaka unachekesha before uanze hata na demo tafuta a b c zake as theory nzima kwanza then huyo aliyekupa a b c atakusidia uanze demo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
we jamaa umenichekesha sana maana nilikuwa na mshikaji ka bet 20,000 tu sasa ananionyesha atapiga pesa nae kuna kipindi alikuwa kakenua meno nje ila at the end aliondoka kimya bila kuniaga sijui alipitia njia gani baada ya kuliwa,nilicheka siku ile hadi machozi
 
Rudi shule wewe hujui kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi amini graduation niliokuwa nasema nitapaki mkoko mlimani city ,tarehe 20 November nilikuwa sinakitu kwenye mpesa nilikuwa na 270000 .nikajiuliza nikitoa hii pesa sijui nikachuke joh na makorokocho mengine gradu ikiisha nitafanyaje??

Ikabidi nikaushe tu masela zangu kutoka Mikoani kwangu ndio wakafikia nikawakaribisha wanatest suti, joh, kofia wanapiga picha mimi tu naumia kimoyo moyo.

Siku ya graduation before hawaja ondoka mvua ikapiga wakashindwa kutoka ikabid nikimbie na mvua nikawaletee bajaji.
Lakin hiyo pesa niliyohifadh ikaja kunipatia hizo faida hata wiki haikupita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata umalize vitabu vyote sio guarantee ya kupata faida kila siku,hii ni biashara ya informations na huwezi kuicontrol directly ,ni kamali kama kamali zingine kinachotakiwa ni basics za kamali tuu
Hata betting ni kamali japo tu kama forex tofauti ni kwamaba forex inafundishwa hadi vyuoni
 
Napenda watu wa aina yako. Wewe ni mpambanaji hasa. Kwanza umesema ulikuwa na hofu ya maisha. Mtu yoyote anaeweza kufanikiwa ni yule mwenye hofu ya maisha. Hiyo hofu ndio utii wenyewe. Pili hata baada ya kumaliza masomo yako hukujali kujigeuza mjasiliamali wa kawaida kwa kuwa na meza. Wewe una kiu ya mafanikio. Kitu kidogo tu unakosea wewe ni haraka ya mafanikio. Sasa basi hiyo hela uliyonayo tafuta sehemu nzuri pembeni ya barabara,pasakafie vizuri,fungua car wash,anza kupiga kazi. Hapo utakuwa na angalau una ofisi. Baadae ukiwa vizuri,kidogo kidogo unarudi kwenye ku-tred. Maswala ya Forex japo siyajui vizuri zaidi ya kusikia tu,lakini nafikiri ni kitu kinahitaji uwe na mtaji mzuri hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa story zako utatoboa. Una viashiria vyote vya kufanikiwa kimaisha. Komaa komaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mkuu nilichojifunza haya maisha hakuna bahati

Mafanikio yoyote yale lazima kuna cost utalipia hakuna cha bure,

Forex ni kitu cha ajabu sana kosa moja unaweza kuwa unalirudia rudia hata mara 100.

Kinacho wachoma wengi ni tamaa, kushinda tamaa nikitu kigumu sana, mpaka leo naweza kukufundisha namna ya kufata risks management sijui risky 0.05 per trade,

Lakin mostly ya traders wakubwa ndio wanaongoza kuvunja hizo sheria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…