Forex ni betting tu in another system, nasema forex is gambling

Forex ni betting tu in another system, nasema forex is gambling

Ata niwe bilionea kwa fx bado tasema ni gambling ndo maana haina insurance mkuuu vp
Kwa hiyo kama ni gambling unataka tufanyeje? Tuache au tuendelee maana naona unalalamika sana bila kutoa way forward. Hata hizo casino watu wanapiga hela ndio maana zipo kama watu wasingekuwa wanapiga hela hata hizo casino zisingekuwepo. Wewe kama uliingia kwenye fx ukidhani ni kwenda kuchota tu hela za bure pole.

Forex ipo wether ni betting/gambling kuna watu wanapiga hela na wengine wanapoteza kama ilivyo biashara nyingine yoyote. Wote hamuwezi kuwa winners at the same time in the same business. Hata masomo tunalipa ada lakini kuna wanaofeli na wanaofaulu. SIJAJUA POINT YAKO KUBWA HAPA NI IPI? TUACHE FX AU VIP?
 
Tupunguze mediocre thinking jamani. Not everything is for every one. Ndiyo maana kuna division of labour! Jambo kama limekushinda acha hilo si level yako tafuta unaloendena nalo fanya. Siyo kila siku kulalamika tu.
 
Forex ni kamali tu hakuna la zaidi.
Hivyo forex kama sport betting kuna kuliwa na kula.
Tufanye kazi vijana tuijenge tanzania tuachane na stori za forex.
 
Wakuu Heb twende taratibu...tatika forbes list ya 100 billionaire ni yupi kati yao ni tajiri wa forex..heb tuanzie hapo tafadhali.
Wakikutajia nitag mkuu maana hawa jamaa wabishi sana
 
Points yangu tupige fx tukielewa kabsa ina element za gambling na sio real trade
 
Nimecheka sanaa [emoji23][emoji23][emoji23] mjinga kwel huyoo jamaa ety forex ni betting anafananisha pips na odds [emoji23][emoji23]
Mkuu naijua fx mara sita ya ujuavyo ww bureu de change ni real trade ila fx ina element za gambling over ukibisha nambie kwa nini fx trader apewi insurance
 
Forex ni betting iliochanngamka tu
Halafu sasa kinacho niudhi ni namna kamfumo kalivyo
Yaani unaanza kupigwa kwenye training na materials
Halafu ukiingia ulingoni kurusha shilingi kupo pale pale kudadeki

Ndio maana mi nachezaga betting tu huko forex ujanja ujanja mwingi kweli
 
Forex ni betting iliochanngamka tu
Halafu sasa kinacho niudhi ni namna kamfumo kalivyo
Yaani unaanza kupigwa kwenye training na materials
Halafu ukiingia ulingoni kurusha shilingi kupo pale pale kudadeki

Ndio maana mi nachezaga betting tu huko forex ujanja ujanja mwingi kweli
Kaka kama hao trader hawajui forex ni gamblinh ni mabogus mbona mi nafanya ndo najua 🤣🤣🤣🤣 wengi hawajui na kingine wanawaona wanaobet wajinga kumbe ni wale wale wana saikolojia tofauti sema dealers wa forex ni wengi hii game ikishtukiwa tu watalala njaa maana wanauza mavitabu hayana faida yeyote hata mm naweza kuandika nikaandaa strategy yangu nikaipa jina langu na elimu ya forex ni magumshi sasa vipo vyuo huko mataifa makubwa watanatoa mpaka masters ya forex ila ni blaah hao wanaograduate wote wanakuwa sana sana maticha na kuwa nmitaji mikubwa kule hawa wasijielew retailers

Ndo maana kitambo sana ilikuwa unasikia bank zimefilisika kwa forex miaka ya 80's,90's ila sasa huwezi sikia maana hawa retailers ni wengi wanaliwa na big sharks 🤣🤣🤣🤣😂
 
Mkuu naijua fx mara sita ya ujuavyo ww bureu de change ni real trade ila fx ina element za gambling over ukibisha nambie kwa nini fx trader apewi insurance
Sasa Mkuu unatushauri vipi kwa sisi tunaotaka kuanza fx
 
Aisee we jamaa n great thinker congole sana umemwaga madini vijana mnaoteseka na fx soma apa kwa makini uongeze na zako MKUU [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Sio wanaoteseka sema tunaoteseka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Maana umesema ata wew unatrade
 
Mimi sijawahi kufanya forex kbsaa ila nilishawahi kujaribu kusioma but nikaishia njian maana nilikutana na matapeli wa kutosha(instructors) so nkaamua nijikite kene kamali(betting) na nikachagua strategy yangu mwenyew yaan ni tim moja 2 then unastake high ukipigwa unajifunza sio kulia kulia ila ukimbomoa muhindi unawithdrwal then unafanya investment ya kutosha.....hapo chini ni baadhi ya results zang za betting N.B DERBY SIO NZURI KUBET PIA JUA NATURE YA TIM YENYEWE KWA MFANO BUYERN MUNICH HUAGA ANA TENDENCY YA KUTOA GG HATA KAMA ANACHEZA NA TIM NDOGO KIASI GANI SO PROBABILITY YA KUA UNA WIN MARA KWA MARA NI KUBWA KULIKO KULOSE......kwa sasa niko off work kidogo naikimbiza mamb yangu maana mtaji nishaupata wa kuanzishia mamb yangu....GOD BLESS U ALL DREAM CHASERS[emoji1635]
Screenshot_2021-03-14-07-00-24-52.jpg
Screenshot_2021-03-14-07-00-37-63.jpg
Screenshot_2021-03-14-07-00-56-12.jpg
Screenshot_2021-03-14-07-01-12-31.jpg
Screenshot_2021-03-14-07-01-25-41.jpg
Screenshot_2021-03-14-07-02-15-91.jpg
Screenshot_2021-03-14-07-05-12-67.jpg
 
Lazma ushaifanya forex na uliingia kiboya ukapigwa ukatafuta pesa ingine ukapigwa ukaenda kukopa bado ukapigwa leo nyee nyee nyee nyeee Huu mchezo una watu wake Anyway Pole sana 5 tena[emoji2]
 
Lazma ushaifanya forex na uliingia kiboya ukapigwa ukatafuta pesa ingine ukapigwa ukaenda kukopa bado ukapigwa leo nyee nyee nyee nyeee Huu mchezo una watu wake Anyway Pole sana 5 tena[emoji2]
Hahaha sikia hii nmenufaika na fx on somehow lkn for real it's gambling over
 
Back
Top Bottom