Siempre Hechos
JF-Expert Member
- Dec 9, 2016
- 1,157
- 1,413
Kitu kilichonishinda forex ndo hiki,,,lugha ya malkia ni tatizoooKwa gia hio unayokuja nayo lazima upigwe wahuni washaona fursa kwako[emoji1787]
Boss Tafuta vitabu kwanza
Nenda pdfdrive.com katafute hivi vitabu
[emoji336]Currency trading for dummies
[emoji336]The ultimate price action
[emoji336]Trendline secret revealed
[emoji336]The candlestick Bible
Uvisome uvielewe kisha ndio haya mawazo yako uendelee nayo
La sivyo thredi za malalamiko ya forex zitakuwa nyingi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu ishu ya kujinyonga sio kirahi hivyo unaweza kuta jamaa alikuwa na matatizo yake mwenyewe watu wanazusha tu uongo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu kuna jamaa hapo juu katoa ushuhuda kuna jamaa amejinyonga makete kisa forex. Amenitisha aisee mukari umepoa. Napokea ushauri wenu niisome kwanza nielewe vizuri. Nashukuru kwa tips za vitabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mkuu nataka nijaribu kufanya biashara inayoonekana.Fikiria kufanya biashara ambayo ni viable, bila kusahau sustainability yake. Utengeneze model yake ambayo ni rahisi kuimudu na pia inakubali badadiliko lakini pia iwe rahisi (sio complicated) kuimudu, Na mwisho ni vizuri uwatambue wapinzani wako ili uweze kusustain na kukua zaidi.
Pia kama unatumia telegram unaweza join traders library hapo utapata vitabu vyoteShukrani mkuu. Nimeipata. Naendelea kusoma zile nondo zako ulizonipa link. Hope nitaifahamu ABC za forex. Nakuahidi sitatrade mpaka nielewe hii kitu hata kama ni miaka 3. Niimaster vizuri. Kitu kinachopelekea watu kujinyonga sio cha kuingia bila kuielewa. View attachment 1295040
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nataman niijue hii kitu sema lugha ya malkia ndo tatizoPia kama unatumia telegram unaweza join traders library hapo utapata vitabu vyote
Kuanzia forex, economics,business, mathematics, vyote vinavyohusu maswala ya uchumi, inspiration.
Niwewe tu kupakua na kusoma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwa anafanya acc management kwa watu mbali mbali wengine walikopa bank maana jamaa alikuwa vizuri akaaminika mapema kwani alipata mafanikio ya haraka akanunua hadi x5 ofisi nzuri.Kuchoma pesa za watu milioni 600, hizi ni pesa alikopa kwa watu atrade forex au nipesa watu walizompa azungushie kwenye forex awarudishie na riba?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi sio muongo kama unataka screen shot yoyote nitaweka hapa wala usiwe na shaka kuulizaKuna harufu ya uongo mahali.
Mkuu lugha inayotumika hapo sio shida saana kikubwa uwe na mtu karibu kukuelekeza mdogo mdogo ndani ya mwaka utakuwa umepata mwanga.
Mkuu lugha inayotumika hapo sio shida saana kikubwa uwe na mtu karibu kukuelekeza mdogo mdogo ndani ya mwaka utakuwa umepata mwanga.
Kikubwa nikujua namna ya kusoma news mbali mbali nakujua namna ya kuzifafanua mfano GDP, employment rate, inflation rate ni vitu vidogo ambavyo unaitaji mtu wakukufundisha
Sidhan kama lugha nikikwazo kwenye hii biashara
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na forex na betting, dont say you havent been warned ..Mungu amekuhurumia umepata hio milion9, kwa maisha haya ni nyingi, kaa tulia , tafuta biashara ndogo ya kufanya ya walau kupata elfu 50 kwa siku, kuna thread humu inazungumzia biashara ndogondogo mbalimbali itafute itakusaidiaMkuu nataka kwanza nijaribu na biashara nyingine nione upepo unasemaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Now inezagaa kuna watu wanatrade karibia kila mkoa unaweza peleleza
Shukran mkuu nimesikiaAchana na forex na betting, dont say you havent been warned ..Mungu amekuhurumia umepata hio milion9, kwa maisha haya ni nyingi, kaa tulia , tafuta biashara ndogo ya kufanya ya walau kupata elfu 50 kwa siku, kuna thread humu inazungumzia biashara ndogondogo mbalimbali itafute itakusaidia
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingia youtube tafuta chaneli inaitwa scalp kings fx, dar forex academy au rich feelings fx hizo chaneli 3 zinafundisha forex basics kwa kiswahili.
Sawa mkuu nitapitia hukoIngia youtube tafuta chaneli inaitwa scalp kings fx, dar forex academy au rich feelings fx hizo chaneli 3 zinafundisha forex basics kwa kiswahili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umekurupuka